Baadhi ya wateja wa benki ya CRDB walalamikia fedha kutolewa kwenye akaunti zao bila taarifa ya kueleweka

dikteta2020

JF-Expert Member
Aug 14, 2018
595
3,990
Benki ya CRDB jibuni hizi tuhuma haraka kabla hamjachafua hadhi yenu
20201001_122308.jpg
 
'…inakuaje mnampa Mchaga akushikieni pesa zenu za vicoba'~JPM katika moja ya mikutano yake pale Ubungo akitokea Mikoani alipopokea malalamiko ya mmoja wa Mama waliodhulumiwa na Mweka hazina wa Kikoba chao ambae ana jina la Mushi
 
Ndo maana mie nimeamua nibaki njia kuu na kibenki changu kikongwe na chenye huduma zilizotukuka cha "eni emu bi"....tunapeta kokote mujini na vywijijini

Beware! Michepuko sio dili!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu wale wadada wa vidirishani ni wezi sana mtu umetoka kwako umehesabu pesa yako vizuri tuu umerudia zaidi hata ya mara kumi ukija bank au kwenye hizi wakala zao kuna usanii sana unapo hesabiwa pesa wanadondosha zingine chini anakwambia ooh 5000 imepungua au 10000 mpaka 20000 imepungua huo wizi wao tumesha ujua unakuta demu mkali halafu anakuibia unabaki unajiuliza mshahara hapati? Punguzeni drama CRDB ma cashier wenu ni wezi mnoo yaani ukikwepesha tu jicho umeliwa kichwa,
Pia tuwe makini na kutunza kadi zetu kwa usiri mtu akiipata tu kadi yako umeliwa haijalishi umempa password au laah! CRDB, CRDB baadhi ya wafanyakazi wenu ni wezi na wamejaa tamaa na ndio haohao wanatuchoma mtu umetoka kuchukua mzigo hufiki mbali umeibiwa nani kauza taarifa?? Serikali mulikeni hizi bank.
 
hapana mimi ni mtu nusu na Hayo haya kuhusu wewe .fata yanayo kuhusu wewe nyambafu stress zako peleka ukooo.

SUBIRI KIDOGO
Ukisha-post kitu chochote hapa, kinahusu member yeyote. Stress unazo wewe usiyejua kuandika kiswahili na ukiambiwa unatukana matusi! Mtu mzima unashindwa na mtoto wa darasa la kwanza! Idiot!
 
Ukisha-post kitu chochote hapa, kinahusu member yeyote. Stress unazo wewe usiyejua kuandika kiswahili na ukiambiwa unatukana matusi! Mtu mzima unashindwa na mtoto wa darasa la kwanza! Idiot!
Usha apply kazi maana nafasi ni elfu 13 tu walimu mna stress za maisha

SUBIRI KIDOGO
 
Back
Top Bottom