fedha

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Umoja ni nguvu: CHADEMA wachangishana fedha ili kumtoa jela kiongozi wao aliyehukumiwa kifungo huko Mwanza

    Ili kuweka kumbukumbu vizuri , Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Kamanda Mwakihaba alishitakiwa kwa makosa ya mtandao baada ya kusambaza taarifa za ofisa kipenyo aliyeonekana karibu na Hospitali aliyolazwa Mh Tundu Lissu jijini Nairobi baada ya kushambuliwa kwenye eneo...
  2. OLS

    JamiiForums Tanzania Equinor yapanga kuzungumza na Serikali ya Tanzania ili kurekebisha mazingira ya biashara, sheria na fedha ili kupata faida

    Thamani ya mradi wa TLGN yapungua kwa $milioni 982. Equinor kampuni ambayo inajihusisha na nishati hasa gesi, ilikuwa na mradi wa Liquefied Natural Gas (LNG) nchini Tanzania ambao leo kampuni ya Equinor imeamui kushisha thamani ya mradi huo kwa $Milioni 982. Punguzo hilo la thamani linaakisi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wazuri kwenye kukosoa mambo ya fedha na Ufisadi. Mambo ya afya tuwaachie wanasayansi, yaani Wakemia na Wanabaiolojia

    Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye mambo ya kuchanganua masuala ya fedha na ufisadi CHADEMA wako vizuri na tunawaheshimu katika hilo. Ila kwenye eneo la Kemia, Baiolojia na famasia hawana uwezo nalo kabisa wanajaribu tu kujiingiza lakini wanafeli. Hebu tuwaache CCM tuliwaamini na kuwapa uongozi...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango awataka watumishi fedha kujihadhari na Corona

    Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango, amewataka watumishi wa wizara hiyo kuchukua tahadhari zote kuhusu ugonjwa wa corona, licha ya kukiri kuwa Tanzania haina maambukizi ya virusi hivyo kwa sasa. Dk Mpango alitoa kauli hiyo jana wakati akifungua mkutano wa baraza la wafanyakazi wa Wizara...
  5. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Gregory Teu aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Mbunge wa Mpwapwa, afariki dunia

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mpwapwa 2010- 2015 , Naibu waziri wa fedha, Naibu waziri wa viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika serikali ya awamu ya nne na mwenyekiti wa bodi ya KADCO Mh. Gregory Teu afariki Dunia leo hii. Taarifa zaidi: Mpwapwa. Mbunge wa zamani wa Mpwapwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jafo aagiza walimu wapya walipwe Fedha za kujikimu ndani ya siku 7

    Posho za Kujikimu kwa Ajira Mpya za Walimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawalipa walimu wote wa ajira mpya walioripoti kwenye Halmashauri zao posho za kujikimu ndani ya muda wa wiki moja kuanzia leo...
  7. kokudo

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara kama huna assets taasisi za fedha hazikuthamini

    Leo nimekwenda bank moja kuulizia namna ya kupata mkopo wa biashara. Vijana tujitahidi tujenge hizi taasisi za fedha hazina mpango wa wewe kama huna assets. Yaani kumbe hata ukiwa una kiwanja tena kina hati miliki bado ni kazi bureeeee... Tujitahidi tujenge maana hicho kiwanja kama hakina...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema wakulima hawatakatwa fedha ya mbegu za pamba msimu wa 2020/2021

    Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema katika msimu wa zao la pamba mwaka huu 2020/21, hakuna mkulima yeyote atakayekatwa pesa za mbegu na viuatilifu. Alitoa kauli hiyo jana katika kikao cha wadau wa pamba nchini kilichofanyika mjini Bariadi katika Mkoa wa Simiyu. Alisema katika msimu...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha ingilia kati sakata la uboreshaji wa mashine za EFD, kamishna wa TRA ataleta balaa kubwa

    Muda uliotolewa wa kuboresha Mashine za EFD wa mwezi mmoja (kuanzia desemba 7 hadi Januari 7) hautoshi, kwa sababu mawakala wanaofanya kazi hiyo wamezidiwa na kazi hiyo kutokana na wingi wa mashine hizo na tayari wameomba kuongezewa muda wa kufanya marekebisho hayo ya ghafla yaliyosababishwa na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar hakuna watu walionyimwa dhamana kwa makosa ya uhujumu uchumi?

