TRC kamateni hii fursa

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
10,815
2,000
Nawashauri TRC wakamate fursa ya kusafirisha abiria kati ya Dodoma na Dar es Salaam. Toka serikali imehamia Dodoma kumekuwa na upungufu mkubwa wa magari ya abiria hasa weekend. Nashauri waanzishe safari rasmi mfano kuwe na treni kila ijumaa jioni na isimame Morogoro pekee vilevile kila jumatatu alfajiri itoke Dar es Salaam kwenda Dodoma
 

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
5,845
2,000
Ndiyo nasoma na kujua hilo la upungufu wa mabasi leo mmmh, Dodoma!
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
19,714
2,000
Nawashauri TRC wakamate fursa ya kusafirisha abiria kati ya dodoma na dsm. Toka serikali imehamia dodoma kumekuwa na upungufu mkubwa wa magari ya abiria hasa week end. Nashauri waanzishe safari rasmi mfano kuwe na tren kila ijumaa jioni na isimame morogoro pekee vilevile kila jumatatu alfajiri itoke dsm kwenda dodoma
Kwani si kuna treni tayari
 
Top Bottom