fedha

  1. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Kumuonya Waziri wa Fedha kutokutumia nguvu kutokukusanya kodi pasipo kubadili Sheria za Kodi haitawezekana

    Kwanza nianze kwakumpongeza mh Rais wetu mama Samia kwani zipo dalili zote kwamba ameanza vizuri kwenye mambo ya kodi hatahivyo yapo mambo lazima yatizamwe vizuri. Ni wazi kwamba kwa namna TRA ilivyozoea/kuzoeshwa kukomesha wafanyabiashara ni ngumu sana kuondoa misuguano kati ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna mivutano kati ya Makatibu wakuu na Manaibu makatibu wakuu hasa naibu akihoji matumizi ya fedha!

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango amemtaka Katibu mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga kuwaangalia kwa makini Makatibu Wakuu wa Wizara na Manaibu wao kwani kuna kutoelewana kwingi. Dkt. Mpango amesema inakuwa nongwa pale Naibu Katibu Mkuu anapomhoji Katibu Mkuu kuhusu matumizi ya fedha. Dkt. Mpango...
  3. polokwane

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba huwa nampongeza kwa jambo moja kuu alipo kuwa Naibu Wizara ya Fedha

    Kitendo chake cha kuhamishia mishahara ya watumishi wa umma kulipwa mojankwa moja kupitia hazina kitendo kilicho wanyima ulaji ma afisa utumishi na wakurugenzi na wakuu wa idara aliweza sana sana Naamini pia hata sasa ataiweza wizara hiyo bila shida.
  4. J

    JamiiForums Tanzania " Nimemteua Dr Mpango kwa sababu ni mtaalamu wa Uchumi atanisaidia kwenye mambo ya Uchumi na Fedha" kauli hii ina maana pana!

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema amemteua Dr Mpango kama makamu wa Rais kwa sababu ni mtaalamu wa uchumi na kwamba atamsaidia katika maswala ya uchumi na fedha. Rais Samia amesema inaeleweka kuwa ofisi ya makamu wa Rais inashughulika na mambo ya Muungano, Umaskini na Mazingira lakini Dr Mpango...
  5. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Madelu Nchemba nampa mwaka mmoja tu kama hajahamishwa au kutumbuliwa Wizara ya fedha na uchumi

    Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba kuongoza Wizara ya fedha ni pigo kubwa kwa Wafanyabiashara na Walipa kodi

    Wakuu naomba kutangaza kwamba ninayo maslahi kwenye suala hili maana mimi ni mfanyabiashara wa ndani na nje ya nchi , ni mlipa kodi Kwa takribani miaka sita sasa Sisi wafanyabiashara wa nchi hii tunahenya , makadirio ya kodi kubwa , vitendea kazi tunavyoagiza kutoka nje ya nchi zikiwemo matirio...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

    Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai. Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema.. Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hili la Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni "mchafukoge" tafakari

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake. Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual. Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano...
  9. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania tu kama mtu ni mara yako ya kwanza kuingia katika kilimo hukopesheki kwenye taasisi za fedha

    Hoja hii inaweza kuwa ngumu kueleweka lakini maana yake ni hii; Ili Mkulima ukopesheke kwenye taasisi za benki unapaswa ukidhi haya: ~ Uwe na taarifa za mauzo ya mazao yako ~ Uwe na hati ya umiliki/kukodi mashamba ~ Uwe unalima mazao biashara Kwa anaeanza kilimo hapa anakwama maana hayo...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha na Mipango ateuliwe Profesa Musa Assad

    Ikimpendeza Mheshimiwa Rais, anaweza kumteua Prof. Assad kuwa Mbunge na kisha kuteuliwa Waziri wa Fedha na Mipango. Sina shaka na utendaji wake hasa akiwa CAG, alisimama imara hali iliyompelekea kukumbwa na mizengwe ya wachumia tumbo. Umri hauwezi kuwa kikwazo sababu tuna Mawaziri wengi wenye...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Bado nafasi mbili wazi Katibu Mkuu CCM na Waziri wa Fedha, hivyo January, Dkt. Nchimbi na Dkt. Mwigulu vuteni subra

    Ni katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dkt. Nchimbi na Mwigulu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo. Bado kuna nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM iko wazi. Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa Fedha. Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Dotto James ateuliwe kuwa mbunge ili kupisha damu mpya Wizara ya Fedha

    Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6. Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais. Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya? Kila kitabu na...
  13. polokwane

    JamiiForums Tanzania Huwa tunaambiwa ulipo tupo huwa nashangaa tuhuma hizi za ubadhirifu kubwa wa fedha za umma unatokeaje kama ulipo tupo wapo?

    Nimejiuliza sana swali hili, tunaambiwa ulipo tupo wapo kila mahali kwa maana ya kwamba usalama wa taifa, na tunaaminishwa kwamba usalama wa taifa ni waaminifu sana kwa Rais. Sasa inakuwaje hadi watu wanafanya wizi mkubwa namna hiii? Je, Hao ulipo tupo hawahusiki na kutoa taarifa za ubadhirifu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Madai kuhusu Commodity Import Task Force iliyoundwa kukusanya fedha za Serikali ya Japan na vigogo wanaohusishwa ni ya kweli?

    Kuna taarifa inasambaa mitandaoni tangu jana kuhusu hiyo task force inayodaiwa kuundwa kwa lengo la kukusanya fedha za serikali ya Japan zinazohusiana na Commodity Import Support. Mtoa taarifa, mbali na kutaja watu anaowatuhumu, ameweka mpaka demand notice jambo linalonifanya nijuilize maswali...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatakua na shida na fedha zako

    Leo ndio nimeamini mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatokua na shida na fedha zako. Mwanamke mmoja mkali sana ameniletea zawadi Leo, nimefurahi sana hata usingizi hauji yaani. Tena akaniambia unastahili zaidi ya hivyo, nimebaki mdomo wazi. Bado nawaza aise. Nilichojifunza wanaume...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Dkt. Mpango arejea ofisini, apokelewa kwa bashasha

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nkasi: Watumishi 2 kuswekwa ndani kutokana na matumizi mabaya ya fedha

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Tekinolosia Mhe.Omari Kipanga amemwagiza mkuu wa wilaya ya Nkasi Saidi Mtanda kuwaweka ndani watumishi wawili akiwemo mkuu wa chuo cha maendeleo ya jamii cha Chala pamoja na katibu wa kamati ya ujenzi wa chuo hicho kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Waziri wa Fedha kuhusu Hotel Levy ya Halmashauri

    Kwanza pole sana. Mungu ni mwema natumaini unaendelea vizuri. Natumaini kuwa Wizara ipo mbioni kukamilisha bajeti ya 2021/22. Mimi nina ushauri kuhusu mapato ya HOTEL LEVY YA HALMASHAURI. Kwanza ni wajibu wa kila mfanyabiashara kulipia mapato ya Serikali ili kuwepo maendeleo kwa wananchi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas: Ndege tunanunua na huduma za kijamii tunawekeza fedha za kutosha, wanunaji waendelee kununa

    Msemaji mkuu wa serikali yuko mubashara TBC akielezea mafanikio ya awamu ya 5. Dkt. Abbas anasema pamoja na kununua ndege na watu wengine " kununa" serikali pia inawekeza fedha za kutosha katika Huduma za kijamii ikiwemo sh trilioni 2 kwenye sekta ya elimu. Hivyo wale wanaonuna wakiona...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

    Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama...
Back
Top Bottom