Ninaombeni ushauri, ni vigezo gani vilitumika mbeya kuwa jiji?

Asante kwa Bandiko lako Mkuu.

Wajuzi wanakuja kukupa miongozo.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mbuzi,Ng'ombe,Nguruwe kukutana nao wanazurula hovyo ni kawaida.....nje ya nyumba mtu Kalima mahindi kama kijijini.....yaani Mbeya kuwa jiji naona ilikuwa kisiasa zaidi
 
Hii nchi maamuzi yake hayazingatii vigezo vyovyote vya kitaalam ila popote penye masilahi binafsi jambo linatiki, hata kesho Namtumbo inaweza kuwa jiji.
 
Back
Top Bottom