gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kimepelekea vijana wa kileo kuota Mvi Mapema?

    GreatThinkers Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi. Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

    Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka. Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama
  3. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Ni mtu gani maarufu ulitamani ukutanae lakini kabla hujakutana nae alikufa. Je, unge mwambia nini...?

    kipindi naifahamu Facebook, rafiki yangu mkubwa alikuwa Marehemu Steve Kanumba....na nina uhakika alikuwa ni yeye haswa maana kuna matukio ambayo alikuwa anaya post yalikua real kabisa ya muda huo huo. Nilikuwa nikichat sana na Kanumba na kiujumla alikuwa social sana kwa hilo namsifu sana...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Cream za hair removal zina madhara gani?

    Sijawahi kutumia hizo makitu sasa nashawishika nijaribu so Ningependa kujua kama hizo cream za kuondoa nywele za makwapani, ndevu ama sehemu za siri sina side effects yoyote?
  5. Dexta

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukosea muamala wa kiasi gani kwenye simu yako?

    Habari za jioni wana JF.. Bila kupoteza muda tujikite kwenye mada, ulishawahi kukosea kufanya muamala wa shilingi ngapi kwenye simu yako? Na je, ulifanikiwa kuipata hela au ndio ilipotea mazima.? Kwa upande wangu, nilishawahi kukosea kutuma kiasi cha elfu themanini ila kwa bahati nzuri ile...
  6. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania ONLY FOR LEGENDS: Hili goma lina kukumbusha wapi na tukio gani ?

    Hapa ni maduu, mabitozi na machizi wa kipindi hiyo. Hili goma la mtu mzima joslin lina kukumbusha wapi na tukio gani ? Hili goma lina historia nami nzito sana kila nikikumbuka huwa nabaki kucheka😀 tu kifala yule nyang'au alinijulia haswa😃😃
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo Gani Bora vya ufundi vya private? VETA kupata nafasi ni shida

    Wadau naomba mnijuze vyuo vya ufundi vya private vilivyobora sana hapa Tanzania vilivyo SAWA na VETA au zaidi
  8. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kinywaji gani ukipendacho zaidi

    Hebu share hapa kinywaji chako ukipendeleacho zaidi na kwa nini unakipenda. Anza Mshana Jr
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa mikoani, ukija Dar ni sehemu gani piga ua lazima uende?

    Baada ya Mfumo kunitenga na jiji la ndoto zangu nikawa Sina namna zaidi ya kukubali. Ila huwa napambana isipite miezi miwili sijakanyaga town na kila napofika aisee vijiwe vyangu vya faida ni:- 1. Tabata Magengeni 2. Kimara Korogwe-Tabata Kimanga 3. Tabata kimanga-Ubungo Riverside via...
  10. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Hali gani ulikuwa nayo siku chache baada ya kununua gari lako la kwanza?

    Naomba kukaribishwa rasmi ktk jukwaa hili. Mimi ndio mara yangu ya kwanza kununua gari na katika ukoo wetu tuseme mimi ndio wa kwanza kumiliki hiki kitu. Kiukweli nimeteseka sana mauzauza si mauzauza, sijui ni kuweweseka, yaani kila nikilala naota mara gari limeibiwa, mara naota wezi wanaiba...
  11. Jugado

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kiasi gani cha pesa kuweza kuishi miaka 10 bila kufanya kazi ya kuingiza kipato?

    Miaka kumi ina miezi 120! Say: 3,000,000×120? = 360,000,000
  12. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Nina dogo amemaliza Form Four, nimpeleke shule/chuo gani?

    Wakuu, Naombeni ushauri. Nina dogo amemaliza form four, je nimpeleke shule/kozi gani kwa ajili ya future yenye uhakika? Ana division 1 ya 10 NB: uwezo wa kumsomesha chochote popote upo.
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kipindi unasoma ulikuwa unalipenda na kulichukia somo gani?

    Habari zenu wakuu, Naamini sisi wote humu tumepitia hatua ya kwenda shule kukuza ufahamu na maarifa yetu kwenye maisha. Kwa upande wangu, mimi binafsi nilikuwa nalipenda somo la Hesabu, na nilikuwa silipendi somo la Kiswahili. Vipi wewe Mkuu wangu, ulikuwa unalipenda somo gani na...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 56,149 Wamepata Disivion 0 Kidato cha 4, zaidi ya Laki 2 wamepata Division 4

    Licha ya Takwimu za Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha 4 zilizotolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuonesha Watahiniwa 484,823 (87.65%) wamefaulu Mtihani huo, Watahiniwa 56,149 (10.64%) wamefeli kwa kupata Daraja 0. Pia, Jumla ya Watahiniwa 274,001 (51.94%) wamepata Daraja la 4 ikiwa ni...
  15. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Shule gani nzuri ya kwenda form 1?

    Mambo vipi wakuu? Mwaka huu mambo yakienda sawa nitamaliza darasa la 7. Ni shule gani nzuri mnanishauri kwenda nikasome sekondari? Iwe na sifa zifuatazo: -Chakula kizuri (muhimu sana) -Mazingira (library, computer room etc.) -Inafaulisha. NB; nataka shule mixer sio boys 2 men.
  16. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

    Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela. Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza. Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima? Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani...
  17. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Wasabato majibu mnara wa freemason kwenye kaburi la nabii wenu Bi Hellen G White una maana Gani?

    Hili ni kaburi la Bi Hellen G White lina mnara wa Obelisk.Ukiona mnara wowote round about unamaanisha kiungo cha uzazi Cha kiume Cha Nimrodi. Nimrod mtoto wa haramu ndie aliyejenga mnara WA babel kisha Mungu akawachanganyia lugha wakasambaa duniani. Baada ya Nimrodi kuuwawa kwa kukatwa katwa...
  18. Ivan Stepanov

    JamiiForums Tanzania Hivi kikawaida sijui hapa tuchukue hatua gani dhidi ya huyu mchungaji...

    Ni mchungaji ndio. Wa haya makanisa ya kilokole haya ya akina Tayana-wog . Kiukwel nimesikitishwa na kushikwa na hasira kwa wakati mmoja. Ni mama yangu mkubwa kabisaa yamemtokea. Ni kwel sikatai hakulazimishwa kwenda huko kusali lakini ndio hivyo tena mambo ya imani (magumu sana). Jana wakiwa...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Unamshauri kitu gani huyu kijana mbishi?

    Kila siku Mjanja M1 nawaambia Single Mothers wana changamoto lakini hamtaki kunielewa. Unamshauri nini huyu kijana anaetaka ubaba usio wa kwake?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Umepata funzo gani kutoka kwenye madeni?

    Kwa upande wangu madeni yamenifanya niwe na discipline ya hali ya juu, yaani extremely discipline kwenye pesa. Pia yamenifanya akili iwe active kwenye kufikiri mipango na yamezidi kunipa courage na ujasiri wa kutafuta zaidi, hakika madeni au kudaiwa kuna raha yake.
Back
Top Bottom