filamu

  1. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Azam Tv kupita channel ya sinema zetu, wawaombe msahama walimu kwa kuwadhalilisha

    Nipo zangu home nimetulia naperuzi kutafuta channel nzuri ya kuangalia nikatua channel ya sinema zetu Azam Tv namba 103 wanaonyesha movie inaitwa simuulizi, Introduction kabla movie yenyewe kuanza. Picha inaanza mabinti wako kisimani wanateka maji, wakaanza kubishana kuhusu Mwalimu mkorofi...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. ndumbaro Aagiza BASATA na Bodi ya Filamu Kusimamia Sekta ya Sanaa Kukuza Uchumi wa Nchi

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa na Bodi ya Filamu nchini kuhakikisha zinasimamia vyema Sekta ya Sanaa iweze kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi na kunufaisha wasanii. Dkt. Ndumbaro ametoa maagizo hayo Oktoba 17, 2023...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania TANZIA Muongoza filamu maarufu Iran, Dariush Mehrjui na Mkewe wauawa

    Mkurugenzi maarufu wa filamu nchini Iran pamoja na mke wake wameuawa wakiwa nyumbani kwao nje kidogo ya Mji Mkuu wa nchi hiyo, Tehran. Taarifa kutokea kwenye vyombo vya habari vya nchini Iran zinasema kuwa Dariush Mehrjui (83) na mkewe Vahideh Mohammadifar (54) aliyekuwa Mwandishi wa vitabu na...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Aielekeza Bodi ya Filamu Kushirikiana na Sekta Binafsi

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameilekeza Bodi ya Filamu nchini ishirikiane na Sekta binafsi katika kuhakikisha filamu za Tanzania zinakua bora zaidi na zinapata soko la uhakika. Dkt. Ndumbaro ametoa agizo hilo Oktoba 12, 2023 alipofanya ziara katika Bodi hiyo...
  5. Intelligent businessman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

    Nimekuwa mfatiliaji wa filamu hizo mbili, yaani fast & furious na mission impossible. 👉Na niseme pande zote mbili zimekuwa zikijitahidi kuwasiliana kazi iliyo bora zaidi. Vin Diesel vs Tom Cruise nani anakukosha zaidi, katika filamu zao hizi. 👉Fast furius vs mission impossible.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi kamwe msiwaruhusu watoto wenu kuangalia filamu za kutisha (zombie & violent movies), kuna mkakati hatari wa shetani kwenye movie hizi!

    Same. Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Majengo wilayani Same, mkoani Kilimanjaro Brian Elisha Godson (12) amejiua kwa kujinyonga akitaka kuigiza kama filamu ya kujinyonga aliyoipenda kuiangalia akiamini hatakufa. Godson anadaiwa kufanya jaribio hilo kwa kujinyonga na shuka saa 12...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa filamu za Harry Potter waomboleza kifo cha Sir Michael Gambon (Professor Dumbledore)

    Taarifa za kifo cha muigizaji huyu Sir Michae Gamboni maarufu kama Professor Albus Dumbledore kilitangazwa na familia yake jana tar 28/9/2023. Mwigizaji Sir Michael Gambon amefariki kwa amani hospitalini akiwa na umri wa miaka 82, familia yake ilisema. Sir Michael alikuwa maarufu kwa mashabiki...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asema amerekodi Filamu nyingine kuitangaza Tanzania nchini China

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa uzinduzi wa Hoteli ya Kimataifa ya Kwanza Wilaya ya Kusini Unguja visiwani Zanzibar amesema kuwa akiwa mkoani Arusha hivi karibuni amerekodi filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania nchini China kwa kushirikiana...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali: Filamu ya Royal Tour imetazamwa na watu zaidi ya bilioni moja duniani

    Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa filamu ya Royal Tour ambayo mpaka sasa imetazamwa na watu Bilioni 1 duniani. Chanzo: Clouds Media
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nigeria yaipiga Marufuku filamu ya Barbie kwa madai ya kuchochea Mapenzi ya Jinsia Moja na Kudharau Ndoa

    Uamuzi unakuja baada ya Nchi za Lebanon, Kuwait na Vietnam kuifungia Filamu hiyo huku sababu zikitajwa kuwa inachochea Mapenzi ya Jinsia Moja, Inaeneza Tamaduni za Magharibi na Inaenda Kinyume na Imani na Tamaduni za Kiislamu. Sababu nyingine ni Kupuuza Uwepo wa Baba katika Malezi, Kudharau na...
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Filamu ya katuni ya Kichina “Chang An” yajizolea umaarufu mkubwa wakati Wachina wakiendelea kuwa na imani na tamadauni zao

