fedha

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuipinga Sheria ya Utakatishaji Fedha Mahakamani

    Wakuu natanguliza salamu za Mwaka mpya , baada ya salamu hizi najikita moja kwa moja kwenye hoja . Chama cha Demokrasia na maendeleo kanda ya Pwani kimeandaa Mawakili wawili watakaofungua kesi Mahakamani ili kupinga sheria ya " kishenzi " ya utakatishaji fedha Hayo yamesemwa na Makamu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Faru Fausta kukaushwa na kuendelea kuliingizia taifa fedha za kigeni

    Baada ya kifo cha kuhuzunisha cha Faru Fausta aliyekuwa moja ya vitega uchumi nchini, sasa inasemekana atakushwa na kuwekwa eneo maalum. Lengo kuu ni kuendelea kuliingizia taifa hela za kigeni kupitia utalii wa ndani na nje na pia utafiti kwa vizazi vya baadae vyenye kuvutiwa na wanyama pori...
  3. M.Rutabo

    JamiiForums Tanzania Mwenye uwezo wa kunipa mchongo wa kazi. Nina Shahada ya Fedha, Mipango na Uwekezeji (Bachelor Degree in Finance and Investment Planning)

    Wakuu nafahamu hapa JamiiForums kuna watu wenye connection mbalimbali, tafadhali sana kama mnaweza kunisaidia kwenye jambo hili maana nahisi kama sijaitendea haki field yangu.
  4. Bams

    JamiiForums Tanzania Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    Mara nyingi binadamu walio wengi, wanapoyasikia mabaya, kama hayawagusi moja kwa moja, ni rahisi kufikiria kuwa hayawahusu, na wale wanaopatwa nayo wanawaona ama ni wajinga ama hawana uthamani kama walio nao wao. Leo hii, kama kuna mtu au anakuwa ametekwa au kukamatwa na vyombo vya usalama...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje makosa ya kutakatisha fedha hayana dhamana wakati faini yake ni ndogo?

    Najaribu tu kuutafakari huu uwiano wa makosa ya utakatishaji fedha na adhabu zinazoendana na makosa hayo. Ni juzi tu tumeshuhudia Jamal Malinzi na mwenzie Mwesiga wakilipishwa faini ya Sh. 500,000 baada ya kusota mahabusu kwa miaka. Wako wakina Kitilya na Sioi nao wamesota sana rumande...
  6. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Serikali yafungua akaunti maalum ya Uhujumu Uchumi

    Serikali imefungua akaunti maalum ambayo watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokiri makosa yao wataweka fedha wanazotuhumiwa kuhujumu, ili kuachiwa huru. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Tanzania, Biswalo Mganga jana Alhamisi October 3. DPP hakuna fedha itakayolipwa kwenye...
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania TITO MAGOTI kufunguliwa kesi ya kutakatisha fedha na Uhujumu uchumi ??

    Kama ilivyokawaida kwa serikali kandamizi ya Tanzania kukandamiza haki na uhuru wa kujieleza leo watu wasiojulikana baada ya kumchukua Tito Magoti na baadae kujulikana kua yuko na Polisi wakimhoji na ni siku chache tu baada ya Tito kuhoji kuhusu Bodi ya Mikopo kutowapa pesa wanafunzi wa Elimu ya...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani aitaka TANESCO kubaini vyanzo vipya vya umeme

    Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameiagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha kuwa wanafanya tafiti kubaini vyanzo vipya vya uzalishaji umeme ili kuongeza kiasi cha nishati hiyo nchini na kuweza kufikia lengo la kuwa na megawati 10,000 ifikapo mwaka...
  9. Mathayo Fungo

    JamiiForums Tanzania Ziwa Victoria kuiingizia Tanzania mabilioni ya fedha

    WAKATI ikielezwa kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zinazofikiwa na Ziwa Victoria, zinapoteza karibu Dola za Marekani bilioni 60 kila mwaka kutokana na kutolitumia vyema ziwa hilo, Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais Dk John Magufuli, imekuja na mikakati kabambe itakayohakikisha inavuna...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Tanesco kununua magari 106 ya kuwafuata wateja

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linapanga kununua magari 106 kwa ajili ya uboreshaji wa utoaji wa huduma kwa wateja ikiwamo kitengo cha dharura kwa ajili ya kuwahudumia wateja baada ya kupata kibali cha ununuzi. Aidha, shirika hilo limesema uboreshaji wa mfumo wa umeme katika kituo cha...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tabora: Wakulima wa Pamba wakaidi agizo la Mkuu wa Mkoa wataka walipwe fedha zao

    MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, aliagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Igunga kuwachukulia hatua za haraka wakulima wote wa pamba ambao wamekataa kung’oa miti ya pamba ya msimu uliopita. Wakulima hao wamekaidi kufanya hivyo kwa madai ya kutaka kulipwa fedha zao za mauzo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania BASATA yampa Rosa Ree mwezi mmoja kulipa faini ya kiasi hiki cha fedha

    Baraza la Sanaa la Taifa “BASATA” limempunguzia adhabu rapa wa kike nchini, Rosa Ree kutokana na kumfungia miezi sita, na badala yakekuruhusiwa kuendelea na shughuli zake za kisanaa. Barua hiyo imemtaka msanii huyo kulipa faini ya shilingi Milioni 2 ndani ya muda wa mwezi mmoja, “Baraza la...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kiswahili cha CryptoCurrency kitatupa shida

    Kiswahili cha CryptoCurrency kitatupa shida. Hivi karibuni benki kuu ya Tanzania kupitia website yake imetoa katazo la Cryptocurrency ambazo zimetafsiriwa kama PESA ZA MTANDAO. Taarifa ya BoT kuhusu Cryptocurrency ambayo imetafsiriwa kama fedha za kimtandao kitatupa shida kwenye uelewa...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania BoT yawaonya wanaojihusisha na fedha za kimtandao, yakana kuhusika nazo

    Benki Kuu Nchini imeonya kuacha mara moja kujihusisha na shughuli za fedha za Kimtandao (cryptocurrencies) kunakofanywa na baadhi ya watu wanaojihusisha na bishara hiyo haramu. Imeeleza kuwa watu hao wanaoleta usumbufu ndani na nje ya Nchi, wamekuwa wakidai kuwa shughuli zao zinaungwa mkono na...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Fedha ya mkopo kwa wanafunzi hucheleweshwa katika baadhi ya vyuo (Mfano IFM)

    Nimefuatilia na kupata kufahamu kuwa baadhi ya taasisi kwa elimu ya juu bado wanafanya michezo mibaya kwa fedha ya kujikimu ya wanafunzi. Wako watumishi wa hizo taasisi sio waaminifu na wanachelewesha kwa makusudi kabisa kutoa hizi fedha kwa wanafunzi kwa sababu wanazojua wenyewe. Hizi fedha...
  16. Lager

    JamiiForums Tanzania Wataalum wa uchumi kimewashinda nini kuikomboa thamani ya fedha yetu?

    Sitaki kuamini kuwa tunaenda kwa mwendo huu, mwendo wa fedha yetu kukosa thamani na kuzidi kudidimia chini. Ni ajabu wana uchumi kashindwa kuikomboa fedha yetu, wazee wetu wanatuambia hapo kabla fedha ilikuwa imara lakini hivi sasa inakuwa mdebwedo. Dola moja ni sawa na Tshs elfu 2000 na kitu...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Eti fedha hutokaje serikalini kwenda kwa wananchi?

    Nimesoma gazeti moja linauliza hivi pesa hutokaje serikalini kwenda kwa wananchi? na nikadhani tunaweza kujadili sote Binafsi kwa uelewa wangu pesa huwa inazunguka na kuzunguka kwa pesa maana yake ni kutoka sehemu moja ikapita kule na kule na kurudi sehemu hiyo hiyo ilipoanzia huo ndio mzunguko...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Fedha zilizookolewa ktk uchaguzi Njombe, Tanga, Mtwara, Katavi na maeneo mengine zijenge vituo vya Afya

    Mada hapo juu yaeleweka vizuri sana. Mnafahamu kiendeleacho nchini hivi sasa. Katavi, Njombe, Mtwara na Tanga hakuna uchaguzi. Hela nyingi zimenusirika kulipa posho za wasimamizi, karatasi, wino, visanduku, usafirishaji nk. Hata mitaa na vijiji vingi kwingineko hakuna uchaguzi wa serikali y...
  19. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini Canada na kesi ipo Mahakamani NDEGE NYINGINE YA TANZANIA YAKAMATWA CANADA - Waziri wa Mambo ya Nje na...
  20. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Serikali Kupitia Kwa Waziri wa Fedha Dokta Mpango Yaiomba AFDB Kujenga Barabara Njia Nne Morogoro Hadi Dodoma

    WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango ameiomba Benki ya Maendeleo ya Afrika kuipatia Tanzania mkopo nafuu kwa ajii ya kujenga barabara ya njia Nne kuanzia Morogoro hadi Dodoma ili kuboresha usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo Dkt. Mpango ametoa ombi hili Jijini Dodoma...
Back
Top Bottom