gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Ulioa/kuolewa ukiwa na umri gani?

    Leo tupige story kidogo, siyo muda wote kuwa serious sana. Mimi nilioa nikiwa na umri wa miaka 27 nikajaaliwa kupata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 28, hiyo ilikuwa 2011, hadi leo nipo kwenye ndoa, nina watoto wanne Mwenyezi Mungu anasaidia tunaishi kwa amani life linasonga. Wewe je...
  2. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Huu ni mti Gani!? Kazi yake ni ipi!?

    Nimeukuta umejiotea pembeni ya nyumba... Je ni dawa!?... Inatumika kuponya nini!? 👇
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Gesti unatumiaga jina gani?

    Tukienda gesti kibongo bongo kwa ajili ya kupiga mambo yetu yale wengi wetu hatutumiagi majina yetu ya ukweli. Mimi naandikaga Emmanuel John, wewe je? Funguka hapa chini👇
  4. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Progamu mtoto anazoweza kufanya wakati huu wa likizo ya mwisho wa mwaka

    Salaam Wazazi/Walezi Kama mnavyojua vijana wetu wanakaribia kuanza likizo yao ya mwisho wa mwaka. Tuwapongeze kwa kuweza kupambana na masomo yao kwa kipindi chote mwaka huu. Shule huchosha akili, hasa hizi shule ya English Medium zimekuwa zikiwarundikia kazi wanafunzi hivyo kukosa muda wa...
  5. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Mbona Waziri Dorothy Gwajima yupo kimya sakata la Pauline Gekul?

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum mbona upo kimya sana kuhusu hili sakata la Naibu waziri wa katiba na sheria Pauline Gekul? Dorothy Gwajima hujawahi kukaa kimya kiasi hiki linapotokea jambo la kuzalilishaji na unyanyasaji wa kijinsia kiasi cha kijana mdogo...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Benki gani inatoa riba nono fixed account?

    Endapo nitaweka million 100 fixed account kwa mwaka 1, nitapata faida shilingi ngapi? Asante🙏
  7. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kampuni gani nzuri ya jiko la gesi+umeme plet 4/6

    Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, baada ya kukaa na kufikilia sana nataka kununua jiko la gesi la Gesi la Plet 6 (4-Gesi + 2-Umeme), nina familia ya mimi na shemeji yenu tu na sitaki kuja kununua tena Jiko uko mbeleni ndio maana nimeamua ninunue la plet izo 6 (USHAURI UNARUHUSIWA)...
  8. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

    Habari ya asubuhi waungwana. Ninapenda kumnunulia mchumba wangu wa kike zawadi kidogo kwa kutambua thamani yake kwangu, kwa uwezo wangu mdogo wa bajeti ya kuanzia shilingi 10,000 --- 50,000 ningependa kununua zawadi ya thamani hiyo. Nitashukuru kupata mapendekezo ya aina nzuri ya zawadi...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Gigy Money asaidiwe

    Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili.. Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa...
  10. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania HESLB hizo bilioni 780+ mlizoidhinishiwa na serikali kwa mwaka 2023/2024 mmewapa wanafunzi gani?

    Hadi sasa wanajamvi sielewi kama zile taarifa za kuwa mwaka huu zaidi ya wanafunzi 220000 wanatajwa kunufaika na mkopo wa masomo kutoka heslb kuwa ni kweli, kwa sababu kila siku hapa kitaa madogo walioenda chuo kwa bashasha lote wanarudi kitaani na sura zilizokosa tumaini kabisa, yaani ni huruma...
  11. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Je! ni njia gani za kashfa za matapeli wa forex? Jifunze kuhusu njia hizi ulinde pesa zako.

