Vijana wengi tumewekeza sana wenye social networks kama facebook, instagram, na kwningine. Ila kuna mtandao huu wa ma experts na connection za kazi ambao ni wachache wanaoutumia vizuir, Linkedln. Huu mtandao ukiiutumia vizuir unaweza kukusaidia sana.
Nilikuwepo kuwepo tu huko kwa muda mrefu...
Umeshawaza maisha bila vifungashio vya plastic kwa 100%. Kuachana na plastic ni wazo zuri lakini tachukua muda mrefu kutekelezeka.
Fikiria mfuko wa chips unaununua kutoka kwenye barafu, vifungashio visivyo vya plastic vinavyohimili barafu ni changamoto kwa watunza mazingira.
Wachina wamebuni...
Naam, wana bodi !
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nayo inahusu watu dhaifu. Watu dhaifu ni watu hatari sana. Wakiwa wanasiasa wanakuwa hatari zaidi. Ni waoga wa mabadiliko. Waangalie wale wote waliobeba agenda ya mitano tena. Karibu wote ni dhaifu kisiasa na kijamii. Wanaposema mitano tena...
Kiwanja kipo Chanika mwisho njia ya Mvuti (Kwa Bwaje)
Ukubwa wa kiwanja ni 20 * 40 (sqm 800)
Umeme na maji vipo karibu.
Bei ni Millioni 4 mazungumzo yapo.
Kiwanja hakina dalali ni cha kwangu na document zote muhimu zipo.
Mwenye kuhitaji tuwasiliane PM tuyajenge.
Ofisa Mtendaji Mkuu na mbunifu wa jukwaa la Gigspace, Ashura Babi, akiwa na mwanzilishi mwenza, Steve Mawalla, wamesema waliamua kuanzisha jukwaa hilo kwa ajili ya kuwaongezea na kuwafungulia vijana pamoja na wafanyakazi fursa pia za ajira kupitia mtandaoni.
Akizungumza katika mahojiano na...
Mabibi na mabwana tumwogope mola aliyetuumba sisi na wote wanaoitwa binadamu. Misahafu ya kikristo inatambua:
"Kumpenda jirani yako kama nafsi yako."
kuwa ndiyo amri iliyo kuu.
Hivi tutajibu nini Akhera sisi kwa udhalimu tunaowatendea wengine?
Leo tumefikia mahali pa kutumia nguvu...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa Kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) inapenda kuwaalika wafanyabiashara, watoa huduma, wakandarasi, wasafirishaji wa mizigo na wadau wote katika Kongamano la wadau utakaofanyika jijini Mwanza katika...
Mimi sina fursa ya pesa ila fursa ya kuelekezana jinsi ya kupata pesa kwa njia ya uvuvi ukiwa wewe kijana una nguvu njoo Mafia kama unaweza kuvua huku utavua au utavusha maisha yataenda.
Ukiwa mgeni utapokewa tu hata na mimi ila uwe mtu wa amani na kitambulisho kitachokuonyesha wewe ni nani...
Majira ya asubuhi na jioni ukiwa sana sana hii barabara ya Morogoro road, unaona kabisa kuna watu wanakereka na hili lifoleni huku barabara ya mwendokasi ikiwa tupu kabisa.
Wengi wamekuwa wakiibia ibia kupita kwenye mwendokasi, lakini ni wale wenye guts zao.
Nikakaa nikafikiria, ni kwanini...
Wanadodi,
Leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikianzia kuibuka kwa fursa mpya kwenye reli ya SGR ya Tanzania, karibu.
Wakati Tanzania tukiendelea na ujenzi wa reli yetu ya SGR, shughuli nzito kwenye SGR sio ujenzi, bali ni kuiendesha kwa faida...
TANGAZO LA KAZI TAREHE 17, DISEMBA 2020.
BEITO IINTERNATIONAL COMPANY LTD, tunajihusisha na shughuli za usafi na urembo. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Mwenge, ITV.
Huduma tunazozitoa ni hizi zifuatazo;
USAFI
Usafi wa nyumbani wa kila namna kama vile kusafisha ndani na...
Gongo ni kiswahili cha spirit.
Duniani kuna aina nyingi sana za mianzi. Mianzi inayopatikana Africa kwa wingi inaitwa Oxytenanthera abyssinica. Hii ni mianzi ya kipekee sana kwa sababu mbili.
Kwanza ni mianzi inayovumilia sana ukame na mbili ni kwasababu ni mianzi pekee inayotoa pombe ya...
Sio mwandishi mzuri lakini nataka kushare hii na watanzania,
Hii ni moja ya fursa kubwa zinazopatikana duniani kwa sasa,Kutokana na ukuaji wa masoko na mwendelezo wa ukuaji wa teknolojia. Leo hii nawaletea fursa kubwa ambayo inaweza kuwasaidia watu wenye ujuzi kuhusu masuala ya mitandao hasa...
Ameandika hivi kupitia twitter:
Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Naishauri Serikali yangu ambayo ina lengo kubwa la kuinua viwanda na biashara katika hasa suala hili la cement.
Naomba Serikali isiingilie bei na kuwapangia wauzaji wauze kwa bei fulani na bei fulani, hii naona kama inarudisha nyuma kidogo.
Acha watu wanunue kila mmoja auze kwa bei yake...
Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mwaka ndio huo umekatika njooni tupeane fursa za kibiashara kwa mwaka 2021. Ili tuweze kujipanga vyema.
Kwa mwaka 2021 afe kipa, afe beki lazima nianzishe kabiashara japo kadogo, nafikiria kufanya biashara kwenye masoko, nalenga kuanzisha banda la...
Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
Katika dunia ya sasa ambapo kwa sehemu kubwa tunahitaji simplicity nawapongeza Vodacom M-Pesa kwa kuachia API zao za M-Pesa ili developers mbalimbali kuweza kutengeneza products ambazo zitakuwa na uwezo wa kulink na huduma za M-Pesa bila longo longo au procedures nyingi.
Sasa ni wakati wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.