gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Ibrason

    Una mapendekezo gani juu ya biashara ya maharage kwa sasa hapa Tanzania?

    Nina mtaji wa tani zaidi ya 15 za maharage kutoka mkoani Songwe (maharage ya njano) na ninahitaji kupata soko la uhakika hapa jijini Dar es salaam, kama unadetails za biashara hii ninaomba tushare tafadhari, asante.
  2. adriz

    Uwanja mkubwa wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma upo katika hatua gani?

    Moja kwa moja.. Miaka kadhaa imepita (toka 2016) tuliposikia kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma unatarajia kuchukua watazamaji 80,000 na miundombinu mingine. Ikiwa kama ushrikiano wa serikali ya JMT na Morocco huku serikali ya Morocco ikiahidi kutoa fungu kusaidia ujenzi...
  3. Tomaa Mireni

    Uzalendo una tofauti gani na ubinafsi?

    Uzalendo ni nini? Ubinafsi ni nini? Mtu akipenda sana familia yake na jamii yake kiasi cha kuijali na kujitoa kwa ajili yake hawezi kuitwa mzalendo kwa jamii yake? #Maelezo ya screenshot ni wikipedia
  4. sky soldier

    Umewahi kula kitu gani ambacho hukuwahi kufikiria pale njaa ilipokukamata kisawa sawa

    Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa chuoni hela yangu ya matumizi kwa mwezi ndani ya siku 10 hivi, nlimpigia simu mhusika aliekuwa akinutumia pesa jibu nlilopewa ni "mbona mapema sana subiri mwisho wa mwezi". Hapo tayari nlikuwa na madeni kadhaa yani kukopa ilikuwa tabu. Basi ikifika mchana nlikuwa...
  5. Snoop Dogg

    Vibarua kwenye Miradi mikubwa ya ujenzi wanalipwa kiasi gani?

    Wakuu, Nahitaji kujua vibarua kwenye Miradi mikubwa ya serikali hasahasa Mradi wa Umeme, Mradi wa daraja la Magufuli pamoja na Mradi wa Reli wanalipwa kiasi gani na vigezo vyao vya kuajili ni Vipi?
  6. MR KADIDY

    Mwanamke wa aina gani anafaa kuwa naye kwenye mahusiano?

    Habari JF Mimi ni kijana wa miaka 25 naishi morogoro na najitegemea nilikuwa naomba ushauri juu ya mwanamke wa aina gani naweza kuwa nae akanipa furaha na hata kufika malengo yetu. Ahsanteni sana 🙏
  7. F

    Mageti ya Hospitali yana ulazima gani kulindwa na makampuni ya ulinzi?

    Nimepita katika hospitali kadhaa katika pilika zangu za utafutaji rizki. Nimeona katika mageti mengi ya hospitali za wilaya, mikoa, hasa zile za rufaa za mikoa, vituo vya afya pia, kunakuwa na maaskari ama wawili ama mmoja magetini ambaye yeye kazi yake ni kuuliza unayo barakoa? Wengi wao...
  8. EINSTEIN112

    Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

    Habarini wadau. Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa, Pamoja na kuandamwa sana wenye Iphone japo 13pro nao walitoa povu hadi na matusi juu...
  9. JanguKamaJangu

    Hili la Mugalu kutolipwa fedha zake za tuzo lina ukweli gani wadau? Bodi ya Ligi ina cha kujibu

    Asubuhi ya leo nimeamka na taarifa niliyoikuta mitandaoni kuwa Bodi ya Ligi inayosimamia Ligi Kuu kwamba haijamlipa mshambuliaji wa Simba, Chriss Mugalu fedha zake za Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa Ligi Kuu. Nimejaribu kupekenyua sijajua hasa ni ipi inayozungumzia lakini niliyoiona labda ni...
  10. Powerman

    Huyu ni Mungu wa aina gani anaacha niteseke kiasi hiki?

    Wakuu Najitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kwa miaka kadhaa hapo nyuma mpaka leo mwaka wa tano huu bila kutetereka. Kama ni kuumia nimeumia sana. Kuna muda nafikia stage najiuliza ya kwamba hivi kama yupo MUNGU wetu tunayemuabudu, kumuimba na kumsifu kila uchao, je anaweza niacha naendelea...
  11. B

    Muda wa Mawakili wa Serikali kesi ya Mbowe kulipwa perdiem na Serikali umeisha (maximum miezi 6), Je, wanalipwa kwa sheria Gani?

