fursa

  1. Soma Vitabu Tanzania

    JamiiForums Tanzania Jifunze hapa jinsi ya kuzivuta fursa na kuzitumia ndani ya muda mfupi

    JIFUNZE HAPA: Jinsi Ya Kuzivuta Fursa Na Kuzitumia Ndani Ya Muda Mfupi. Unakwama Wapi Mpaka Sasa Hujui Jinsi Ya Kuzivuta Fursa? Huzioni fursa lakini wenzako wanaziona na kuzitumia je, unajua tatizo ni nini? Ulichofichwa kwa muda mrefu leo unakwenda kukifahamu na kukitumia ipasavyo. Angalia...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kuna Fursa ipo kwetu kwenye Uchumi wa Gesi, ichangamkie haraka

    Nakusalimu tena kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama yangu! Ni nadra sana Mimi Lord Denning kuandika nyuzi mbili humu ndani Ila leo imebidi nikuandikie humu maana nimegundua kuwa wewe ni mwanachama na mpenzi wa hili jukwaa! Nimeandika ushauri wangu kwako juu ya reformation...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Fursa Kwenye Mradi wa bomba la Mafuta - Hoima Kwenda Tanga

    Ndugu wadau.. Kutokana na fursa zilizopo kwenye ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima kwenda Tanga.. Naomba kupata uzoefu wenu kuweza kujua namna ya kuweza kushiriki kwenye hiyo keki.. Ninahusika na biashara za bima .... ambavyo najua kutakuwa na fursa mbalimbali za kushiriki kwenye mradi...
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya

    Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya Na Kelvin Isenye Ogome Kutokana na ongezeko la matumizi ya simu tamba na za kisasa pamoja na kuimarishwa kwa mtandao, imekuwa rahisi kwa idadi kubwa ya Waafrika kutumia mtandao katika maisha yao ya kila siku, kama vile...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Wape Watoto fursa ya kujifunza masuala mengine katika maisha mbali na masomo ya darasani

    Habari za wakati huu jamiiforums Stories nyingi sana za KGB na zile zingine ambazo ninaandikaga kule jukwaa la jamii intelligence ni zile ambazo nilizisoma mwaka 2006 nikiwa kidato cha sita. Kipindi hicho hakuna smartphones lakini nilikuwa ninaiba muda kisha ninakwenda internet cafe moja...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mazao jamii ya maharage ni fursa nzuri ya biashara

    Mazao jamii ya maharage ni maharage, kunde, choroko, mbaazi, njugumawe nk. Kutokana na idadi ya wasio kula nyama duniani kuongezeka soko la mazao haya limeongezeka sana. Mazao haya hutumiwa na watu wa dini na race zote. Licha ya mabara mengi kuwa watumiaji wazuri wa mazao haya, Afrika ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa acheni kulia lia fursa kamili ya mabadiliko ni sasa

    Yote ni dhahiri mno na tunayaona kote bungeni na hata serikalini: "Dhuluma dhidi yetu haziwezi kuachwa ziondoke zenyewe au kuachiwa mtu aje na huruma zake kuziondoa au kuachiwa kudra zake mola." Tumefikishwa hapa kwa sababu ya unyonge wetu, woga wetu, ujinga wetu, hofu zetu, utengamano wetu...
  8. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Fursa Bomba la Mafuta kwa watanzania-UPDATES

    Wakuu. Tanzania na Uganda zimesaini mkataba wa mwisho kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani bandari ya Tanga nchini Tanzania . Ni heshima Kubwa nchi yetu ya Tanzania kupata fursa hii ya bomba la mafuta kupita nchini Tanzania ambao utapita mikoa 8, Wilaya...
  9. Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania Urais wa Mama Samia Suluhu Hassan: Changamoto na fursa zilizopo

    Mjadala wetu utakuwa na sehemu SITA kama ifuatavyo: Kufuatia utangulizi, sehemu ya kwanza itaangalia kwa kifupi historia ya nafasi ya Makamu wa Rais katika jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katika hili tutaangazia vipindi viwili muhimu katika historia ya Jamhuri ya Muungano Tanzania: -Kipindi...
  10. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Jifunze fursa 6 za biashara mtandaoni

