gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Mwenezi aelekee upande gani kwenda kupuliza dawa ya kuua wadudu?

    Walimuona Mwenyekiti wetu mstaarabu sana na mwenye upendo kwa watu wote, wapuuzi wale wakaanza kumkejeli kumdhihaki kumtweza. yarabi Mwenyekiti hakulelewa kwenye malezi ya aina hiyo yeye akawa mpole tu, akazidi kuwapenda mara mbili zaidi, baadae ikaonelewa vijana wanawezana kwa vijana, acha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tukio gani lilitokea maishani likabadilisha mtazamo na imani yako?

    Nilipokuwa mdogo, miaka kadhaa iliyopita nilipoteza kamera ya rafiki yangu mmoja aliyekuja kututembelea nyumbani kwetu. Nilikuwa bado mwanafunzi nikiishi pamoja na wazazi. Rafiki huyu aliipata kamera hiyo kama zawadi kutoka kwa ndugu yake aliyekuwa akiishi ughaibuni. Tulipiga picha nyingi naye...
  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya akili na maswali?

    Mfano mzuri darasani ukiuliza swali simple kila mtu atakuona kilaza na mjinga ila ukiuliza swali gumu utaonekana mwamba! Kwani kuna uhusiano gani kwenye hivi vitu?
  4. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya mabasi ya mikoani na hizi hoteli wanazosimama kulisha abiria?

    Je, ni kwamba hizi hotel zinamilikiwa na hawa wenye mabasi au wenye mabasi wanapata nini hapa maana unakuta mabasi yanaendelea kusimama katika hotel hizihizi licha ya hotel kuwa na; Huduma mbovu na ghali - Vyakula ni ghali hlf vina viwango duni. Unaagiza chakula ni basi tu kupooza njaa lakini...
  5. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Uliachwa kwa staili gani?

    Ndugu zanguni, mkiniona nimekuwa sugu la mapenzi kiasi hiki, jueni tu nimepitia mianzi ya kila kiwango. Nipende tu kusema haya mapenzi hayana mwenyewe. Enzi zile nilipokuwa napata taarifa ya usaliti ama kitelekezwa nililia sana, hii ni kwa kuwa nilikuwa napenda mpaka napenda tena, yaani unaingia...
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Gharama kiasi gani mtu ataingia akitaka kutumia umeme wa solar tu nyumbani kwake?

    Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hapa ni wapi?

  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani unayajutia yaliyokupotezea muda

    Nilipokuwa na miaka 21 Najutia kulazimisha penzi na mwanamke ambae hakunipenda, nilipoteza almost mwaka mzima kulazimisha kisichowezekana, nilijifunza kwa uchungu zaidi mapenzi hayalazimishwi nilipoona ana mimba na kaenda kutolewa posa. Nakumbuka niliwahi kupoteza mwaka mzima kujaribu...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hii Challenge Coin aliyopewa Sugu na Balozi wa Marekani ina maana gani?

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle baada ya kumtembelea Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, mwisho wa Mazungumzo yao alimpatia Sugu zawadi inayoitwa CHALLENGE COIN. Hii Challenge coin ina maana gani hasa, na ni Watanzania wangapi wamepewa, na kwa vigezo vipi?
  10. Sheillah Sheillah

    JamiiForums Tanzania Kama stress za mapenzi zingekuwa zinaua ungekufa mwaka gani?

    Eti kama hizi stress za mapenzi zingekuwa zinaua wewe ungekuwa marehemu tangu mwaka gani? Aah yaani mimi ningekufa mwaka jana yaani ningekuwa sasa hivi nimebaki mifupa ila Alhamdulillah hazijaniua zimenifanya tu kuwa sugu.
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Novemba 19, 2023: Siku ya Kimataifa ya Wanaume, una ujumbe gani kwao leo?

    Novemba 19 ya kila mwaka, huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Wanaume kwa lengo ka kutambua michango ambayo Wanaume hutoa katika Familia na Jamii kote duniani. Pia, Siku hii inalenga kuongeza ufahamu kuhusu takwimu za juu za Wanaume kujiua ikiwa ni eneo ambalo mara nyingi hupuuzwa wakati wa...
  12. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania App gani za Tanzania unazo kwenye simu yako?

    Na Bwn Kenge! "Entire third world shall change when consumers turn into producers" Ni Maneno ya mwalimu mmoja aliyekua akijibu swali la Mwanafunzi aliye Uliza "Ni lini Africa(Dunia ya 3) itaacha kutegemea Dunia ya kwanza...Mwalimu huyo alijibu ni ile siku watumiaji(Consumer) wageukapo...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Unadhani huyu ni Mchezaji gani ambaye amecheza soka kwenye Nchi 7

    unadhani huyu ni Mchezaji gani ambaye amecheza soka katika Klabu 12 ndani ya Nchi 7 ikiwemo katika Bara la Ulaya na Asia?
  14. central midfielder

    JamiiForums Tanzania Zilitoka mwaka gani

    MSAAD KIDOGO. HIZI NYIMBO ZIKITOKA MWAKA GANI. DIAMOND FT GEEZ MABOVU NGWAIR...JISACHI. GODZILLA FT DIAMOND...MTOTO WA KIUME. TOPBAND FT BLUE...NILIKATAA GODZILLA FT ALIKIBA..MILELE
  15. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Hizi alama/maandishi kwenye barabara huwakilisha kitu gani?

    Naona sana nikisafiri kwenda mikoa tofautitofauti hizi alama/mabango kwenye barabara, mfano; T6 Dar es Salaam au T4 Mtwara. Huwa zinamaanisha nini wazee wa RoadSite?
  16. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kitu gani kinatusumbua sisi mpaka biashara au utajiri wa kifamilia unakuwa mgumu sana au una shindikana kabisa ?

    Hili ni swali huwa najiulizi mara nyingi. Hivi ni kitu gani kinasumbua jamii yetu mpaka utajiri au biashara za kifamilia kufa na kushindwa baada ya mwenye mali kufa ? Maana ukitazama wenzetu waarabu wanaweza kufanya biashara au kuendeleza utajiri wa familia kwa miaka mingi sana vizazi na...
  17. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc!!

    Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua sana. Alipokuwa kule makocha walikuwa hawakai kabisa. Aliachiwa timu kwa muda Kali Ongala Timu...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Pensheni za Wastaafu za TISS hasa DGIS, DEO na DIO tokea wa Awamu ya Nyerere hadi ya Samia ni Kiasi gani?

    DGIS namaanisha Wakurugenzi Wakuu waliostaafu Kazi. DEO namaanisha Wakurugenzi wa Nje (Majasusi hasa) DIO namaanisha Wakurugenzi wa Ndani (Kachero hasa) Wajuzi karibuni ili mnielimishe hapa.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine 🤔🙏❤

    Wakuu,haya tuambieni Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine 🤔🙏❤
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Lazaro aliyefufuliwa na Yesu, alitoa ushuhuda gani kuhusu kuzimu baada ya kufufuka?

    Mimi sio msomaji mzuri wa Bibilia, ila nimesikia habari ya Lazoro kufa na baadae kufufuliwa na Yesu wakati Yesu bado yuko hapa duniani na tena tunaambiwa alikuwa anatoa harufu. Swali ni je, Lazaro alihadithia nini kuhusu kifio au hakusema chochote? Kwa mfano, wakati anakata roho, nini hasa...
Back
Top Bottom