Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,183
52,959
Nimekuwa mfatiliaji wa filamu hizo mbili, yaani fast & furious na mission impossible.

👉Na niseme pande zote mbili zimekuwa zikijitahidi kuwasiliana kazi iliyo bora zaidi.

Vin Diesel vs Tom Cruise nani anakukosha zaidi, katika filamu zao hizi.

👉Fast furius vs mission impossible.

FB_IMG_16964403374838971.jpg
FB_IMG_16964402289863071.jpg
 
FF ilikuaga tamu enzi izo was about cars, street racing na ivo ila sasa imekua kama Marvel tu.

Iacheni MI ipewe heshima. Tom Cruise anajua aisee.
Hiki ndicho ninacho kisema, ame bakiza kwenda na trend tu.
👉Ana beba ma actor wakubwa, ili movie I hit sokoni tu.
👉But Ina poteza mfumo wake, naona issue za ma producer na directors
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom