filamu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Royal Tour yaongeza watalii nchini

    Wakati Rais Dkt. Samia Suluhu anaingia madarakani mwaka 2021 sekta ya utalii ilikuwa inapitia katika mazingira magumu kutokana sababu mbalimbali ikiwemo athari ya UVIKO 19 Mapato ya utalii yalipungua sana, ajira nyingi zikashuka, wanufaika wa sekta hii wakaathirika kiuchumi. Hata hivyo, ujio...
  2. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Filamu itakayotoka miaka 100 baada ya kutengenezwa

    100 Years ni filamu fupi ya majaribio ya kisayansi iliyoandikwa na kuongozwa na John Malkovich na Robert Rodriguez, kwa ushirikiano na kampuni ya vinywaji ya Louis XIII Cognac. Kilicho cha kipekee kuhusu filamu hii ni kwamba haitatolewa hadi mwaka 2115—miaka 100 baada ya kutengenezwa. Wazo kuu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli filamu za bongo zinalipa?

    Wanajamvi salaam Leo katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii habari ya mbongo muvi mmoja kununua gari angalia picha chini Swali langu ni je filamu za bongo zinalipa au ni showoff tu za wanatasnia hawa huku nyuma ya pazia njaa tupu?
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Black Panther: Filamu kama njama ya kufuta historia halisi ya harakati za Black Power

    Ni mwaka wa 2018, ulimwengu ulizizima kwa uzinduzi wa filamu ya Black Panther, kazi ya Marvel Studios iliyoongozwa na Ryan Coogler. Kwa wengi, ilionekana kama ushindi wa uwakilishi wa Waafrika na Wamarekani Weusi kwenye sanaa ya Hollywood. Watu walifurika sana kwenye kumbi za cinema kutazama...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Kijiji Katika Borat (2006) Hawakuwa Waigizaji – Walihisi Wametumiwa!

    Katika filamu ya Borat: Cultural Learnings of America for Make Benefit Glorious Nation of Kazakhstan (2006), kulikuwa na tukio la kushangaza sana nyuma ya pazia ambalo linachukuliwa kama moja ya matukio ya ajabu sana katika historia ya vichekesho vya Hollywood. Wakazi wa kijiji kilichoonyeshwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Discussion yangu fupi na CHATGPT kuhusu filamu za kihistoria

    Swali nililouliza; "Tanzania tuna maeneo ya makumbusho kama bagamoyo na kilwa ila tayari maeneo hayo yenye majengo ya kale yalisha kuwa over polluted na usasa mwingi na watu wengi. Ni vipi maeneo ya kale kama bagamoyo iliyoaribiwa na usasa inaweza kutengeneza filamu Kali ya kihistoria kama...
  7. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Freddy Ginwala, Movie ya kusisimua na mateso matamu

    PAZIA LA FILAMU 📽🎬 FREDDY (2022) Mungu alimbariki sana Freddy Ginwala, Akamuumbia moyo wa dhahabu, moyo wenye utajiri wa adili na ibada. Akamjaalia tabia njema zilizoambatana na adabu iliyotukuka. Mungu akamuongezea na mali za kumtosha alizoridhika nazo hakika. Unadhani Mungu wetu ana kikomo...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Dari katika Ukumbi wa La Plata wadondoka wakati wa onyesho la filamu ya Final Destination: Bloodlines

    Hadhira ambayo ilikusanyika kutazama filamu katika Ukumbi wa La Plata huko Argentina walipata zaidi ya walichokilipia wakati wa kutazama filamu ya Final Destination: Bloodlines. Katika hali ya kustaajabisha na isiyo ya kawaida, sehemu ya dari ya ukumbi huo iliporomoka katikati ya filamu—kiasi...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Tasnia ya filamu Tanzania

    Kwa mwenendo wa movie za kibongo kukosa radha kwenye vitu vya uhalisia ....mimi nimeamua kula course baadae niwe na movie production ambayo itakuwa advanced na inaweza kutengeneza movie za aina zote kwa mwonekano wa uhalisia kama wazungu Tutakuwa na uwezo wa kutengeneza movie zenye mwonekano...
  10. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Filamu za Bongo za Enzi izo🤣🤣🤣

    Girlfriend Augua Siri Bosi Nsyuka Fungu La Kukosa Safari Chumba namba 77 Mzee wa Busara Johari Sikitiko Langu Misukosuko Dilema Sabrina Kaburi La Safia Joanita Bifu Dangerous Desire Shusha unazozikumbuka na wewe🤣🤣🤣
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marekani kutoza ushuru kwa filamu za nje zinazooneshwa nchini humo

