Katika dunia ya leo, vipindi vingi vya kisasa vinaanza kuingiza maudhui yanayoweza kupotosha maadili, hata kwenye burudani za watoto.
Ni jukumu letu kama wazazi na walezi kuchuja na kuhakikisha tunachagua cartoons, filamu, na miziki ambayo sio tu inaburudisha bali pia inalinda maadili mema na...
Filamu ya Like Stars on Earth ya mwaka 2007 ni moja ya kazi bora za sanaa zinazogusa kwa undani masuala ya malezi, elimu, na namna tunavyowahukumu watoto katika jamii ya kisasa. Imeongozwa na Aamir Khan na Amole Gupte, na inajumuisha nyota wa filamu kama Darsheel Safary, Aamir Khan, pamoja na...
Ni filamu inayosimulia kisa cha msafiri anayejaribu kumshawishi kimafia afisa mmoja wa usalama kitengo cha Transportation Security Administration(TSA) ili akubali kupitisha kifurushi flani hatari kwenye ndege siku ya mkesha wa Krismasi.
Fikiria unatazama filamu, iwe peke yako na familia au...
Mwaka 2024 umekuwa na ushindani mkubwa katika tasnia ya muziki na filamu Tanzania. Tumeona wasanii wakichanua, wakiachia kazi kali, na kushinda tuzo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Swali linabaki – ni msanii gani amefanya vyema zaidi kwa mwaka huu?
Je, ni msanii wa muziki ambaye nyimbo zake...
FILAMU YA “TANTALIZING TANZANIA” YAZINDULIWA RASMI NCHINI INDIA
Na Happiness Shayo - Mumbai, India
Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan aliyepiga picha mjongeo katika hifadhi za...
Hivi karibuni, Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika ulianza jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tukio hilo lililoandaliwa na Ofisi ya Redio na Televisheni ya Mji wa Beijing, lilifungua ukurasa mpya wa mawasiliano ya kitamaduni kati ya China na Afrika, na kukuza uhusiano wa kina...
Mimi huzipenda sana,kwasababu zifuatazo:
1.zina mafunzo mengi ya maisha
2.wasanii wao ni watu wenye ujuzi mkubwa,wana act vizuri mno kwa kila scene
3.wanajua kuvaa vizuri kulingana na scene
4.wanaulinda sana utamaduni wao na lugha ya ya pygin english
FILAMU ZA KIMKAKATI KUANDALIWA KUELEZEA UTAMADUNI NA VIVUTIO VYA TANZANIA
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Bodi ya Filamu @tanzania_film_board na Michezo ya Kuigiza imeandaa Mkakati madhubuti wa kuandaa Filamu tano ambazo zitaelezea utamaduni, vivutio vya ndani, historia na...
Wanafanya tamthilia na Filamu tunaziona ila tunaweza kuchangia mawazo yetu nini kikwazo kinachotukwamisha toa mchango wako ukiwa mdau wa Filamu Tanzania 🙏🏾
Tunaweza sote kuitafuta hii filamu. Kupitia video clip niliyoona imenivutia kutaka kujua kiundani zaidi.
Hapa mchina akitoa somo fupi kwa huyu mkongo na kwa kiasi kikubwa somo hili ni picha yetu sote waafrika tunafanana mambo sio kongo wala sio Tanzania au Uganda na ni picha halisi ya wachina...
Nimepata kutazama mahojiano ya Sylvester Stallone na mtandao wa Vulture na kuona akidai kuwa walipokuwa wakirekodi filamu ya Rocky IV, toleo la nne basi alikutana na majanga nusu kupoteza maisha kwani Dolph Lundgren alimpiga ngumi walipokuwa wakirekodi vipande vya mapigano. Alidai kuwa alitamani...
Baraza la sanaa la Tanzania linahusika kwenye ukaguzi wa maudhui ya sanaa pamoja na utoaji wa hakimiliki ya kazi za sanaa za wasanii wa Tanzania. Baraza hili limekua likijitahidi kuhakikisha maudhui yanayowasilishwa kwenye jamii hayavunji maadili ya kitanzania kwa kufungia kazi za sanaa...
Kwa mlio wahi kuiona hii filamu ya kikorea mtakubaliana na mimi,
Katika idara ya Usalama wa Taifa kwenye filamu hiyo kunaonekana kuwepo idara nyingine ya usalama wa taifa itwayo NATIONAL SECURITY SERVICE (NSS),
Hii ni idara ya siri inaofisi na miundo mbinu yote, agents wa kutosha na tactical...
UTANGULIZI
Miaka 15 iliyopita tulikumbana na wimbi kubwa la kushuka kwa tasnia ya filamu na michezo ya kuigiza hapa nchini Tanzania,sababu kubwa hasa ilikuwa Ni mabadiliko ya kiteknolojia ya namna ya uwasilishaji wa filamu na michezo ya kuigiza kwa jamii na hivyo kunifanya kupoteza mwelekeona...
Kuheshimu haki za binadamu ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili jamii nyingi duniani, na Tanzania haiko nyuma katika hili. Kwa muda mrefu, kumekuwa na matatizo ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kama vile ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza, ubaguzi wa kijinsia, na ukosefu wa usawa wa...
Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akiongoza Tanzania katika wakati wa mabadiliko makubwa, akilenga kuleta maendeleo na ustawi kwa nchi yake. Mojawapo ya mikakati ambayo Rais Samia ameifanya ni kutumia tasnia ya filamu kuendeleza utalii na kusaidia ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Katika miaka 25...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.