familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Naibu Waziri anapopata ajali then Viongozi wakuu wa Wizara na nchi Kwa ujumla wasitoe pole Kwa familia siyo afya. Kuna fumbo

    Viongozi wanapopata ajali tumezoea kuona viongozi wenzake kupitia akaunti zao binafsi za mitandao ya kijamii zikitoka pole Ila kwa huyu Naibu Waziri watu wamekaa kimya. Sidhani kama inaleta afya, inaonyesha kama ametengwa. Tujitahidi kuondoa double standard Kwa Sababu angekuwa anatoka...
  2. Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

    Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia: ''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze...
  3. Watatu wa familia moja waliofariki mafuriko Arusha kuzikwa Ijumaa

    Watu watatu wa familia moja kati ya wanne waliofariki juzi baada ya gari walilokuwa wamepanda kusombwa na mafuriko, akiwemo mama, mtoto na mtoto wa kaka yake, wanatarajiwa kuzikwa Ijumaa Aprili 28, 2023 katika eneo la Ilboru, Wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha. Tukio hilo lilitokea jana Aprili...
  4. Arusha: Wanne wadaiwa kufariki dunia baada ya Noah kusombwa na maji ikijaribu kuvuka barabara iliyofunikwa na maji

    Hii ni ile noah iliyozama ilikuwa na watu sita wawili wamepona, watatu wamepatikana wamefariki, mtoto mmoja hajaonekana sijui kapelekwa na maji hadi wapi ======= Watu wanne wamepoteza Maisha na wengine wawili kunusurika kufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya NOAH T 499 DMY kusombwa...
  5. Je, ni wanawake wa makabila gani hapa Tanzania wakiolewa hawajihesabii kuwa sehemu ya kudumu ya ukoo na familia ya Mume?

    Hello JF family, Ndoa ni muunganiko wa familia na koo za pande mbili, katika pitapita zangu nimepata sikia yapo baadhi ya makabila wanawake wakiolewa hawqjihesabii kuwa sehemu ya familia na ukoo wa mume. Hata wakiolewa wana ukwao au unyumbani mwingi na kamwe hawana mguso thabiti na wa kweli na...
  6. Familia yake wanataka kunitolea mahari

    Habari za eid pili waungwana, Iko hivi, nimejaliwa kuzaa watoto wawili wa kiume na bwana mmoja. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo, hatukuoana na huyo bwana. Watoto wote nilikuwa naishi nao kwangu, huku tukisaidizana malezi. Yeye alishaoa kama miaka mitatu nyuma. Kama miaka miwili...
  7. Afrika Kusini: Watu 10 wa Familia Moja Wauawa kwa Risasi

    Tukio limetokea Mji wa Pietermaritzburg katika Jimbo la KwaZulu-Natal, kati ya waliouawa Wanawake ni saba na Wanaume watatu. Ripoti ya awali ya Polisi imeeleza watu wenye silaha wasiojulikana walivamia na kufanya mashambulizi katika familia hiyo ambapo mshukiwa mmoja ameuawa eneo la tukio ...
  8. Tukio la ndugu wa Familia kufariki kwa moshi wa jenereta, ndugu adai marehemu walipigwa kabla ya vifo vyao

    Kufuatia tukio la watu wanne wa familia moja kupoteza maisha katika mazingira ya utata, ikidaiwa kuwa ni kwa sababu ya kuvuta moshi wa jenereta, mapya yameibuka. Mmoja kati ya ndugu wa familia hiyo iliyokuwa ikiishi Temeke jijini Dar es Salaam, amedai kuwa tukio hilo limetekelezwa na watu kwa...
  9. Dar: Watu wanne wa familia moja wafariki baada ya kuvuta hewa chafu ya jenereta

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la vifo vya watu wanne wa familia moja ambao wamepoteza maisha baada ya kuvuta hewa chafu ya moshi kutoka kwenye jenereta walilowasha ndani ya nyumba na baadae kulala Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro...
  10. M

    Mzee Mkono akiagwa na Wasomi na Watu wa Kawaida Leaders Club tutaishukuru Familia yake

    Ni ukweli usiopingika kuwa 60% ya wasomi wa miaka ya karibuni walifanikiwa kusoma kwa juhudi za Marehemu Mzee Mkono alipokuwa Mkuu wa Bodi ya Mikopo ambaye binafsi alihakikisha hakuna mtoto wa masikini hasomi na ndiyo maana kuna muda aliweza hata kutoa pesa zake mfukoni ili wanafunzi walipwe na...
  11. Changamoto ya ulevi: Jinsi inavyoumiza familia na jamii

