Ndugu wajitafakari wanapotaka kutembelea watoto wao wenye familia

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Ni meshindwa kuweka kichwa cha habari vizuri ila mtaelewa kuhusu mada hii. Kijana anapoingia kujitafuta na mwenzake pande hizo mbili mnageuza studio p funk majani kila mtu kuja ijalishi mwenzenu ana vyumba vingapi.

Kuna kijana hapa bodaboda ana chumba kimoja yani katembelewa na mama mkwe ,dada, kaka, watoto wa mjomba inabidi yeye aakeshe kijiweni sababu chumba kimoja.
 
Ni meshindwa kuweka kichwa cha habari vizuri ila mtaelewa kuhuu mada hii. kijana anapoingia kujitafuta na mwenzake pande hizo mbili mnageuza studio p funk majani kila mtu kuja ijalishi mwenzenu ana vyumba vingani.

kuna kijana hapa bodaboda ana chumba kimoja yani katembelewa na mama mkwe ,dada,kaka,watoto wa mjomba inabidi yeye hakeshe kijiweni sababu chumba kimoja.
Acha ujinga wewe watu wote hao walale chumba kimoja walichoachiwa na huyo bodaboda?
 
Siku hizi watu wameacha kutembelea ndugu zao hata kama wamefanikiwa kuwa na maisha mazuri, wanakula milo minne ya maana hakuna wa kuwatembelea. Maisha yamebadilika sana, ukioa utabaki na mke wako, watoto wako na kijakazi wenu mkila maisha kwenye jumba lenu la kifahari huko mliko. Ndugu wamechoka masimango na kuonekana ni mzigo
 
Mh seriously?wa wapi hao?
 
Aluta kontuanua hakuna kuringishiana nakusimangana sahizi.tumekubaliana kukutana misibani tu.
 
Ni meshindwa kuweka kichwa cha habari vizuri ila mtaelewa kuhusu mada hii. Kijana anapoingia kujitafuta na mwenzake pande hizo mbili mnageuza studio p funk majani kila mtu kuja ijalishi mwenzenu ana vyumba vingapi.

Kuna kijana hapa bodaboda ana chumba kimoja yani katembelewa na mama mkwe ,dada, kaka, watoto wa mjomba inabidi yeye aakeshe kijiweni sababu chumba kimoja.
Shida iko kwa Bodaboda... .tunaswma boda boda boda hawana akili wanakuja kudhalilisha ndugu zao kwa ujinga wanajiona wametoboamjini.
 
Yamekukuta mzee mwenzangu mpaka unaandika kama vile una kwikwi 😂😂 ndio ukubwa jisoti utafute room mbili makwe ndio ameshatua huyo.

Ukipenda boga penda na ua lake mwanangu, hapo bado mdogp mtu anajiandaa kuja maana dada amepata bwana mjini nao wameshatoka hivyo.
Vijana wakiwa Dar wanapiga simu kijijini wanajifanya maisha mazuri.....Ndugu wakija sasa inakua aibu.
 
Ni meshindwa kuweka kichwa cha habari vizuri ila mtaelewa kuhusu mada hii. Kijana anapoingia kujitafuta na mwenzake pande hizo mbili mnageuza studio p funk majani kila mtu kuja ijalishi mwenzenu ana vyumba vingapi.

Kuna kijana hapa bodaboda ana chumba kimoja yani katembelewa na mama mkwe ,dada, kaka, watoto wa mjomba inabidi yeye aakeshe kijiweni sababu chumba kimoja.
Ukiona hivyo, kijana huyo ndo tajiri wa familia.
Mpe moyo apambanie maisha zaidi aweze kujenga na kuwakaribisha wengi zaidi.....

Mimi nina mipaka ya kutembelewa na ndugu
 
Yaan uliposema Bodaboda tayari nilishakinai. Hao ndg hata wao ni Ovyo square. Yaan Bodaboda hata angekuwa na Ghorofa kama Lile la PsPF siwez kuishi kwake. Akili zao wanazijua wao.

Kuna kipindi walijichetuaga sana wakidhani watakuwa Ma Stars. Wakaishia kupoteza ladha na kutukanwa mitandaono Redioni na kwenye TVs.
 
Back
Top Bottom