Kuna hili jambo ningependa tujadiliane ama tushirikishane kidogo.
Hakuna asiejua kuwa kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia huwa matamanio yetu ni siku moja kuolewa na kutengeneza familia na mwanaume fulani hivi amazing(fantancy vs reality).
Sasa tatizo linakuja kuwa huwa wanawake wengi...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku saba kuanzia leo (Alhamisi, Desemba 17, 2020) kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, maofisa wanaochambua maombi ya ununuzi wa magari Ofisi ya Waziri Mkuu na wakurugenzi wa Jiji la Mwanza, Halmashauri ya wilaya ya Chato, Msalala na Kahama wajieleze kwa...
Salaam Wakuu,
Nmeanza kuelewa kwanini Matajiri wengi wa Tanzania wanaficha fedha zao nje ya Nchi. Siwalaumu tena. Na kama hii hali ikiendelea, Benki nyingi zitatikisika kiuchumi kwani watu watasusa kupeleka hela.
Zamani Watanzania wengi walikuwa hawapeleki fedha zao benki. Walikuwa...
Waziri wa Fedha, usiwatoe kafara watendaji wako. Wewe ndiye chanzo cha mayowe ya kodi kandamizi kwa wafanyabiashara
Ndugu zangu wanabodi, huwa napenda sana kuishi kwa kujifunza kutoka kwenye hotuba za viongozi na kupitia hotuba hizo huwa nanyakuwa baadhi ya mambo ambayo kwangu ninayoyaona...
Nimeona Video ambayo Waziri wa fedha anawaambia watu wa idara zote zinazohusika na ukusanyaji wa mapato ya kodi na yasiyo ya kodi ya serikali kukusanya mapato mengi ili malengo ya serikali ya awamu ya tano yatimizwe na fedha za ndani
Mbali na haya yote mimi nasema fedha nyingi zinaweza...
Ujenzi wa Soko La Kisasa Lililopo Chuno Halmashauri Ya Mtwara Kwa Kutumia Fedha Za Ndani
Wakazi wa Mtwara wanazidi kuona matokeo chanya yatokanayo na kuichagua Serikali ya CCM
Matumizi sahihi ya Rasilimali zetu huleta matokeo Chanya Kwetu Sote
Tuliahidi
Tumetekeleza
The High Court in Kenya has ordered the country's 416 lawmakers pay back 1.2bn shillings ($10m; £7.5m) after ruling that the money had been unlawfully given to them as housing allowances, local media report.
The Parliamentary Service Commission (PSC) had encroached on the mandate of the...
WanaKigoma,
Huu ni ujumbe mahususi kwa Mhe Dkt Magufuli kwa heshima aliyotuonesha, aliyotupatia kufuatia uteuzi wa wasaidizi wake kwa nafasi ya uwaziri ambapo Wizara ya Fedha kamuteua Isidory Mpango, na Wizara ya Elimu na Mafunzo kamuteua Prof Ndalichako.
Hii ni heshima kubwa sana tuliyopewa...
Wazazi Maskini zaidi ya 2000 ambao watoto wao wanafadhiliwa kimasomo katika shule ya St. Jude iliyopo Arumeru Mkoa wa Arusha, wameandamana Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakitaka shule hiyo yenye mchepuo wa Kiingereza ifunguliwe ili Watoto wao waliosimamishwa masomo kwa zaidi ya wiki mbili...
Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana.
Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na...
Kwa mtu mwenye akili za chini, atamsifia Rais Magufuli kwa kutangaza kwamba mwaka huu hatutakuwa na sherehe za uhuru ili kuokoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya Dodoma.
Kwa mtu mwenye akili ya kufikiria, atajiuliza, hivi inakuwaje tunakuwa hatuna mipango hususan inayotia ndani kutengwa...
WAMILIKI wa hospitali na zahanati binafsi mkoani Mwanza wameingia katika mvutano mkubwa na mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) kuhusu makato ya fedha wanazokatwa kila mwezi zinazotokana na matibabu wanayotoa kwa wateja wa mfuko huo.
NHIF mkoa wa Mwanza inatuhumiwa kuendesha utaratibu feki wa...
Ni imani yangu kuwa Wafadhili mpaka sasa wana taarifa zote za nini kinaendelea, taarifa zinazotuweka pabaya kama nchi katika swala zima la demokrasia kitu ambacho wenzetu wanakipa uzito na kukipigania.
Kwahiyo, kutokana na haya yanayojiri, Wahisani wataona huu ni upuuzi wa kiwango cha SGR na...
Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imefanya mawasilino na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), ili kuchunguza ushiriki wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia katika kashfa ya ubadhilifu wa fedha iliyomuweka hatiani aliyekua Rais wa CAF Ahmad Ahmad.
Kamati...
Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imefanya mawasilino na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), ili kuchunguza ushiriki wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia katika kashfa ya ubadhilifu wa fedha iliyomuweka hatiani aliyekua Rais wa CAF Ahmad Ahmad.
Kamati...
FEDHA ZA EU ZINAVYOTUANGAMIZA WAKENYA
Tunajua dhahiri kwamba fedha za Umoja wa Ulaya (EU) ndio zinazotusababishia madhila ya kila aina sisi Wakenya.
Serikali yetu imepokea fedha hizo haramu zenye masharti ya kutuangamiza sisi Wakenya.
Baadhi ya masharti hayo ni kama yafuatayo:
1. Serikali...
Kwa kweli tozo za utoaji wa fedha kwa mitandao kwa sasa sio rafiki tena kwa Mtanzania wa kawaida ni kummaliza kwani unapotumiwa kiasi cha 10 000 kampuni wanakata kiasi cha shilingi 1000 hii ikimaanisha ni 10% ambayo kwa kweli ni kiwango kikubwa mno na pia ni kama wizi au kumuibia mnyonge ambaye...
Fugitive Malawian preacher turns himself in to police
Malawian preacher Shepherd Bushiri and his wife Mary have handed themselves over to police in their home country after skipping bail in South Africa.
The couple turned themselves in Malawi's capital, Lilongwe, on Wednesday morning...
Naona Rais anajipendelea balaa. Social distance ni yeye pekee. Wengine tunaambiwa ni kovidi frii. Siku hizi hata mic anayo ya kwake peke yake na hata Maris wa nchi nyingine hawaruhusiwi kuitumia (Refer siku ya kuapishwa kwake)
Any way naona Mheshimiwa anajipendelea yani anajihakikishia usalama...
UJENZI WA DARAJA LA JUU LA JANGWANI,KUOKOA MUDA NA FEDHA ZA WAKAZI WA WILAYA MBILI,KINONDONI NA UBUNGO.
Leo 11:25hrs 15/11/2020
Daraja la juu la Jangwani lisasaidia kuepuka kutembea kwa miguu toka Kariakoo hadi Buguruni au toka Kariakoo,Muhimbili hadi Morocco,kuepuka kukaa foleni masaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.