Jana nilipata wasaha wa kutizama luninga na bahati nzuri nikabahatika kutupia jicho katika muvi zetu almaarufu Bongo movies, kusema ukweli vijana wanajitahidi na kufanya kila wawezalo kuweza kuifikisha sanaa yao mbali licha ya changamoto kibao.
Baadhi ya changamoto kuu za kiwanda hiki ni;
1...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb) akibofya batani ili kucheza Filamu ya The Royal Tour kwenye Basi la abiria la Kampuni ya Classic ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kampuni hiyo kuonesha filamu hiyo kwa abiria wanaotumia mabasi yake.
Waziri wa...
Yaani kiujumla Hutu jamaa sidhani kama hawezi kuigiza,
Namshauri atengeneze movie Kali ambayo itakuwa kwenye viwango vya kimataifa.
Naamini kila MTU kwa hapa bongo ataitazama ukiachana na kimataifa, japo Mimi sio mtaalam wa hii biashara ila itakuwa poaa akifanya hivyo kama wafanyavyo wasanii...
Yeah unaweza sema the dangerous killer Mr keanu Reaves a.k.a John wick himself is back.
Waandaaji wa filamu hii na duru za uhakika wameweka wazi kuwa baada ya kimya Cha muda mrefu, basi filamu ya John wick itaachiwa tarehe 24/3/2023.
Moja ya vitu ambavyo vimeonyesha filamu hii itafanya...
Familia imeweka wazi kuwa Staa huyo aliyetamba katika filamu nyingi zikiwemo Die Hard, The Sixth Sense na Armageddon anasumbuliwa na ugonjwa wa #FrontotemporalDementia unaomfanya kupoteza kumbukumbu na ufahamu wa mambo mengi.
Imeeleza kinachomsumbua Willis (67) ni mwendelezo wa hali iliyomtokea...
Kwa namna scene za matukio vilivyopangiliwa kwenye wimbo wa Yatapita, now Diamond anaweza ku switch kunako kiwanda cha Bongo movie na akafanya vizuri zaid na kuinua tathinia hiyo kimataifa zaidi.
Imagine Diamond anaigiza movie kama hii;
Diamond (askali polisi) anayedhalaurika kazini, kitengo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
Taraneh Alidoosti (38) alishikiliwa mwezi mmoja uliopita kutokana na kuungana na wanaopinga uwepo wa Sheria ya kuwataka Wanawake kutembea wakiwa na mavazi yaliyofunika vichwa vyao.
Ameachiwa kwa dhamana kosa lake likiwa ni kuchapisha maudhui ya kuhamaisha uchochezi ambapo waigizaji wenzake...
Muigizaji Henry Cavill ameondolewa kama Superman na mabosi wapya wa Studio za DC, chini ya miezi miwili baada ya kutangaza kurudi kwenye nafasi hiyo.
"Nimekuwa na mkutano na James Gunn na Peter Safran na ni habari za kusikitisha, kila mtu. Baada ya yote, sitarudi kama Superman," amesema Cavill...
Baada ya kuona Yule muuza silaha haramu nguli duniani Victor Bout ameachiwa na US, nikakumbuka ile docudrama ya Darwins Nightmare, filamu ya mapanki.
Ikabidi niitafute upya niiangalie baada ya miaka zaidi ya kumi.
Hivi wazee Mwanza , tupeni basi historia fupi ya kipindi kile, Mwanza...
Salama wandugu.
Nianze tu kwa kifupi Royal tour msingi wake mkubwa ni kuvutia wawekezaji.
Msingi wa mwekezaji namba moja ni nishati,sasa makamba anachofanya ni kumhujumu bosi wake umeme wake wa kwikwi usioeleweka.
Wanafikiri wanawakomoa wananchi kumbe wanamkoa bosi wao.
At the end of time...
Niseme tu kwa upande wangu ile filamu ilikuwa bora sana. Waigizaje wake walivaaa uhusika vema pia director alijitahidi.
Ile kwa mm ndio project na tamthilia bora toka nchini kwetu. Huwezi fananisha na uchafu wa saluni ya mama kimbo
Filamu ya Kitanzania imeorodheshwa kuwania Tuzo hiyo, na hivyo kuhitimisha subra ya takriban miongo miwili kwa nchi hiyo kushiriki katika tuzo hiyo.
Filamu ya Vuta N'kuvute - inayomaanisha "Mapambano Makali" kwa Kiswahili - imeorodheshwa katika kitengo cha "Filamu Bora ya Kimataifa" katika Tuzo...
Wageni wanaotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii yanayoendelea nchini Japan wakiangalia Filamu ya "The Royal Tour"
Tanzania imetumia Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism Expo) yanayofanyika nchini humo kuanzia tarehe 22 – 25 Septemba 2022 kuzindua...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevihimiza vyombo vya habari kuangalia uwezekano wa kutoa nafasi kwa tamthiliya, muziki na michezo zenye maudhui ya ndani ili kulinda utamaduni na nembo ya Taifa.
Akizungumza kwenye mkutano wa wadau mbalimbali wa vyombo vya habari, sanaa na michezo...
Ni siku nyingine tena na natumaini wote tupo salama, nimeleta uzi huu kwenu kwa yeyote mwenye ukaribu na tasnia ya filamu.
Wakiwemo madirector, maproducer, wasanii na hata wahusika wengineo.
Lengo ni kutafuta nafasi kushiriki au kuwa miongoni wa cast katika filamu au tamthilia zijazo.
Edwardo...
Ni swali ambalo mara nyingi naulizwa sana na watu wanaogiza au wenye matamanio ya kuigiza. Jibu langu huwa ni ndefu na linaloshirikisha sekta nyingi sana za filamu. Secta zenyewe ni kama uandishi(miswada na utunzi wa stori), uongozaji(directing), upigaji picha, utayarishaji(production) na...
Habari za wakati huu wana JamiiForums.
Leo napenda kuongea na waandaaji wa filamu Tanzania.
Kwanza niwapongeze kwa kazi kubwa mfanyayo ya kuielimisha na kuiburudisha jamii. Pia, niwapongeze kwa mapinduzi makubwa mnayoyafanya kwenye tasnia ya filamu nchini.
Teknolojia inawasaidia sana kuandaa...
Kuna wakati utawasikia baadhi ya Wasanii wa Bongo fleva wakifikia hatua ya kuwashutumu wale waliojitokeza na kukaa katikati yao na soko.
Wanachosahau Wasanii wengi ni kuwa kuwa na kipaji ni jambo moja na biashara ni jambo lingine.
Ili kipaji kiwe biashara lazima kuwe na Mfanya biashara. Uwezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.