Good afternoon jamiiforums
Ndugu zangu mnaofanya kazi ubalozi wa Tanzania huko mjini Doha nchini Qatar, kombe la dunia la mwaka 2022 lipo njiani linakuja, tunaomba mjipange hata kama budget ni finyi fanyeni kile kidogo kilicho ndani ya uwezo wetu.
SEPTEMBER, 2018 - JPM: "Mabalozi sasa...
Wana jamii kama kuna kipindi kizuri cha kuanzisha chama cha kisiasa na kupata wafuasi ni sasa, kwa sababu zifuatazo;-
Kuna tofauti ndani ya chama Tawala na ndani ya vyama vya upinzani; CDM, CUF na ACT si shwari, ndani ya CCM kuna msuguano mkali wapo wanaopenda kuona mabadiliko km alivyoanza...
"Ninawasihi vijana wenzangu najua tumepigika kweli kweli lakini awamu hii Chadema imeleta fursa. Kila kijana atakayekuwa wakala wa usajili wanachama wa Chadema, kila utakaposajili mtu mmoja unapata shilingi mia tano." Mhe. John Pambalu
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Antony Mavunde amempongeza Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa za kuharakisha utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Hoima - Tanga. Maana Mradi huo utatoa ajira zaidi ya elfu kumi na tano (15,000) kwa Watanzania.
Hivyo...
Mbunge wa Viti Maalum Grace Tendega amesema uamuzi wa Tanzania kutoruhusu uraia pacha kunaikosesha fursa nyingi za kiuchumi.
Tendega ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Juni 1, 2021 bungeni wakati akichangia katika hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa mwaka...
Wadau fursa hii tushikirikiane.
Kama una shamba na lipo eneo kidogo eneo zuri basi tunapima viwanja na kusimamia uuzaji wote kwa gharama zetu kwa mkataba maalum baina yetu
Wewe uwe na shamba tuite tukae chini tufanye kazi pamoja
Karibu
Wajasilimali wenzangu msije mkasema sijawaambia,iko hivi kama una shamba karibu na Dar,maana ya Mkuranga, Bagamoyo nk fikiria mradi huu unalipa.Nimeiba idea hii kwa jirani yangu kupitia meneja wake nikaone ni FURSA muhimu.
Iko hivi kwa mfano:
Kama una eneo lako hata kama ni ekari moja tu ya...
Yaani hapa wala sihitaji kuweka maelezo mengi. Tunapoongelea kero za Muungano, mara nyingi ni ndugu zetu wa Zanzibar wanaoona kuna mambo mengi yanahitaji kurekebishwa. Sasa basi, badala ya kufurahia baraka ndogo ndogo za uraisi wa Samia kwa Zanzibar kama kumtuma raisi wa Zanzibar kumwakilisha...
Boomplay na Hitlab wametangaza Shindano la kuvumbua vipaji kidijitali kwa wasanii Chipukizi linalomshirikisha nyota wa muziki wa Marekani mwenye asili ya Senagali, Akon. Dar es Salaam, Tanzania, Mei 26, 2021. Boomplay na Hitlab wameungana kuwawezesha wasanii chipukizi kufanya kazi na nyota wa...
Habari zenu wataalam,
Najua wengi wetu tumepiga hatua tulipo sasa baada ya kukutana na changamoto fulani huko nyuma ambayo imekua ni fursa.
Kuna kijana wa karibu nilikua namuona ana jitihada sana katika masomo ya habari (chuo kikuu) nilipojaribu kumuuliza ni kipi kinachomfanya awe bize zaidi...
Habarini wana jamvi.
Kutokana na kukua kwa kasi ya kuridhisha kwa jiji la Dodoma, kuna mahitaji yanayoongezeka kutokana na umuhimu wake kwa maisha ya binadamu ya kila siku.
Uhitaji wa mboga mboga na matunda unakua kwa kasi kubwa.
Uhitaji huu ni wa wote, yaani wauzaji na wazalishaji.
Kwa wale...
Habarini wanajamvi, kama wewe ni muumini katika kuwekeza ardhi basi chukua hii.
Chuo kikuu cha ardhi kinatarajia kujenga chuo kishiriki kikubwa saana jijini Dodoma.
Eneo walilolenga kujenga lipo wastani wa 25km kutoka njia kuu(lami).
Wakazi na wakulima wa eneo hilo tayari washaanza kuandaliwa...
Na Celina Mwakabwale- UCSAF
Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) umetoa wito kwa wadau wa Mawasiliano nchini wakiwemo wamiliki wa redio hasa radio jamii, runinga na huduma za waya (cable tv) kuchagamkia fursa zinazotolewa na Mfuko huo ili kuboresha usikivu wa vyombo vyao kwa lengo la kuwezesha...
Zama tunazoishi sasa ni zama ngumu mno ambapo mtu usipokuwa na msingi imara utaishia kuanguka vibaya.
Fursa ni nyingi mno, lakini nyingi siyo fursa za kweli.
Fursa hizo zinahamasisha na kutamanisha kwa sababu unaona kabisa wengine wakinufaika nazo.
Kumbe hiyo ni sehemu ya mtego wa kukunasa ili...
Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima amesema watanzania wengi hawaelewi athari za nchi kuwa uchumi wa kati.
Ni kwamba unapoingia katika kundi la uchumi wa kati zile fursa zote ulizokuwa unapata kama nchi maskini zinatoweka na usipokaza buti ni rahisi sana kurudi kwenye uchumi wa chini.
Chanzo: TBC...
Amani iwe nawe Mama yangu.
Heri ya sikukuu ya Eid! Na Polee na uchovu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan.
Kama nilivyotoa commitment ya kukuunga mkono Mara tu ulipochukua kiti cha kuongoza nchi yetu, leo napenda kuleta mada nyingine ya ushauri kwako ili tuutumie katika kuijenga na kuipeleka...
Habari wana board!
Namshukuru Mungu kwa uzima aliotukirimia, sifa, heshima na utukufu ni kwake Yeye Pekee!
Miaka 5 iliyopita nilianza kupata hamasa ya kujifunga mambo ya kuunda tovuti, hii ilichochewa na kuwepo kwa fursa nyingi sana ambazo mimi binafsi niliziona kwenye upate wa IT...
MAKOSA 3 AMBAYO WATU WENGI HUFANYA WANAPOWEKA MALENGO
Kila mtu hujiwekea malengo yake kwa kukusudia kubadilisha maisha yake lakini malengo mengi huwa hayatimii
Watu wengi huwa hawajifunzi ila huiga na kufanya vitu kwa sababu wameona kuna watu wanafanya
Kama utakuwa miongoni wa watu wengi...
Binafsi nashauri kigezo pekee cha kupata passport kiwe ni kuwa na kitambulisho cha NIDA tu. Tukiendelea na urasimu uleule hatutaitumia hii fursa vizuri. Watu kibao wanafanyabiashara Kenya ila shida ni utambulisho.
Nina jamaa zangu Wamasai walikuwa wanapeleka sandals Kenya ila wanasema walikuwa...
JIFUNZE HAPA: Jinsi Ya Kuzivuta Fursa Na Kuzitumia Ndani Ya Muda Mfupi.
Unakwama Wapi Mpaka Sasa Hujui Jinsi Ya Kuzivuta Fursa?
Huzioni fursa lakini wenzako wanaziona na kuzitumia je, unajua tatizo ni nini?
Ulichofichwa kwa muda mrefu leo unakwenda kukifahamu na kukitumia ipasavyo.
Angalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.