Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,028
- 12,350
"Hii ni biashara ya familia walianza babu zetu ambao mpaka sasa wameshafariki na sisi ni uzao wa tatu na huyo tunaemuona ni kizazi cha nne anaweza akachukua akaendeleza. Matumaini yetu amemaliza chuo juzi lakini ataanzia ngazi za chini atafanya kinachotakiwa halafu akifanikiwa atachukua kazi zetu lakini hii ni biashara ya familia ilianza 1930 au 1940" - Hatim J Anjari - Mkurugenzi Mkuu Anjari Soda Factory Ltd