    Watu zaidi na zaidi wanapoingia kwenye soko la uwekezaji, idadi ya utapeli wa uwekezaji inaongezeka siku baada ya siku. Watu wengi hawawezi kupinga mvuto wa uwekezaji wa fedha za kigeni(forex), lakini wana ujuzi mdogo wa soko la fedha, ambayo huwapa matapeli fursa ya kutumia tamaa zao...
  12. Mhakiki

    JamiiForums Tanzania Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    Wakuuu habari za usiku. Moja kwa Moja twende kwenye maada. Mimi kwa upande wangu mapungu yafuatayo kutoka kwa mama watoto wangu nimekubali KUISHI NAYO. 1. Kutopokea simu. Mke wa Mimi hapokei simu hata aione inaita hatashughulika NAYO Hadi amalize shughuli zake. Ukimpigia simu asipopokea...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kusali kabla ya Kula?

    Naomba mnielezee kwa kina kuhusu hii kitu Umuhimu wake hasa ni upi maana sasa naona naendeshwa na imani nyingi sana mpaka nashindwa kuishi kwa amani Au kusali kabla ya kula kunaweza kukuepusha na chakula chenye sumu ya Panya? Au LIMBWATA?
  14. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania mna shida gani simu zinasoma "emergence call"?

    Ndani ya dkk 10 zilizopita mawasiliano yangu na mteja yamekatika nilijua ni tatizo la simu. cha ajabu nikitafuta watu watsap nao wananiambia line yao ya tigo ipo emergence call. Hii ndo line ya huduma ofisini kwangu ntakufaa njaa. Wahusika fanyieni kazi.
  15. Nizhneserginsky

    JamiiForums Tanzania Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

    Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada. Mapenzi yana nguvu sana pale unapopenda kisawasawa unaweza tembea umbali mrefu kufuata penzi bila kujali umbali, gharama zozote ili mradi ufanikishe jambo Binafsi nina visa viwili. 1. Niliwahi kusafiri toka Moshi kwenda Tanga kufata penzi...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hivi Huduma za Afya za Bure kwa Wazee zinatolewa kwenye Hospitali gani? Mbona kila napoenda nakuta Wazee wanalipishwa tu

    Licha ya Serikali kutoa maelezo kuwa Huduma za Afya kwa Wazee zinatolewa Bure kwenye Vituo vya Afya, uhalisia katika utekelezaji wake umekuwa haueleweki na hivyo, kusababisha kero kwa Wazee wanaofika katika baadhi ya Vituo kupata Huduma. Mamlaka zitoe maelekezo sahihi kuhusu Huduma hizo kwa...
  17. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Hadithi Fupi: Ni kiwango gani cha Ardhi anachohitaji mwanadamu

    Wapenzi wa simulizi, hii ni Simulizi iliyotoka mwaka 1886 huko Urusi iliyotungwa na Nguli wa Fasihi, Leo Tolstoy. Mwanafasihi huyu ameandika Riwaya na Hadithi fupi fupi nyingi sana. Riwaya zake Maarufu ni Anna Karenina na War and Peace. Hadithi hii fupi iliitwa : WHAT AMOUNT OF LAND DOES A...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mambo gani muhimu ya Kumfundisha Mtoto mapema kabla hajawa nunda?

    Ukiwa Mzazi bila shaka unabeba jukumu kubwa la malezi na jinsi unataka kumshape mwanao. Ni mambo gani unahakikisha mwanao anayajua mapema?
  19. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania U.S.A, China, Singapore wanatufundisha mambo gani na vipi kuhusu nchi nyingine?

    Meza ya siasa na uongozi Somo lililopo mezani je, ni mambo gani Singapore, U.S.A na China wanatufundisha sisi nchi iliyo poteza dira ? Kwangu mimi kama tukitaka kujifunza Vyama bora vya siasa, Mifumo/taasisi imara na Bunge bora Basi yatupasa kuzama hizi nchi. Kwa Bunge bora Hapa tutazame na...
  20. Mkanaani

    JamiiForums Tanzania Basi gani linaloanzia Dodoma kwenda Geita?

    Habari zenu, Naombeni msaada ni bus gani linaloanzia Dodoma kwenda Geita, achana na haya yanayotokea Dar kwenda Geita. Asanteni.
Back
Top Bottom