Ni kwasababu gani mechi ya coastal union na yanga imesitishwa 16/1/2022,??

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
8,248
8,454
Hii mechi ilipangwa Jumapili Mkwakwani Stadium Tanga lakini imeahirishwa. Je nini hakijaenda kama ilivyopangwa?

GENTAMYCINE ufafanuzi tafadhali.
 
Umeona wapi kwamba imeahirishwa?
20220114_201829.jpg


20220114_201829.jpg
 
Akina Tomaso muone utopolo wenu hapo juu. Mwiko haupo nyuma hamjaurudisha tangu uchomolewe na Azam.

Kwa Wagosi ingekuwa kazi rahisi kupita nyuma isiyo na mwiko.
 
Back
Top Bottom