Kwenye nyumba moja ya familia inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu panatokea mauaji ya kutisha na familia kuchomwa moto uliotokana na umeme, kwanini?
Muda hayo yanatokea upande mwingine kuna mtu anachinjwa hadharani na watu wasiojulikana,mbele ya umati wa watu,akiwa na begi mkononi, kwanini...