    Kesi nyingi za uhujumu uchumi Tanzania utasikia uchunguzi haujakamilika, na hii inachukua miaka kadhaa. Ila katika mazingira ya uchunguzi kuendelea mtu yuleyule unasikia ameshauriana na DPP au Mahakama na ameeelekzwa kulipa kiasi flani Cha fedha. Je, ukokotoaji wa kiasi hicho kinacholipwa...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Kinondoni yaokoa gari na fedha taslimu zenye thamani ya milioni 92

  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Katavi: Watumishi wa Serikali matatani kwa kulipana posho fedha kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyagala wilayani humo

    Watumishi katika Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, wameingia matatani baada ya kudaiwa kulipana posho Sh. milioni 16.177 ambazo ni kati ya Sh. milioni 200 zilizotolewa na Rais John Magufuli kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyagala wilayani humo. Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homera...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la Taifa la Bima ya maisha (NIC) lipeni fedha za wateja wenu

    Shirika hili linakiuka kwa kiasi kikubwa mikataba na makubaliano walioafikiana na wateja wao hasa ihusuyo malipo ya fedha za bima zilizoiva. Jambo hili si zuri na halikubalikiki hata kidogo maana linatengeneza taswira ya ulaghai kwa wateja wenu ukizingatia hili ni shirika la umma. Mamlaka...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Benki za Tanzania hazina ATM machine za kuweka fedha

    Habari za mihangaiko wakuu, Kwanini benki za Tanzania hazina ATM machine za kuweka fedha?
  15. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli umelifaa taifa kisiasa na kiuchumi. Sasa ongeza kasi kudhibiti fedha za political vote

    Dkt. John Pombe Magufuli, ni mwamba imara - umefanya mengi mazuri i.e utawala bora, uwajibikaji, miundombinu nk Pamoja na hayo nashauri uangazie sana matumizi ya fedha unazotoa kwa ajili ya mfuko wa self help schemes or political vote. Kwa wasiozifahamu ni kuwa Serikali hutoa:- (a). Fedha za...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili miaka mitano ya tumbuatumbua na matumizi mabaya ya mali za umma

    Tunaingia miaka mingine mitano ya awamu ya tano na tumeanzia pale tulipoishia. Tumbua tumbua inaendelea......kwanini wateule niwagumu kumwelewa anayewateua? Kama ubadhirifu huu unaotajwa kila siku ni kweli Basi Tanzania tunaongozwa kwa kuwa na mfumo mbaya wa uteuzi wa viongozi. Tunateua watu...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU sasa yasema inaanza kuchunguza Vyama vya Siasa kuhusu fedha za mfuko wa jimbo

    Najua kuwa mlengwa mkuu ameshajulikana na hapa Lema alicheza kama Pele. Ilikuwa ni suala la muda tu kwa wabunge waliopita wa CHADEMA kuanza kukumbwa na mshike mshike wa fedha za mfuko wa jimbo. Kama mlikuwa hamjui basi hii ndiyo sababu kubwa ya wao kuangushwa na mamlaka huko majimboni...
  18. Stroke

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na gari la matangazo ya mnada nimeogopa mikopo toka taasisi za fedha

    Leo asubuhi nikiwa nazurura zurura mtaani kama kawaida yangu. Nimekutana na gari la matangazo ya mnada wa hadhara likitangaza uwepo wa mnada kwa mali za watu walioshindwa kufanya marejesho ya fedha walizochukua toka taasisi za kifedha kama mikopo. Mali zinazouzwa ni majumba na magari. Jambo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Hazina wanachelewa kutoa fedha za miradi kimkakati ili watendaji watumbuliwe?

    Miradi mingi ya wizara na idara za serikali imesimama au kusuasua kwa kukosekana fedha ambazo zimepitishwa na bunge au kuahidiwa na Mhe. Rais. Viongozi wa kisiasa wanapotembelea miradi hii nakuambia hazina awajatoa fedha utosikia wakiwakoromea hazina badala yake watamgombeza mkuu wa Idara na...
  20. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Shirika la Bima la Taifa (NIC) kuna tatizo gani? Mbona hamlipi fedha za watu kwa wakati?

    Mimi ni mfanyakazi wa taasisi X ya umma hapa Shinyanga... Nilichukua bima ya elimu (Education Provider With Profit) kwa ajili ya ada ya watoto wangu hapa tawi la NIC - Shinyanga yenye thamani ya Tshs 7,500,000 kwa makato ya Tshs. 62,500 kila mwezi kwa miaka kumi (10) tangu mwaka 2010... Bima...
Back
Top Bottom