fursa

  1. JamiiForums Tanzania NAHITAJI ENGINE YA LANDROVER 110 - 300 SERIES MILIONI 1.5 CASH MEZANI

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji engine ya Landrover 110 - 300 Series. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni moja na nusu (1,500,000/=) Shukrani.
  2. JamiiForums Tanzania Fursa kwa vijana

    Habar za Jumatatu Kuna fursa kwa vijana wenye moyo wa utafutaji na weny uwezo wa kujituma. Wanahitajika vijana kweny kampuni ya Zantel kwa ajili kufanya Mauzo Sifa Uwe na Smartphone inayofanya kazi vizuri Uwezo wa kuongea na wateja na nguvu ya ushawishi Vigezo Barua ya uthibitisho kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…