    Katika majira ya joto ya mwaka huu, filamu ya katuni ya kichina “Chang An” (mji mkuu wa taifa la China katika enzi ya Tang) imejizolea umaarufu mkubwa. Ndani ya mwezi mmoja na zaidi tangu ilipoonyeshwa, filamu hiyo imepata yuan bilioni 1.6, na kuifanya kushika nafasi ya pili kwenye mauzo ya...
  12. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Wakenya kwa masuala ya directing na kuandaa filamu wako ahead of us

    Mimi si mpenzi sana wa filamu za kiafrika labda za South na zimbabwe kama neria, yellow card, Jerusalem na nyingine na soap operas kama isidingo n.k. Ila kuna baadhi ya tamthlia za kenya nilianza kujikuta nazipenda miaka hiyo ya 2014/15 kwa dstv lakini nilikuwa nimemezwa zaidi na series...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Safari ya Afrika: Jinsi Uturuki inavyokuza mahusiano na bara la Afrika

    Ushawishi wa Uturuki barani Afrika hii leo, unahusisha sekta mbalimbali, huku Ankara ikiliunga mkono bara la Afrika kama sehemu yake ya sera za kigeni. Tukur ni miongoni mwa takriban wanafunzi elfu 10, wengi wao kutoka Afrika, ambao wamenufaika na ufadhili wa masomo kutoka Uturuki katika...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dhamira (theme) ya mepenzi ya jinsia Moja inapenyezwa kwenye baadhi ya filamu za watoto. Wazazi tuwe makini

    Habari wanajamvi, Filamu za watoto imekuwa miongoni mwa sehemu muhimu sana ya kulea watoto wetu. Filamu hizi zinajumuisha katuni, TV Shows, Filamu za watu halisi na nyinginezo zilizotengenezwa kumlenga mtoto. Sote tunajua kuwa filamu na wahusika wa filamu wamekuwa na Athari kubwa kwenye tabia...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tujadiliane: Mwaka Mmoja Filamu ya Royal Tour Imetuletea nini?

    Zaidi ya mwaka mmoja sasa tangu kuzinduliwa kwa filamu ya Royal Tour Aprili 28, mwaka 2022 kwa ajili ya kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii Tanzania. Akitoa ufafanuzi kwa wanahabari mwaka mmoja baada ya kuzinduliwa kwa filamu hiyo Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt Hassan...
  16. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Endapo filamu za 18+ zikiruhusiwa kutengenezwa Tanzania, wimbi kubwa la kuaibisha makabila halitaepukika. Hili lisije tokea kabisa!

    Sipati picha kwamba itokee na haya mambo yapewe vibali kwamba filamu hizi zinaweza kutengenezwa kama ilivyo kwa nchi zingine, hali inaweza kuwa mbaya sana kikabila. Nadhani itakuwa ni next level na itaathiri jinsi watu watavyokuwa wakionekana kwenye fikra za watu wengine kwenye suala zima la 6...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Jenny Joseph, Star wa logo ya Kampuni ya Filamu ya Columbia Pictures

    Wakati wa Majira ya Kiangazi mwaka 1991 huko nchini Marekani, Kampuni kongwe ya filamu ya Columbia Pictures iliyopo chini ya kampuni mama ya SONY ilikuwa imepata wazo la kubadilisha logo yake ya mwaka 1923 na kuweka mpya ili kujiongezea mvuto wa kibiashara. Basi akatafutwa mbunifu wa masuala ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe acha kuchezea Kodi zetu kwa maono mfu! Kilimo siyo filamu

    Ni mara ngapi tumeona clip na picha zikionesha wakulima wakilia kwa kukosa masoko ya mazao yao. *Tushaona nyanya zinauzwa debe sh 500/= na parachichi zikioza huko Iringa. *Tushaona mahindi yakioza huko Songea na Katavi. *Tushaona wakulima wa korosho wakiuza korosho kwa bei ya hasara ama...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wazazi si kila filamu ya katuni inawafaa watoto, tuwe makini

    Salaam ndugu zangu, Katuni imekuwa ni michezo/ Filamu muhimu sana katika kusaidia malezi na kuwafariji watoto wetu. Baadhi ya katuni maarufu ni kama Tom and Jerry, Moana, Zootopia, Luca, Sing, Rango na nyinginezo. Ni kweli kwamba filamu nyingi za katuni zimeundwa kwa ajili ya watoto. Lakini...
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kutana na Leonora Jacobs wa Filamu ya The Gods Must be Crazy II anayedai kuwa hakulipwa hata senti

    Leonora Jacobs enzi za utoto wake aliigiza filamu ya The gods must be crazy II. Staa huyo wa Namibia, amewashangaza wengi kwa kudai kuwa hajawahi kulipwa pesa wakati anaigiza filamu hiyo. Wakati akiigiza filamu hiyo ya mwaka 1989, alikuwa na miaka 6 tu. Kwasasa ana miaka 40 akiwa anafanya kazi...
Back
Top Bottom