Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

Nuru2023

JF-Expert Member
May 2, 2023
323
803
According to taarifa zinasombaa mtandaoni, asset ya maana Ruge aliyoacha imeuzwa kwa Bil 2 za kitanzania.

Lakini jambo zuri kuliko yote, wanufaika wa mgao hao ni watoto 6 wa Marehemu tu. Kazi kwa mama zao kuwasimamia watoto wafaidi urithi wa baba yao kama WANA AKILI TIMAMU. Maana baba kajua kuwatunza wanae kutoka kaburini, sio kama wanaume wanazaa kama panya na kutunza watoto hawatunzi tena wakiwa hai na vijisababu kibao ati amejibebesha mimba.

Maana sehemu ya pesa hiyo ikiingizwa UTT au government bonds watoto wanasoma mpaka chuo kikuu bila shida.

MY TAKE: Kuna Wimbi kubwa kwa ndugu wa mume kuwa na nongwa kweli na mali za marehemu, wengi huwa hawajahusika hata kuzitafuta. Mke na watoto unajikuta umebaki unahangaika kama vile hukuachiwa chochote.

Hii familia ni ya kupongezwa na Mungu awabariki kwa mioyo yao isiyo na tamaa. Kazi kwao wasimamia mirathi.

Na wewe mwanaume kama upo hai na unashindwa kutunza wanao/mwanao kwa uwezo wako uliobarikiwa, jua wewe ni mbwa koko tu maana dunia imeendelea hakuna mama mwenye uwezo wa kumzuia baba kutunza mwanae baba akiwa na nia.

Joke: Wale ambao mnazaa na watu wakifa wanawaachia magonjwa, msururu wa watoto wa nje na madeni juu poleni 😄 🤣 😂 😆 THE LORD IS YOUR SHEPHERD
 
Wazazi wake na Ruge sio maskini.

Ruge kazaliwa Marekani miaka ya 70s.

Imagine miaka ya 1970 baba na mama tayari wanaishi Marekani.

Ruge baba yake professor UDSM na mama yake Ruge pia ni PHD holder anafundisha UDSM.

Familia ya Ruge sio familia ya kina kajamba nani. Ya kugombania urithi
 
Mimi ruge kanifurahisha kugoma kwake kuoa baada ya kugundua kazaa watoto wengi na wamama tofauti tofauti.

Hii imepunguza sana migogoro kwenye mirathi yake.

Angekuwa amemuoa mwanamke mmojawapo..mirathi ingekuwa na usumbufu mwingi sana. Wanawake wana tamaa sana hasa wakiwa na cheti cha ndoa.

Bilionea Msuya ni mfano hai ya wake wa ndoa walivyo na tamaa
 
Wazazi wake na Ruge sio maskini.

Ruge kazaliwa marekani miaka ya 70s.

Imagine miaka ya 1970 baba na mama tayari wanaishi marekani.

Ruge baba yake professor udsm na mama yake Ruge pia ni PHD holder anafundisha udsm.

Familia ya Ruge sio familia ya kina kajamba nani. Ya kugombania urithi
Kuna familia ni matajiri lakini bado huwa na roho ya kwanini, hapa siongelei mdangaji kama Mrs Mengi.
Ila kwa mke halali kabisa na watoto wa marehemu.
Ingawa ni uhalisi, familia ikiwa kajamba nani vita ni vita mpaka kulogana
 
Mimi ruge kanifurahisha kugoma kwake kuoa baada ya kugundua kazaa watoto wengi na wamama tofauti tofauti.

Hii imepunguza sana migogoro kwenye mirathi yake.

Angekuwa amemuoa mwanamke mmojawapo..mirathi ingekuwa na usumbufu mwingi sana. Wanawake wana tamaa sana hasa wakiwa na cheti cha ndoa.

Bilionea msuya ni mfano hai ya wake wa ndoa walivyo na tamaa
Wala isingezuia chochote.
Sanasana mke angepata sehemu yake kama mke plus maumivu ya moyo makubwa na watoto wote wangepata kilichobaki kwa usawa.
Kwanza inaonesha umekuja mjini juzi, Ruge amefariki akiwa katika harakati za kumuoa Nandy, mahari alishatoa na alikuwa anatambulika kama mchumba rasmi
 
Wala isingezuia chochote.
Sanasana mke angepata sehemu yake kama mke plus maumivu ya moyo makubwa na watoto wote wangepata kilichobaki kwa usawa.
Kwanza inaonesha umekuja mjini juzi, Ruge amefariki akiwa katika harakati za kumuoa Nandy, mahari alishatoa na alikua anatambulika kama mchumba rasmi

Ruge kafariki akiwa na miaka 50. Nandy alikuwa kachumbiwa kienyeji ili imani izidi. Kama alivyomchumbia Zamaradi ila kumuoa akagoma.