    Habari wapendwa, Leo napenda tuzungumzie hili suala la ulevi na athari zake na jinsi linavyoumiza familia na jamii kwa ujumla. Wapendwa ulevi ni tabia mbaya ambayo mtu hujijengea taratibu akizani ya kua yupo sawa kumbe anajimaliza siku hadi siku. Kwa mfano ulevi wa pombe tuache bangi na sigara...
  12. Kuna pepo likiingia kwenye familia hutafuna vizazi vingi

    Pepo la Umaskini Pepo la mikosi Pepo la kukosa ndoa Pepo la kuzalia nyumbani Pepo la ugumba Pepo migogoro na mafarakano Pepo la wizi, utapeli na udanganyifu Pepo la madeni na mikopo isiyolipika nknk Haya mapepo hutembea na vizazi mpaka cha tatu ama cha nne.. Unapoona kwenye familia yako kuna...
  13. Kwa nini familia ya Glazer wana kigugumizi kuiuza Man Utd?

    Walisema wanataka kuiuza Klab, lakini kila akitokea mnunuzi wanaanza kumzungusha, tatizo nini??
  14. Shemeji yangu ni mchafu sana. Jana nilimtembelea akanialika chakula nikatapika mbele ya familia

    Huyu mke wa mshikaji wangu anashika rekodi ya uchafu. Nilishindwa kuwatembelea Jumapili ya Pasaka nikasema niende jana Jumatatu ya Pasaka. Wana mtoto mchanga na wanafuga bata, wakati wa naandalizi ya msosi kwa macho yangu niliona akimtawaza mtoto bila kunawa mikono, mara akajikuna sehemu za...
  15. Vijana Tukatae ndoa

    Habari za usiku. Ndoa ni utumwa. Ndoa ni umasikini. Ndoa ni source ya mafarakano Ndoa ina leta chuki. Ndoa ni ubinafsi. Sijaona na sioni umuhimu wa ndoa. Kijana KATAA NDOA FANYA MAISHA
  16. Mwanaume asiyeweza kujilipia mahari mwenyewe anawezaje kulea familia?

    Nimeona taasisi moja ya kiislam imeazimia kuwalipia mahari wanaume 50 ili kuwawezesha kufunga ndoa. Nikajiuliza maswali kadhaa. 1. Hivi mwanaume kama hauna uwezo wa kulipa mahari unataka ndoa ya nini? 2. Hii taasisi imekaa na kuona namna bora ya kuwainua vijana ni kuwawezesha kuoa? 😀 Angalau...
  17. Arusha: Watoto wawili watuhumiwa kumlawiti mdogo wao baada ya baba na mama kuikimbia familia

    Wakazi wa Kata ya Muriet, eneo la Barabara ya Nado, mitaa ambayo ni maarufu kwa jina la Muriet au Barabara ya East Afrika Mkoani Arusha, wamelalamikia kitendo cha wazazi wawili (mume na mke) kuwatelekeza watoto wao ambao wamejikuta wakiingia katika matatizo ya kimaadili. Inaelezwa kuwa Wazazi...
  18. S

    Familia ya Gupta iliuweka utawala wa Zuma mfukoni ikawa haigusiki. Je, kuna familia inamsumbua rais Samia?

    Afrika Kusini wakati wa utawala wa Zuma familia ya Gupta ilikuwa na uswahiba usiokuwa na afya na mtoto wa rais huyo. Hii ikapekekea ufisadi mkubwa Sana kufanyika serikalini kupitia tenda zilizokabidhiwa kwa familia hiyo. Hivi Sasa Kuna ufisadi unaowekwa wazi na CAG hapa Tanzania lkn mamlaka...
  19. Rais Mwinyi, hii kasi ya kuwapa ardhi raia wa kigeni kulikoni? Kelele zimekuwa nyingi, Sasa unataka kunyang'anya familia ya Karume nyumba!

    Rais Mwinyi amekuwa akipigiwa kelele sana kwamba ananyang'anya wananchi ardhi anawapa wageni kwa kisingizio Cha kukodisha. Baadhi wanasema, anachukua ardhi hiyo yeye mwenyewe kwa mlango wa wawekezaji. Anahamisha mashule, maeneo ya shule anawapa wawekezaji, anakodisha visiwa kwa bei ya kutupa...
  20. Familia aliyegongwa na mwendokasi yahaha kumtibia akisubiri kulipwa

    Unalikumbuka tukio la basi la mwendokasi lililoacha njia na kugonga ukuta wa jengo lililopo Kisutu jijini Dar es Salaam huku likimkosa mwenda kwa miguu aliyekuwa akikatisha mtaani hapo? Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (Tira) imesema anastahili kulipwa fidia. Wakati Tira ikisema hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…