Ni mchezaji gani mpya atakae tambulishwa kesho yanga sc?

Doctor Stranger

JF-Expert Member
Oct 31, 2020
4,202
6,143
Mimi ni mnyama damu ila ukweli usemwe mashabiki wa simba wengi tumepatwa na wenge usingizi hatupati jamani ata chama tumemsahau roho zipo juu. watani tuibieni jina basi tupate japo amani asije akawa yule kijana wa wydad
 
Sarpong
 
Tangia mchomolewe mwiko uko nyuma akili zimewaruka
IMG-20220110-WA0173.jpg
 
Back
Top Bottom