    Hivi sasa teknolojia imekua ndio kila kitu hakuna mahali unapitia pasipo kutumia teknolojia, hiyo inadhirisha kuwa uwezekano wa kufanya biashara mtandaoni ni mkubwa sana cha msingi ni kujua ni vitu gani vya kufanya ili kuweza kuongeza kipato chako. Kwa kuanza basi ni vyema nikwambie kabisa kuwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa ambayo hamjawahi kuyaona, tusipoteze hii fursa jamani

    KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad: Wanaounga mkono kila kitu ni wasaka fursa

    Dar es Salaam, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema watu wenye tabia ya kuunga mkono kila wakati ni wasaka fursa na hawana msaada wowote katika nchi. Profesa Assad amesema hayo leo Jumamosi Aprili 10, 2021 katika uzinduzi wa mfululizo wa...
  13. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wahitimu wa kozi za ualimu na kozi nyingine

    Habari za wakati huu; Wakati ukiendelea kutuma barua kuomba ajira katika sehemu mbalimbali unaweza pia kutumia elimu yako kutafuta solution ya moja ya changamoto za elimu ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya masomo ya ziada.Baadhi ya Masomo ya ziada unaweza ukayatoa kwa njia ya VIDEO-YOU TUBE,Au...
  14. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania JamiiForums linaweza kuwa darasa zuri sana la waandishi wa habari wanaoiona fursa hii

    JamiiForums ni darasa huru ambalo kama mtu anatamani kuwa mwandishi bora kabisa wa masuala mbalimbali anaweza kujiona na kufikia viwango vya juu sana. Nashauri waandishi wa habari najaribu kuitumia fursa hii ili kuepusha uandishi holela na kurupushi. Nakiri kujifunza mengi sana yanayohusiana...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi awataka Mabalozi kujipanga na kutafuta fursa za masoko ya bidhaa za Tanzania

    Mabalozi wanaoiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nje ya Nchi wameelekezwa kujipanga, kushiriki na kutafuta fursa zitakazowezesha bidhaa mbalimbali za Tanzania kupata masoko ya uhakika katika nchi walizopo. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Ma-MC kuigiza Tamthilia, Njaa au Fursa?

    Njaa imezidi kubana kiasi kwamba watu wanachungulia fursa popote. Yaani hakuna kuacha hata kazi ya Buku. Sisi wasanii wadogo tunaponea wapi?
  17. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wanachuo wote.

    Mashindano ya 8 ya uwandishi wa essay kwa wanafunzi waliopo vyuo mbali mbali Tanzania.
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Sisi ni wanachama wa Jumuiya ya Madola lakini tunatengwa katika fursa

    Mwezi wa 12, MK254 aliweka uzi hapa unaohusu Uingereza kuchukua Wakenya kwaajili ya ajira. Rafiki yangu alibahatika kwenda kwenye kongamano hilo lililofanyika Nairobi. Kwakua rafiki yangu anaishi Dar na ufuatilikiaji ulimshinda kwa vigezo. Wanaajiri kada zote mradi tu ujue kuongea na...
  19. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwalimu mzuri wa Udereve Theory mwenye notes-Kuna Fursa

    Habari, Kama mada inavojieleza niko Mbioni kufungua chuo cha Udereva kwa ajili ya Mteja wangu mmoja na ninahitaji Mwalimu Mzuri wa udereva ambaye anatakiwa akidhi vigezo vifuatavyo: Awe na notes za electroniki za full course Awe anajua kutumia PC na Projector Awe tayari kujifunza zaidi Awe...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wangu wa Kibamba, changamkia fursa ya mheshimiwa Rais haraka iwezekanavyo kabla ya bajeti

    Leo Mh. Rais wakati akizindua stand ya mabasi ya mbezi luis amepokea maombi murua kutoka kwa mwakilishi wa wananchi ambaye ni mbunge, nitapenda kuongelea ombi moja kati ya mengi aliyoyaomba kwa maana yote yamepata majibu safi sana. Ombi lenyewe ni barabara za jimbo la Kibamba. Nakupongeza sana...
Back
Top Bottom