Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Mwezi wa 12, MK254 aliweka uzi hapa unaohusu Uingereza kuchukua Wakenya kwaajili ya ajira. Rafiki yangu alibahatika kwenda kwenye kongamano hilo lililofanyika Nairobi. Kwakua rafiki yangu anaishi Dar na ufuatilikiaji ulimshinda kwa vigezo.
Wanaajiri kada zote mradi tu ujue kuongea na kuandika Kiingereza, mpaka wafanya usafi wa hospital. Kwa kifupi mradi uwe umemaliza darasa la 12 na uwe na cheti cha IELTS. IELTS ni mtihani wa Kiingereza unaofanywa British
Rafiki yangu aliniomba ni fiat iLife. Nilipiga simu na kutaarifiwa kuwa, waliokidhi vigezo wamesha pata visa na wanasafiri baada ya Pasaka tayari kwa kuanza ajira nchini Uingereza. Zaidi ya hapo, kwakua wana shida sana ya wafanyakazi sekta ya afya, wenye degree hawahitaji cheti cha IELTS.
Sasa nafasi kama hizi mbona hazitangazwi kwa Watanzania? Wizara ya mambo ya Nje itusaidie, kukiwa na Watanzania wanaofanya kazi nje kunasaidia kuinua uchumi kwa pesa wanauotuma nyumbani.