    Nimesoma utaratibu wa malipo ya serikali Kwa Mtumishi anayefanya kazi nje kituo chake cha kazi, utaratibu unaeleza kwamba Mwisho wa malipo ni miezi sita baada ya muda huo utafutwe mfumo mwingine wa kuwalipa ila siyo perdiem. Mawakili wa Serikali wanatoka Mikoani na hivyo huko Dsm siyo kituo...
  12. T

    Ni mikoa gani ambayo ina mbuzi wengi na ng'ombe wengi zaidi?

    Habari wakuu, kaa kichwa kinavyosema, swali langu ni hii, je ni mikoa gani ambayo unaweza pata mbuzi wengi zaidi, na ngombe wa kununua, yaani kwa ufupi ni mikoa a wilaga gani zina mbuzi na ngombe wengi zaidi? Natanguliza shukrani?
  13. Nyuki Mdogo

    Hivi vimbwa vina kazi gani? Naona vinapendwa sana na wadada wa mjini

    Ndo hivi vya sampuli hii...
  14. T

    Taasisi gani inatoa mikopo isiyo na Riba kwa wafanyakazi wa Serikali?

    Nikiwa kama muajiriwa wa serikali naomba kufahamu ni taasisi gani ya kifendha inatoa mikopo ya pesa isiyokuwa na RIBA kwa watumishi wa Serikali? Mwenye kufahamu naomba anifahamishe jinsi gani naweza kunufaika na huo mkopo.
  15. Komeo Lachuma

    Kwa mujibu wa Dini yetu, kuna dhambi gani nafanya nikitumia Mkaa?

    Mara moja kwa week huwa natumia mkaa kung'arishia meno. Nina meno meupe na napenda yaendelee kuwa meupe maana mademu pia wanayafagilia sana. Ila yananifanya niweze tabasamu muda wote hata ukiniudhi. Juzi kuna mt alinikuta natumia mkaa kufanya jambo hilo. Akanambia kwa mujibu wa dini yetu ya...
  16. WENYELE

    Nimeamua nichukue hii Ndinga; Una maoni gani ya kitaalam nauzoefu

    Awali ya yote niwashukru nyote wanajukwaa hili kwa msaada wenu mkubwa wa kuelimisha kuhusu magari hasa sisi tusio wazoefu. Baada ya utafiti kupitia humu kama miezi 6 hivi nimeamua nichukue Mitsubishi Pajero badala ya SUV mid size za Toyota. Hii gari ina cc 2970 na 127,000km, ina seat 7 na ni...
  17. B

    Tujielimishe: Ni Wakati gani polisi walibaini Kuna njama za Ugaidi kwenye kesi ya Mbowe? Ni mwaka 2020 au 2021?

    1. Watuhumiwa watatu kwenye hii walikamatwa mwaka 2020 na kuhojiwa Kisha kufunguliwa mashtaka yasiyo ya Ugaidi. 2. Watuhumiwa watatu baada ya kutoa maelezo Yao mwaka 2020 walipokamatwa awakuwahi kurejea uraiani walipelekwa mahakamani Kisha mahabusu,hivyo awajawahi kupata dhamana Wala kuhojiwa...
  18. A

    Kitu gani kinaweza kusababisha shahidi kukataa kuendelea na cross examination?

    Baada ya kufuatilia kesi ya ugaidi inayoendelea nimeona Mashahidi wa serikali wakipata wakati mgumu mpaka wengi kuomba kwenda faragha mara kwa mara na jana moja aliokolewa na wakili wake , sasa sijui hiyo inaruhusiwa wakili kwenda kwa shahidi wake bila ruhusa ya Jaji. Tukiacha hiyo pembeni na...
  19. KENZY

    Ungependa mpenzi wako akuimbie wimbo gani?

    Mapenzi ni furaha ukiwa na umpendae huku penzi likikolezwa kwa utamu wa muziki murua wenye kutikisa ala za huba, huku mtima wa moyo ukiwa umetulia tulii kama kiu kikali kikitulizwa na maji ya mtungi! Ewe wangu laaziz sogea karibu yangu na uniimbie nyimbo hii mahususi Ukiniongeza na hii...
  20. Gemini Are Forever

    Hili ni jiwe gani?

    Habari wakuu, Kwa anayefahamu hili ni jiwe gani? Nimeokota pembezoni mwa mlima wanapochimba udongo (BORROW PIT) wa ujenzi wa reli ya SGR Dodoma huku.
Back
Top Bottom