Fursa: Vibanda vya simu vitalipa sana kuanzia kesho

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Walio sajili line fikirieni kufungua mradi wa vibanda vya simu, mtapiga hela sana hasa mkifanya maombi ili NIDA wakwame kutoa namba za vitambulisho. Watu milioni 41 watazimiwa simu sasa ukipata wateja 100 watakaokupa 500 kila mmojanili watume sms au kuongea kwa dakika 1 basi utakuwa na 50,000/= kwa wale wenye wapenzi wao wakija wanataka kuchat bas unaweza kubuni vifurushi akikulipa 1000 anatuma sms 100 na kama atataka kuchat whatsapp basi umfanyie 200 kwa sms au ajiunge na kifurushi cha 1500 umpe achat sms 100 bila video na kama atatuma video basi sms 50.

Unaweza kujiuliza mbona bei ya vifurushi ipo juu? Jibu ni hili, hivi ni vifurushi komozi vyenye lengo la kupiga pesa kwa haraka ili kufidia muda uliopoteza kwenye foleni za NIDA.

Tumieni changamoto kuwa fursa.
 
Back
Top Bottom