Shahrukh Khan anakwenda kupiga Hattrick yakibabe kuwahi kutokea kwenye Filamu Bollywood

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
9,563
7,848
Comeback aliyopiga huyu mwamba haijawahi kutokea kwenye historia ya filamu nchini India.

Pathan & Jawan zimewaka all time records za mauzo Bollywood, na cha hatari zaidi kuna na filamu nyengine hapo December Dunki inakwenda kukamilisha hiyo Hattrick. Ikiwa Dunki itaperfom kama zilivyo perform Jawan na Pathan basi niwazi tu SRK atatangazwa kuwa G.O.A.T of India Cinema.

Na possibility hiyo ni kubwa sana kwa mujibu wa wachambuzi wa biashara ya filamu huko nchini India. Hii itakwenda kumaliza utata ule maarafu wa Shahrukh Khan vs Amitabh BAchchan wakuwa nani ni G.O.A.T.

F5oYFfkWQAAH8aH.jpg
 
Kila kitu kizuri kinasifiwa
Kwa kweli hizi ni zama zake haswaa Ila kumlinganisha na ulie mtaja hapo hata yeye mwenyewe sharuku atashangaa
Ungekua enzi zetu uyo ni kawaida saana
Maana kulikua na watasha mnoo
Ukibisha ntarud na orodha 😎
 
Kila kitu kizuri kinasifiwa
Kwa kweli hizi ni zama zake haswaa Ila kumlinganisha na ulie mtaja hapo hata yeye mwenyewe sharuku atashangaa
Ungekua enzi zetu uyo ni kawaida saana
Maana kulikua na watasha mnoo
Ukibisha ntarud na orodha 😎

Namba ndio zinaongea mkuu, 3 all time blockbuster in a single year hicho kitu hakijawahi kabisa kutokea ndani ya India.
 
Ukiacha muvi za zamani za india movu za kizazi kipya ninazozielewa ni 3idiots na kwambaaali slum dog millionaire
 
Ukiacha muvi za zamani za india movu za kizazi kipya ninazozielewa ni 3idiots na kwambaaali slum dog millionaire

kuna vingi vinakupita mkuu, kwa kuanzia tu, wahi cinema ya karibu kianzia tarehe 21 kutizama Filamu ya Dunki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom