gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Tango73

    JamiiForums Tanzania Ni Rais gani atarudisha Kiingereza kama lugha ya kufundishia Tanzania?

    Watanzania wote tumeiona Loyal Tour ikichezwa kwa lugha ya kiingereza na sio kiswahili. Tunaitangaza nchi yetu na vivutio vya utalii kwa lugha ya kiingereza kwa nini lugha hii isiwe haki ya raia? Wasanii wetu wachekeshaji hawaendi Nigeria wala Ghana kisa language barrier. Sasa umefika wakati...
  2. big dreamer

    JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani kwa kipindi hiki cha mwezi 1 kwa mtaji huu

    Wasalaam wakuu,,, UTANGULIZI (kama mvivu sio lazima maelezo aya) Mimi ni kibarua ktk secta flan ya kawaida sana,sasa nina likizo ya mwezi na nusu,nina ka akiba kangu kama 1m ambaya mwanzo lipanga ninunue madirisha na milango nikapachike kwenye kibanda changu mbagala chamanzi,lakin hyo pesa...
  3. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Mtaa wenu una umaarufu gani?

    Huu mtaa wetu mi nadhani Malaika hapa wanatembelea masaa 24,Maana nyumba za Ibada km zote zimepangana zinashindana vipaza sauti tu ... Vp huko kitaani kwako?
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Bila kututajia mwaka, tuambie ulimaliza form four mwaka gani?

    Mimi nilimaliza mwaka ambao mitihani ilifutwa tukarudia tena. Wakongwe najua watakuwa wameng'amua... Kwa upande wako, ulimaliza mwaka gani bila kututajia mwaka?
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mazao gani unayoweza kulima pamoja na mihogo na yakaongeza rotuba ya udongo?

    Naam mm ni mkulima ambae nimekua nikilima mihogo sana, sasa naona ardhi yangu inaanza kupunguza uzalishaji. Nimewahi kuskia nikilima mihogo pamoja na mazao mengine yanayoendana yataongeza rotuba ya udongo. Msaada, ni mazao gani hayo?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mila za wafu kuzungumza kupitia watu walio hai zipo makabila gani?

    Katika kabila la wahaya kuna mila inaitwa "nchweke" ambayo marehemu huzungumza kupitia watu walio hai. Je ni kabila gani unalolifahamu lenye mila kama hii
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Orlando Pirates na RS Berkane wanacheza final ya champions ingawa zote zilifungwa kwa Mkapa. Hii ina maana gani?

    Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza fainali kwenye mashino ya CAF. Hii ina maana gani kwa timu ya Simba, uwanja wa Mkapa na timu zetu za...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kumjua mtu mstaharabu mpime katika chakula, hasa hawa wanawake

    Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad Wanawake badilikeni mmezidi ndo maana hampendi wageni tatizo Ni uroho unawasumbua . Maaajabu wanaume Ni mara chache Sana...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Bolt, Uber au Tax ni siri gani alishawahi kukwambia abiria hutakuja kusahau

    Great thinker Kama kichwa kinavyosema, ni siri/stori gani hutasahau uliyokutana nayo ukiwa kazini.? Hiki kisa kilimtokea mdogo wangu alikuja nihadithia kama mwezi baada ya kutokea Miaka kama miwili nyuma, alimbeba dada mmoja kutoka club, alikua kalewa ila kwa nje alionekana mtaratibu sana...
  10. Kijana Wa Dar

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Ni mambo gani makuu Mungu amekutendea

    Karibuni
  11. L

    JamiiForums Tanzania App gani nzuri na ina ligi nyingi za kuangalia live kwenye smartphone?

    Ni App gani nzuri na ina mechi nyingi za mpira wa miguu ambayo naweza kuweka kwenye smartphone?
  12. makilo

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana ma buse Bora na Bora nifike je tupande ma bus gani?

    Naanza na mbazi Arusha/dar. Ili ndinga Kama ukifika stendi na kulikuta kwa jinsi linavyovutia lazima ulikimbilie.siku hiyo nikalipanda kutoka Arusha mpaka dar nikafika sa 5 usiku Kila kituo linapakia na linasimama. Happy national hili ni la Bei kubwa nilipanda kutoka dar mwanza tukafika sa 9...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliopo Morogoro ni 'Chocho' gani lina 'Mademu' wazuri ila hawana Gono, Kaswende na Dally Kimoko Virus?

    Fanyeni chap kunijibu kwani nipo Moro!!
  14. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Hizi Alama Zina maana Gani kwenye Dawa ya mswaki?

    Wakuu Habari ya Mda Poleni na Heka Heka ya Timuana ya Mlimani City Juzi. . Wakuu naomba kufahamishwa hizi alama kwenye dawa ya mswaki huwa zina maanisha nini?
  15. I

    JamiiForums Tanzania Unatumia fedha kiasi gani ndani ya wiki kwa ajili ya vocha?

    Dah, mimi binafsi natumia maximum shilingi 3000, na hapo naumiaga sana 😄😄.... Vipi nyie wenzangu?
  16. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Watu gani watatu mashuhuri unaweza ukatundika picha zao ukutani kwako?

    Kutokana na nafasi zao na michango yao katika jamii, mimi bila kupoteza muda picha za Bob Marley, Patrice Lumumba na Nelson Mandela zipo ukutani nyumbani kwangu. Hao watu ni vielelezo vya wanaharakati waliojitoa kwa ajili ya kupambania haki za wengine hasa mtu mweusi. Je, kwa upande wako ni...
  17. Yoel eliud

    JamiiForums Tanzania Eti wadau, ule msalaba kwenye chupa Dompo huwa una maana gani??

    Eti wadau, ivi ule msalaba kwenye chupa ya dompo huwa una maana gani??
  18. B

    JamiiForums Tanzania Hivi jina Nyalusi huwa ni wenyeji wa mkoa gani?

    Naomba kujuzwa tafadhali
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna wanavyowaona wananchi wajinga ni kiongozi gani wa CCM atashinda uchaguzi 2025? Wakurungenzi watadhibitiwa kupora uchaguzi

    Rais Samia ndio hana nafasi kabisa ya kushinda uchaguzi. Maana kwa muda mfupi tu amedhibitisha ni wa rangi gani. Na baada ya miaka miwili atawauza Watanzania kabiasa na rasilimali zao. Wabunge wa CCM wenyewe ndio hawatarudi karibu 80% maana aliyewabeba kuwaweka mjengoni alishatangulia mbele za...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Digidigi ni wanyama wa aina gani? Tanzania wanapatikana wapi?

    Eti wakuu, digidigi ni wanyama wa aina gani? Wanatofauti gani na swala? Wanafugwa?
Back
Top Bottom