Serikali: Filamu ya Royal Tour imetazamwa na watu zaidi ya bilioni moja duniani

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa filamu ya Royal Tour ambayo mpaka sasa imetazamwa na watu Bilioni 1 duniani.



Chanzo: Clouds Media
 
Watanzania wenyewe walioitazama hawazidi hata milioni 10 ndiyo iwe watu bilioni 1

Hii Nchi itapiga hatua ikianza kutawaliwa na Wavaa magwanda tu sio hawa
 
Enzi za Sadam Husen kuna mpambe wake alikuwa anaitwa Tarik Aziz alikuwa bingwa wa propaganda kama huyu Abbasi.
 
Huyu ni miongoni mwa wanufaika wa Roho Tour walitumbua kodi zetu kule Marekani huku wakipanga kwenye Lodge zenye hadhi ya juu [Executive].
 
Back
Top Bottom