Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

Yah ..mindset ikishakuwa average unakua unawaza average stuffs kama hivi..Japo hakuna shida pia, maana kujaribu ku accomplish the higher call/course si wote wanajaaliwa kupata ufahamu huo
Kama hauko fortunate kuzaliwa ndani ya circle ya vigogo wa CCM au ma Tycoon wenye biashara kubwa nchini lazma thinking yako itakuwa average tu.
 
Kama hauko fortunate kuzaliwa ndani ya circle ya vigogo wa CCM au ma Tycoon wenye biashara kubwa nchini lazma thinking yako itakuwa average tu.
Si lazima uzaliwe kwenye circle hiyo. Maana hata hao walioko kwenye huzo circle mostly they were not born from in there.
They paved a way. And this is the hardest part of the story. Ndio maana njia rahis ni kupambania daily bread tu.
Ingawa kwa namna moja nyingine nakubaliana na wewe, moat of us mazingira yametushape kuwaza hivyo.

Wamasema experience is the best teacher..but sometimes it can be the worst curse of ur future
 
Back
Top Bottom