Hii post naielekeza moja kwa moja kwa Mheshimiwa Rais, Dr Mama Samia Suluhu Hassan na waziri wa Nishati na Madini.
Jamani wakuu maisha yetu watanzania wa hali ya chini yanazidi kuwa magumu. Bei hizi za gesi tunazotangaziwa kuwa zimepanda kufikia 62000 kwa mtungi wa kg 15 na 27000 kwa mtungi wa...
kiasi gani cha pesa amnacho umewahi kukimaliza kwa siku moja kwenye burudani fulani?
Binafsi weekend iliyopita nimetumia arround 1800usd, hapo tunaongelea zaidi ya 4M kuitumia kwa siku moja!
Wakuu natarajia kuwa na Safari almost TZ yote mikoani na wilayani! sasa based on experience je ni mtandao upo ipi miwili ambayo itani offer best coverage during my trip to Tanzania and probably pia naweza kufika na Nchi jirani za Africa mashariki wakuu
Nimeona Instagram ya yericko Nyerere akizungumzia ugonjwa huo mpya
Nipo igunga na kuna familia zimekumbwa na ugonjwa huo
Yaani hayo mafua zaidi ya wiki hayasikii dawa
Mwenye kujua shida nini atueleze
Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Nikitazama maisha wanayoishi matajiri nikalinganisha na maisha wanayoishi maskini, nashindwa kuona tofauti ya kimsingi iliyopo kati yao.
Fikiria matajiri kama Dangote, MO29 au Bakhressa wanamiliki utajiri uliotapakaa nchi nzima na baadhi...
Kuna mtu unakuta ameajiriwa sehemu lakini ana Mali mpaka unashangaa mtu hyu
Anamiliki gari Kali harrier , Vanguard,Crown nk
Ana mifugo ng'ombe kama 200 plus
Mashamba ya mazao ya chakula na biashara,
Maduka ya nafaka, spare parts za magari au ata pikipiki nk
Amejenga ana nyumba Kali Hadi...
Habari za leo wandugu kijana wenu nime rudi ,
Nina mifumo mingi y kutunza rekodi za biashara kama
Mining Ofice management office
Spare Store Management Systerm
Loan Ofice Managenent System
POS for supermarket and all size shop
Nakadhalka
Je unahitaji mfumo wowote ambahaupo hapo na una miss...
Habari wanajf
kipindi namfukuzia manzi ilikuwa ni 2019 hiyo tukakubaliana kabisa tuonane so akaniomba nimtumie nauli nikamtumia ilivyofika muda tulipanga tuonane simu yake ikawa haipatikani baadae kabisa akanipigia akaniambia amepata ajali ya boda boda amepata mikwaruzo na mguu wake haupo...
1. Kuna kitu kinadumu kama mkanda wa ngozi?nakumbuka nina mkanda huo nilinunuliwa na babu yangu 2012 huwezi kuamini mpaka leo ninatumia huohuo japokuwa umechoka sasa mwaka jana mwishoni nikaona duka la mikanda ya ngozi nikanunua ila ilanibidi niutafutie kwanza msumari nitoboe tobo basi hio kazi...
Kuna msemo unaosema "Kazi ni kipimo cha utu",lakini dah,kuna mikoa wenyeji wake ni wavivu .
Pwani-wilaya ya Chalinze
Dodoma na Unguja.
Hizi sehemu tatu mimi zilibaki kunishangaza kwa kiwango cha uvivu nilichokiona
Ni mkoa/wilaya gani uliwahi kwenda ukakutana na wenyeji wavivu...?
Actually kama upo online na una peruzi muda huu, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa wewe ni mraibu wa mitandao.
Muda kama huu kwa watu wengi inapaswa uwe umelala, au uwe mbali na simu, labda tu kwa wale wanaofanya kazi zao mida ya usiku.
Hivyo ukijikuta upo online muda huu ni dalili moja ya kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.