Ruge kuchumbia kienyeji kaanza zamani. Ila ndoa haoi, Mwanzoni kabisa alimchumbia dada anaeitwa Beza ambaye alizaa nae first born wake anaitwa Mwachi
 
Ruge kafariki akiwa na miaka 50. Nandy alikuwa kachumbiwa ili imani izidi. Kama alivyomchumbia zamaradi ila kumuoa akagoma

Ruge kuchumbia kaanza zamani. Ila ndoa haoi,, Mwanzoni kabisa alimchumbia dada anaeitwa Beza ambaye alizaa nae first born wake anaitwa Mwachi
Acha ubishi wa kijinga, sawa.....
JANUARY MAKAMBA aligusia tayari walikua wanaandaa harusi nzuri tu kabla hajafa kwenye speech ya mazishi (which means tarehe ya ndoa ilikua imepangwa sio kama hao wako uliowataja)
Wewe kama ni kataa ndoa, kataa kwa immaturity yako ya kushindwa kumudu kuendesha familia acha kupakazia watu uongo uongo.

Halafu watoto wa nje huwa wanapata migao yao kama kawaida labda familia ya mwanaume wawe mazombie au mama mjengo awe na roho mbaya yeye binafsi
 
Mimi najibu facts nakutajia na majina. wewe unaleta story za kusikia sikia.

Kama Hoja yako ni ya kweli naomba unijibu haya maswali yangu machache

1. Engagement ya Nandy na ruge ilifanyika wapi na lini?

2. Ruge pamoja na ndugu zake gani wa Ruge walienda kulipa mahari kina Nandy na walienda lini?

3. Vikao vya ndoa vilifanyika wapi na kina nani walikuwa wanakamati?

4. Ndoa yao Ruge na Nandy iliandikishwa Kanisa gani? Maana ndoa ya kikristo hainaga usiri siri na haifungwi ghafla ghafla lazima itangazwe kanisani sio chini ya mara 3, na ibandikwe majina kwenye ubao wa matangazo.

Majibu ya haya maswali yatatupa ukweli halisi

January aligusia sababu ni mnogeshaji kijiwe tu kwenye kila misiba kila mtu anasema lake, jiulize Je mipango ya ndoa ama tarehe ya ndoa inaanzaje kupangwa haraka haraka huku mtu akiwa kalazwa hospitali ? kama wakati yupo mzima hakufanya matendo ya kuonesha ndoa inafungwa. Ruge ameumwa serious zaidi ya mwaka mzima. Ameenda sana india na kufanyiwa sana Dialysis Kairuki mikocheni kabla hajafikia levo kulazwa
 
According to taarifa zinasombaa mtandaoni, asset ya maana Ruge aliyoacha imeuzwa kwa Bil 2 za kitanzania.
Lakini jambo zuri kuliko yote, wanufaika wa mgao hao ni watoto 6 wa Marehemu tu. Kazi kwa mama zao kuwasimamia watoto wafaidi urithi wa baba yao kama WANA AKILI TIMAMU. Maana baba kajua kuwatunza wanae kutoka kaburini, sio kama wanaume wanazaa kama panya na kutunza watoto hawatunzi tena wakiwa hai na vijisababu kibao ati amejibebesha mimba.
Maana sehemu ya pesa hiyo ikiingizwa UTT au government bonds watoto wanasoma mpaka chuo kikuu bila shida.

MY TAKE: Kuna Wimbi kubwa kwa ndugu wa mume kuwa na nongwa kweli na mali za marehemu, wengi huwa hawajahusika hata kuzitafuta. Mke na watoto unajikuta umebaki unahangaika kama vile hukuachiwa chochote.
Hii familia ni ya kupongezwa na Mungu awabariki kwa mioyo yao isiyo na tamaa. Kazi kwao wasimamia mirathi.

Na wewe mwanaume kama upo hai na unashindwa kutunza wanao/mwanao kwa uwezo wako uliobarikiwa, jua wewe ni mbwa koko tu maana dunia imeendelea hakuna mama mwenye uwezo wa kumzuia baba kutunza mwanae baba akiwa na nia.

Joke: wale ambao mnazaa na watu wakifa wanawaachia magonjwa, msururu wa watoto wa nje na madeni juu poleni 😄 🤣 😂 😆 THE LORD IS YOUR SHEPHERD
Source ya unachokipngea? Au unatuokotea gossips za mitandaoni zisizo na ushahidi?

Moderator
 
Back
Top Bottom