    Rais Donald Trump wa Marekani hivi karibuni ametangaza mpango wa kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa filamu zinazotengenezwa katika nchi za kigeni na kuoneshwa nchini Marekani. Hatua hii ni sehemu ya juhudi zake kuimarisha biashara ya ndani na kukabiliana na kile alichokiita “kufa kwa kasi” kwa...
  12. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Pazia la filamu 📽🎬: The Da vinci code

    UCHAMBUZI WA FILAMU 📽🎬 THE DA VINCI CODE (2006) -----‐----------------------------- Kwa desturi tunapotazama filamu yoyote ile, tunalenga kuziburudisha nafsi zetu. Sio kazi rahisi mtu akae chini kwa saa moja mpaka mawili amekodolea skrini yake kutazama filamu. Kila mtu ana machaguo yake...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tanzania, India Kushirikiana Kuinua Sekta za Habari, Filamu na Burudani

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, ameeleza kuwa mkutano wa kwanza wa kimataifa wa masuala ya habari, filamu na burudani (World Audiovisual & Entertainment Summit-WAVES) unaoendelea katika jiji la Mumbai nchini India, umeifungulia...
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Killer of Killers inarudisha utamu wa Yautja kwenye filamu za Predators

    Nadhani wengi wetu wameshatazama teaser za filamu zinazokuja Badlands pamoja na Killer of Killers. Teasers mbili ambazo ndo zinaendeleza filamu za Predators, viumbe ambavyo vinajulikana kitaalamu kama Yautja. Wakati Badlands ikiwa ni filamu huku Killer of Killers ikiwa ni Animation. Killer of...
  15. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Kama pazia la filamu 📽🎬: the last voyage of the demeter

    THE LAST VOYAGE OF THE DEMETER(2023) Chimbuko la hadithi: Ashukuriwe Mungu kwa kutupatia zawadi ya sanaa hapa duniani. Sanaa ni burudani ya muhimu mno katika maisha yetu ya kila siku. Hebu fikiria dunia ingekuwaje bila wasanii wa muziki, wachoraji, wafumaji, wafinyanzi, waandishi wa fasihi na...
  16. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Pazia la filamu : The house of gucci

    HOUSE OF GUCCI Ni mwaka 1978 katika jiji la Milan nchini Italia, nchi ya fasheni na mitindo mbalimbali ya mavazi. Palikuwepo familia kubwa, Familia ya Gucci. Ilikuwa familia tajiri,yenye nguvu na mamlaka kibiashara .Kila kiumbe hai kilichobahatika kuzaliwa kwenye familia hii, kiliishi kwenye...
  17. Jerry001

    JamiiForums Tanzania Filamu zangu 10 pendwa ambazo nimezihifadhi kwa quality ya 4K

    Salamu wakuu kwenye jukwaa la burudani. Maisha ya mwanadamu ni mafupi, hivyo hata kama hatuna kipato kikubwa hatuna budi kujitafutia furaha sisi wenyewe maana muda hausimami na umri unaenda. Si bora kukosa vyote mafanikio na furaha. Moja ya vitu vinavyonipa raha ni filamu, najua kila mtu ana...
  18. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Unatumia zaidi ya Bilioni 7 kutengeneza filamu ambayo haipo hata top 20 Netflix,Youtube wala popote ni upotevu wa rasilimali fedha na muda

    Tunajua na tunatambua umuhimu wa utalii katika maendeleo ya nchi. Mataifa kama Morroco, Egypt na Kenya yamekuwa yakinufaika sana na utalii. Kama Lengo lilikuwa kuvutia utalii wa ndani, si vibaya kutumia watu mashuhuri hapa nchini katika kutangaza na kuvutia watalii wengi zaidi kutoka ndani...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haji Manara nani kakudanganya kuwa Karia kusema Yanga SC "wakaendelee na Sinema zao" ni Kudhalilishwa au wana Filamu nchini / duniani wametukanwa?

    Kwa tuliosoma vyema Lugha na Mbinu za Lugha kwa hakika tumekushangaa sana kwa jinsi Haji Manara ulivyoishupalia hii Kauli ya Rais wa TFF Wallace Karia aliposema kuwa Yanga SC wakaendelee na Sinema zao kama wamechoka Kucheza Mpira. Na najua wapo wana Yanga SC Wapumbavu nao watakuwa wamekuunga...
  20. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Nahitaji filamu (Bongo movie) iitwayo "The Avengers" ya Jennifer Kyaka.

    Yeyote mwenye filamu ya bongo (Bongo movie) iitwayo THE AVENGERS iliyochezwa na wasanii wafuatao... 1. Jennifer Kyaka - Sterling. 2. Yusuph Mlela. 3. Jackline wolper. 4. n.k Tafadhali mwenye hii filamu karibu Inbox.
Back
Top Bottom