Vijana tunaozaliwa wakwanza Huwa na Kama baba ukimwacha baba halisi.
Nikaamua kwenda kuzisaka pesa kwa ajili ya kuwatunza wazee wangu na Mimi binafsi.
Hapo ndipo nilipoona hela Ni ngumu mno kuishika. Nimefanya kazi ngumu ngumu za kuchosha sana mwili Ila ujira huna cha kuhifadhi ugonjwa...
Sijawahi kusikia hata siku moja Katiba ikiombwa, Katiba hushinikizwa au kulazimishwa kama ukipenda na sababu ni moja wale wanaotaka Katiba mpya wana nia ya kuingia madarakani ambapo kwa Katiba iliyopo wanaona hawana chance, wale waliokuwa na power ambao ni wanufaika wa Katiba iliyopo hawawezi...
CCM ni Chama ambacho kina misingi na utaratibu wa namna kinavyojiendesha ndio maana utaona viongozi wanaachiana madaraka kwa taratibu hizo.
Utasikia mtu kapita kwa asilimia 100, bila kupingwa etc.. ni taaratibu zao na Wanachama wao wanazipenda.
Huku kwetu upinzani Mtu akishaanzisha Chama au...
Kuna Mwalimu wa day care amelawiti watoto sasa wazazi wa waathiriwa wakati wanahojiwa wamefunika sura, hii ina tafsiri gani wakati wakienda Mahakamani kama walalamikaji au mashahidi watakuwa wazi au wanamwogopa mlawiti?
Pamoja na mawazo yenu nafikiri vema kujiamini ktk kulaani jambo hili.
Kila mtu ana ndoto ya kuwa na mradi mkubwa wa biashara.
Lakini lazima tukubali ili ufike sehemu lazima uanzie somewhere.
Kwa wajasiriamali wengi huwa tunatamani ukipata mashine au kifaa fulani basi itakufungulia milango na kukusogeza sehemu kuzifikia ndogo zako.
Mimi moja ya mashine...
Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha
Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe .
Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa...
Wakuu Habari ya Jumapili.
.
Naomba Kujua kwamba ni Kiasi Gani Bingwa Wa Msimu Huu atakipata Kutoka Kwa Mdhamini Mkuu Wa Ligi.
.
Nimeamgalia Hivi orodha ya fedha atakayoipta Yanga kama Atakuwa Bingwa Wa Msimu Huu sioni fedha atakayoipta Kutoka NBC.
Bi Khadija alimfundisha Mh. Rais Hesabu na Kiingereza alipokuwa form two/three.
Je, huyu Mwl Khadija alisomea combination gani mpaka akaja kufundisha Hesabu na Kiingereza?
Baada ya mazishi hutangaza pale makaburini tanga ndg litakuwa kesho na siku hiyo watanyoa ndg,jamaa na marafiki.Swali langu kule kunyoa kuna maana gani?Wajuvi karibuni.
Mwenyekiti wa chama cha wananchi Cuf Prof Lipumba alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano wa hadhara mkoani Tabora amemhakikishia Rais Samia kuwa uchaguzi mkuu ujao wa 2025 atashinda kwa kishindo na wapinzani wanaojaribu kumpinga wanapoteza muda tu wao kwani watanzania wanamwelewa mno kwa...
Kwema waheshimiwa?
Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?
NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
- Kwangu mimi kitabu Cha kimataifa ninachosoma kwa Sasa kinahusu MAGEUZI YA KISIASA NA KIUCHUMI CHINA CHINI YA DENG XIAOPING. “CHINA UNDER DENG XIAOPING POLITICAL AND ECONOMIC REFORM”.picha[emoji116]
- Je wewe unasoma kitabu gani kwa Sasa au ushawahi kusoma kitabu gani.andika hapa chini pia...
Habari wakuu
Nimeijua JF mwaka 2008, nikawa nasoma kimya kimya. Mwaka 2014 nikaona nijiunge rasmi .
Na kwa kuwa binafsi ni mpenzi wa kusoma makala na vitabu mnooo,maana nilifundishwa kusoma na kaka zangu kabla sijaanza darasa la kwanza!!!
Hivyo nimesoma makala nyingi sana humu na kujifunza...
Naomba tujadili ndugu zangu.
Mimi nimeumia sana kuna watu wanazuia mradi wetu wa bomba la mafuta.
Mimi najiuliza hawa wanaozuia tumewakosea nini.
Huu mradi kwanini wanauzuia.
Serikali yetu kwanini imekaa kimya juu ya hili.
Ni wakati wasisi kujadili ni nani anasababisha huu mradi wetu...
Kama ni binadamu wa kawaida, mchambuzi mzuri wa siasa na mwanaharakati huwezi Sasa kukosa mashaka juu ya Mwenendo wa Freeman Mbowe tokea awali kabisa.
Uwenda anajenga upinzani bandia na wanaharakati hutumika kuwapumbaza tu.
Anasema alikuwa tayari kumuajili mdee South je kafanya hivyo kwa Lema...
RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza mfanyabiashara (hakutaja jina) aliyechukua tumbaku za wakulima bila kuzilipia arejee Tabora mara moja kwa ajili ya kulipia tumbaku alizochukua kufuatia malalamiko kuwa wakulima hawajalipwa tangu mfanyabiashara huyo achukue tumbaku hiyo.
Chanzo: habarileo_tz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.