Mufti Watanzania Dkt. Abubakari Zuberi Ally amfanyia dua maalum Paul Makonda

Peter Dafi

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
388
271
092cbacf-820d-4632-bc0f-ad75155efb36.jpg


Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizo zipitia Ndg Makonda na kuendelea kupata Baraka zaidi.

Mwenezi Makonda amefanya hivyo ikiwa ni muendelezo wa ushirikiano na Viongozi wa Dini katika kufanya kazi, kwani anatambua ndio sehemu kubwa inayochochea uwepo wa Amani katika Taifa kutokana na maombi yao.

Kwa upande wa Mufti Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally amempokea na kumfanyia Dua maalum ndugu Paul Makonda na kumuahidi kuendeleza ushirikiano na nakuombea katika kuhakikisha anafanya kazi zake vyema kwa lengo la kumsaidia Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan , kwa manufaa ya Watanzania na Taifa kwa Ujumla.

1 December, 2023
#KaziIendelee

7102ff8f-08ea-4aaf-98fa-09f51d5d50c7.jpg
4d055c2c-a611-42e6-a9fd-4f8a9ec1340f.jpg
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizo zipitia makonda kuendelea kupata Baraka zaidi.

Mwenezi Makonda amefanya hivyo ikiwa ni muendelezo wa ushirikiano na Viongozi wa Dini katika kufanya kazi kwani anatambua ndio sehemu kubwa inayochochea uwepo wa Amani katika Taifa kutokana na maombi yao.

Kwa upande wa Mufti Dkt. Abubakary Zuberi Bin Ally amempokea na kumfanyia dua maalum ndugu Paul Makonda na kumuahidi kuendeleza ushirikiano na nakuombea katika kuhakikisha anafanya kazi zake vyema kwa lengo la kumsaidia Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan , kwa manufaa ya Watanzania na Taifa kwa Ujumla.

#Kaziinaendelea.
 

Attachments

  • FB_IMG_17014341316648510.jpg
    FB_IMG_17014341316648510.jpg
    57.2 KB · Views: 6
  • FB_IMG_17014341446480053.jpg
    FB_IMG_17014341446480053.jpg
    48.7 KB · Views: 2
  • FB_IMG_17014341492354850.jpg
    FB_IMG_17014341492354850.jpg
    30.1 KB · Views: 5
  • FB_IMG_17014341542457918.jpg
    FB_IMG_17014341542457918.jpg
    48 KB · Views: 2

Attachments

  • FB_IMG_1699989623291.jpg
    FB_IMG_1699989623291.jpg
    17.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom