Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama...
Nimegundua kuna madudu na ubabaishaji mkubwa sana wa malipo ya fedha za Kijikimu(Meals and Accomodations) kwa wanafunzi wa Chuo kikuu cha ST. AUGUSTINE MWANZA, ambazo kimsingi ni fedha wanazokopeshwa wanafunzi Ili baadae wazilipe.
Serikali inaingiza hela kwenye account ya chuo mapema tu, alafu...
Bodi ya Bima za Amana imewataka Wananchi walioweka fedha zao kwenye Benki zilizofilisiwa na Benki Kuu ya Tanzania- BoT, kwenda katika matawi ya Benki ya Posta yaliyopo popote nchini, kuchukua amana zao ikiwa ni sehemu ya fidia kwa wateja waliowekeza kwenye benki hizo.
Jumla ya benki 7...
Rais wa Benki ya Dunia(WB) David Malpass amesema wamefurahishwa na namna Ghana inavyojizatiti kutoa dozi za chanjo kwa wananchi wake
WB ipo katika hatua za mwisho kuipa Ghana dola Milioni 100 sawa na takriban Tsh. Bilioni 232 ili kununua dozi zaidi za kuwatibu wananchi wake
Awali WB ilijiatiti...
Naomba kuuliza ikiwa mtu aliuawa na hakutoa taarifa zozote kuhusu warithi wa fedha zake huko uingereza je, pesa hizo nani atapewa?
Maana kuna mtu anansumbua yeye ni mkaguzi na msimamizi wa mambo yaa pesa huko, ananiambia eti nimtumie info zangu kama NIN, Address n.k azifoward pesa za mtu huyo...
Dar es Salaam. Kuanzia Julai Watanzania wataweza kutuma fedha haraka kwa watu waliopo kwenye orodha zao za mawasiliano ya simu bila kutafuta namba za majina husika.
Hiyo itawezekana kwa sababu Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itazindua mfumo wake wa Malipo ya Haraka (Tips).
Tips itahamasisha...
Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake.
Nukuu
''Mheshimiwa Rais asante nimepata ujumbe wako kupitia kwa mke wangu, kwa Neema ya Mungu naendelea vizuri, nakula na...
Katika Watanzania wanaoziharibu (Fedha za Noti) za Tanzania ni makondakta & madereva wetu wa vyombo vya moto yaani magari ya abiria na mizigo wakishirikiana na wasimamizi wa Sheria za nchi hii (Traffic).
Fedha tajwa hapo juu hutolewa kwa njia ya kidhalilishaji kwa sarafu zetu na askari pia...
Mkandarasi anayejenga stendi kubwa ya mabasi ya kimataifa ya Ngangamfumini, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye thamani ya bilioni 28, ametoa wiki moja kwa serikali imlipe fedha zake ambazo ni zaidi ya bilioni 1 anazodai kabla hajasimama kuendelea na ujenzi wa stendi hiyo.
Charles...
Sasa nimeamini kuwa Mchina kama aliweza Kuingia kwa Wabishi na Wababe Marekani na Uingereza angeshindwa vipi Kuziingilia Fedha za Tanzania pamoja na Ardhi yake pia?
Ombi tu kwa wale Watanzania tunaojua hasa Kusali kwa Mwenyezi Mungu ni kwamba hebu tumuombe amfukuze Mchina aliyeng'ang'ania sasa...
Nimemsikiliza Naibu Waziri wa Fedha Bungeni mwana mama kwa kweli nimeshtuka sana, kwanza hakuweza kuongea kama mtaalamu wa fedha hotuba yote anasoma mbaya zaidi anasoma kama mtoto aliye darasani akijifunza kusoma.
Kuna faida kama naibu unashindwa kukaimu waziri ambaye hayuko bungeni mpaka...
Natumaini miezi hii ndiyo Serikali iko kwenye maandalizi ya kutayarisha bajeti yake ya mwaka 2021/22.
Pamoja na hayo ninapenda kuishauri Wizara ya fedha kuangalia kodi zifuatazo ili ziwe nafuu/rafiki kwa mfanyabiashara au zijumuishwe kwa pamoja ili mlipa kodi anapolipa basi alipe moja kwa...
Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Tanzania, Profesa Adolf Mkenda ametangaza kusitisha shughuli zote za maonyesho ya Nanenane zilizokuwa zifanyike mwaka huu.
Akizungumza leo Jumatano Februari 10 2021 bungeni Jijini Dodoma, Profesa Mkenda amesema fedha zote za umma bila kujali ni za wizara gani...
DENI la Taifa limefikia Sh. trilioni 59 hadi kufikia Disemba mwaka jana, ikilinganishwa na Sh. trilioni 54.8 kwa kipindi kama hicho mwaka 2019, sawa na ongezeko la asilimia 7.6, huku Bunge likitoa ushauri liwe himilivu.
Kati ya kiasi hicho, deni la ndani limefikia Sh. trilioni 16.2 na deni la...
Nauliza tu maana mara ya mwisho nilimuona luningani akiwasimamisha kazi baadhi ya watoza ushuru wa TRA.
Jana nimemuona Mwigulu Nchemba akitumikia majukumu ya Waziri wa Fedha pale bungeni ndio nikajiuliza huyu Waziri nyeti kabisa yu wapi hadi Dkt. Mwigulu anatamalaki bungeni kwa niaba yake...
Kuna Mamlaka mbili zinazosimamia barabara za Mikoa na barabara za Vijijni(Halmashauri). Mamlaka hizi zinagawiwa fedha na Serikali kila mwaka kutekeleza kazi za barabara kwa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara.
Nitoe mfano. Awamu ya nne kabla ya kuanzishwa TARURA ujenzi wa barabara...
Mbunge wa Kawe baba askofu Gwajima amesema jimbo lake la Kawe lina barabara zenye urefu wa takribani kilomita 1400 sawa na umbali wa kutoka DSM hadi Kigoma lakini Tarura wamepewa bajeti ya kukarabati kilomita 130 tu.
Gwajima amesema hii haikubaliki na kuwataka watu wa Tarura kujiongeza kwani...
Nimekutana na clip ya sessions za bunge kuhusu swali tata lakini genuine la Hawa Mchafu ambalo limehoji very specific kwa nini fedha za dawa na fedha za deni la MSD hazijapelekwa kulipia dawa.
Swali hilo limejibiwa na Waziri wa afya ingawa majibu hayajajotosheleza sababu kubwa ya majibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.