Unalisha familia ya Demu, vipi kuhusu yako?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Je unajua kuwa unapomtumia hela Demu wako anakula na familia yake?

Wanaume naomba tubadilike aisee! Demu anapokuomba hela make sure kwanza unatuma kwa Bi Mkubwa wako kwenu.

Kwa mfano Demu amekuomba 10,000 na wewe una 12,000 hakikisha unatuma 11,500 kwenu kwa Bi Mkubwa halafu Jero inayobaki ndio unamtumia Demu wako.

KATAA KAUSHA DAMU HAWANA SHUKURANI JUU YAKO
 
JF ladies,hamjakata roho tu hadi muda huu?

Mnachomnyima mleta thread,mumpatie kwa nguvu zote
🤣🤣
 
1. Wanaume wanaohonga ili kulinda mahusiano
Ndio mwanaume mjinga kuliko yeyote duniani...

2. Mwanaume anayetoa pesa/nunua sex Amalize satisfaction zake halafu apite vile anajitambua kuliko wewe bwege wa kwanza.

3. Mwanamke Ruhusa kumnyoosha mwanamume namba 1 maana halina akili, halafu ukilimaliza uliache.
 
Je unajua kuwa unapomtumia hela Demu wako anakula na familia yake?

Wanaume naomba tubadilike aisee! Demu anapokuomba hela make sure kwanza unatuma kwa Bi Mkubwa wako kwenu.

Kwa mfano Demu amekuomba 10,000 na wewe una 12,000 hakikisha unatuma 11,500 kwenu kwa Bi Mkubwa halafu Jero inayobaki ndio unamtumia Demu wako.

KATAA KAUSHA DAMU HAWANA SHUKURANI JUU YAKO
Kwanini umtumie hata iyo 500.! Iyo jero inayobaki nunua bando au bet.
 
Naona...wanaume umasikini unawasumbua sana...yaaani tuko hapa tunajadili 11,500...

Watu wazima kabisa... sasa babayako kazi yake nini......kama anashindwa kumpa mke wake hiyo hela..

Wewe kapuku tafuta...hela
 
Shida yenu huwa hamsikilizani hasa kichwa kisicho na macho kikichachamaa.
 
Inabidi upewe cheo cha ukatibu wa chama cha wanaume wabahili Tanzania tunasubiri teuzi!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom