Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata...
Habari za Majukumu Wana JF kichwa cha habari kinahusika kama mnavyojua maisha yamejaa kuogofya kiasi kwamba hata uwe na mabaunsa lakini huwezi KUKOSA hofu moyoni.
Binafsi woga nilionao MAISHANI ni Uzee na Kifo maana najua hakuna aliwahi kwepa. Uzee unakuja bila hodi mdogo mdogo kadri umri...
Habari wadau,
Najua Kuna mada nyingi kuhusu bati ila hebu tushauriane hapa.
Kwasasa naelekea Hatua ya upauaji ila nimejikuta napata shida niangukie wapi
BATI ZA RANGI
Wengi wanashauri ALAF, SAWA ila bei yake iko juu sana 39 (bati ya kawaida ya rangi) na pia nimekutana na wadau wanasema...
Kila linapoletwa ubaoni na mezani suala la Katiba mpya, wanaCCM huwa mbele kuvuruga kwa kelele kupiga. Katiba ya sasa ya Tanzania iliandikwa mwaka 1977, takribani miaka 44 iliyopita. Katiba hiyo imeshafanyiwa mabadiliko mbalimbali zaidi ya kumi. Ndiyo kusema bila kuhema kuwa Katiba ya sasa ina...
NI KWANAMNA GANI TUTAPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA KUTOKA VYUONI
Elimu ya juu kila mwaka inazalisha vijana wapya wenye taaluma mbalimbali ambao wanakuja kushindana kwenye soko la ajira.Vijana hawa wana zidi kuongezaka mtaani na kufanya tatizo la ajira kuwa suguu
Ila kwa elimu...
Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science.
Na ina utofauti gani na BAF
Tokea mwaka uanze ndo kwanza tuko mwezi wa 7 ila tokea January mpk sasa kuna misiba mingi imetokea. Kwa upande wako taarifa za kifo cha nani mtu maarufu zilikuhuzunisha na kukusikitishasana huu mwaka 2021?
Waswahili nimewashindwa,kila demu wa kibongo anataka na ya kutolea.
Makato yamezidi, watanifilisi hawa.
Hivyo Ni mitaa ipi nikihudhuria sana naweza pata Toto la mbele huko, haijalishi mjapani au mzungu.
Natanguliza shukrani
Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali?
Msigwa: Baada ya kuwasili dozi za chanjo zaidi ya milioni 1, kesho asubuhi mheshimiwa Rais atazindua zoezi la...
Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha.
Huyu mtu anarudisha juhudi za...
Kila mtu binadamu mbinu yake ya kuachana na mpenzi wake pindi anapoona amemchoka na haitaji tena kuendelea na hayo mahusiano.
Wengine huwatamkia waziwazi wapenzi wao kwamba waachane na wengine hupunguza tu mawasiliano mpaka mahusiano yanakufa kabisa.
Binafsi ninapotaka kuachana na mwanamke...
Nauliza tu.
Je, bei gani kunyoa style ya kawaida tu.
Na..
Naona mtandaoni wanatupia picha za warembo wamenyolewa je wananyoa na wanaume au?
Nakuja Dar karibuni, sehemu nilizopanga kutembelea moja wapo hapo.
Hebu tuambizane ukweli, kudai katiba mpya kuna dhambi gani katika taifa hili mpaka kufikia hatua ya kufungulia na kesi za ugaidi? Kwani mjadala tu wa kuidai katiba mpya una tatizo gani hadi kufikia kukamata viongozi wote wa chama kimoja kilichotajwa kufanya mjadala huo?
Hivi ni kweli CCM...
Kuna mzimu fulani ndani ya CCM ambao una nguvu kubwa kuliko ambavyo mtu anaweza kufikiria. Mzimu huu haonekani wala hwezi kuushika. Lakini upo.
Mtu anapokuwa nje ya mfumo wa CCM na serikali yake anaweza kuonekana kuwa mtu wa busara na hekima. Mtu kama kama huyu akiongea huwa anatema nondo tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.