Ni kampuni gani kwa Moshi au Arusha naweza safirisha nayo mzigo kwenda Marekani?

Chakorii

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
18,586
50,683
Habari wanajukwaa mko salama?

Nina rafiki yangj yuko USA nataka kumtumia mzigo wake huko alipo, so naombeni msaada wenu wa kujuzwa kampuni ambayo naweza safirisha nao mzigo ukamfikia mhusika kwake.

Natanguliza shukuran.đź‘Ź
 
Posta ndio wasafirishaji wa Mizigo ya ndani na Nje ya Nchi ila huo mzigo uwe sio wa kuvunja sheria au unahitaji vibali kama unahitaji vibali utaambiwa ambatanisha vibali vyake mzigo unapelekwa Nchi yeyote unayotaka..
 
Asante sana chief
 
Back
Top Bottom