Je, Yesu Kristo alikaa tumboni kwa Mama yake kwa muda gani hasa kabla ya kuzaliwa?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote?

Swali Kwa Ndugu zangu Je Yesu Kristo au Issa Bin Mariamu alikaa tumboni kwa Mamake Bi Mariamu kwa muda gani hasa kabla ya kuzaliwa?

Je ni miezi 9 au 6 au 3 au 1 au siku 1?

Naombeni majibu kwa mujibu wa maandiko rasmi na sio vinginevyo

Lugha zisizo na staha hazikubaliki

Karibuni tujadili
 
Hakika yake huwezi pata andiko kwenye Biblia lenye uhalisia wa mwezi wa kuzaliwa Bwana Yesu.

Nisahihishe Kama nimekosea.
 
According to bible mimba ya yesu ilitungwa mwezi wa sita, kwaio ukipiga hesabu za muda wa mimba ya kibinadamu , miezi 9 inatimia mwezi wa 3.kwaio alizaliwa mwezi wa tatu.
 
Kalenda ya Kiyahudi ndio iliyotumika kwenye tafsiri za Biblia ...ukisoma humo utaikuta miezi hiyo.

Sisi tunatumia Gregorian calendar, hivyo ukihitaji majibu zaidi itabidi ufanye calculation/ulinganishe Gregorian calendar and Hebrew/Jews calendar.

Hata hivyo jambo la muhimu ni kwamba Yesu alizaliwa, yeye ndiye Mwokozi, ndiye Njia, Kweli na Uzima. Mtu hawezi kwenda mbinguni bila kumwamini yeye.

Yohana 3: 16
Yohana 14: 6
Matendo 4:12

Kwahiyo jambo la muhimu ni kumkimbilia Yesu, haya mambo ya kalenda hayana umuhimu sana
 
Wengi humu akili huwa haziwatoshi. Vitu simple Tu mtu anashindwa kutumia logic, tena ukimuuliza Tu babu mzaa Baba yake kazaliwa lini hajui.
 
Back
Top Bottom