Fursa Kwenye Mradi wa bomba la Mafuta - Hoima Kwenda Tanga

newazz

JF-Expert Member
Mar 28, 2009
843
780
Ndugu wadau.. Kutokana na fursa zilizopo kwenye ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima kwenda Tanga.. Naomba kupata uzoefu wenu kuweza kujua namna ya kuweza kushiriki kwenye hiyo keki..

Ninahusika na biashara za bima .... ambavyo najua kutakuwa na fursa mbalimbali za kushiriki kwenye mradi huo... Changamoto inakuja kwamba mradi wenyewe ni mkubwa na kuna hatua mbalimbali zinaendelea kwa sasa, kiasi kutoweza kujua nani wa kumuona , kupata taarifa saidizi ili kuweza kuwa kwenye nafasi nzuri za kufanya biashara..

Najua humu kuna wengine ambao wana mawazo kama haya na pengine mpo kwenye hatua fulani..

Napenda kujua kama suppliers wowote wameshachaguliwa , ili kuweza kuwatafuta .... Wengine ni sub contractors hasa wa kitanzania kwa kuangalia ile suala maarufu la national content..

Pls tupeane uzoefu au mjadala wowote ambao unaweza kutufumbua macho na kuelekeza njia sahihi ya kuendea.

Asante
 
Back
Top Bottom