Einstein alisema hakuna uhusiano kati ya elimu na akili

JET SALLI

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
1,135
1,500
Sasa katika wakati kama huu utaona wanaojiita wasomi,watumishi,wakulima,na watu wengine ktk jamii wako ktk kampeni wanashangilia wagombea na hawawachiju ili kujua nani anaweza kuwa anaongea ukweli ,na kwa sababu ukweli haudanganyi na unabaki kuwa ukweli tu.Ndio maana ukisema mtu huyu ana Elimu ukweli ni pale elimu aliyoipata inapoonekana kwa vitendo na mang'amuzi ambayo MTU yule anaweza kuyafanya katika maisha yake ya kila siku na nje ya hapo tunalazimika kuhoji juu ya AKILI ya mtu,Ndio maana Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani.

Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa yale waliyofundishwa darasani, vichwa vyao vinabaki vitupu. Kitu pekee walichojaza kichwani ni walichofundishwa darasani. Hawa ndio hujisifia vyeti, au idadi ya "digrii" walizonazo. Hawana akili, japo wana elimu.

Einstein alisema hakuna uhusiano kati ya elimu na akili. Kuna watu wana elimu lakini hawana akili, na wengine wana akili lakini hawana elimu. Ni bora uwe na akili ukose elimu, kuliko uwe na elimu ukose akili.

Icons wa Sayansi kama Isaac Newton, Galileo Galilei na Archimedes of Syracuse hawakuwa na elimu yoyote ya cheti, diploma wala degree, lakini walikua na AKILI. Ugunduzi wao mpaka leo unaiongoza dunia.

Akili siku zote ni "superior" kuliko elimu kwa sababu akili ndio ilibuni elimu. Yani watu wenye akili walikaa wakaweka utaratibu wa mtu kukaa darasani na kujifunza kwa kipindi fulani, kisha apimwe kwa mitihani na atunukiwe cheti. Ubunifu huo ulifanywa na wenye akili. Kama huamini jiulize mtu wa kwanza kutunukiwa degree duniani alifundishwa na nani?

So mtu mwenye akili lakini akakosa elimu, ni msaada kwa jamii kuliko mtu mwenye elimu lakini akakosa akili. Mark Zukerberg hakumaliza shule lakini kwa kutumia akili amebuni mifumo rahisi ya mawasiliano kupitia mtandao.

Yeye ndiye mmiliki wa Facebook, Whatsapp na Instagram. Wale maprofesa waliomuona "kilaza" darasani leo wanatumia ubunifu wake kuendesha maisha yao. Kama sio FB basi wanatumia Instagram au Whatsapp. Maprofesa wenye elimu kubwa wamezidiwa ujanja na "kilaza" mwenye Akili.

Usijidharau kwa uchache wa madarasa ulionayo, unaweza kuwa na akili nyingi kuliko mwenye degree 4
aAlbert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani.

Usijidharau kwa uchache wa madarasa ulionayo, unaweza kuwa na akili nyingi kuliko mwenye degree 4.
 
MUSHEKY

JF-Expert Member
May 9, 2014
2,021
2,000
Mkuu umeandika kitu cha maana sana

Lakini kwa kua walio wengi wana elimu peke yake huoni wanaupita huu uzi na kuukumbilia ule wa wakili vwabwa amsadamu
 
Phoenix

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
10,090
2,000
Wewe baki hivyo hivyo,Walio na elimu ndio waliogundua hata hizi simu na server tunazotumia...
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
1,747
2,000
Elimu ni mkusanyiko wa akili nyingi, uzoefu mistakes nk.Hivyo ukiwa na elimu na mwingine ana akili unakuwa umemzidi mwenye akili mbali sana.Mwenye akili bila elimu anaweza kutatizwa na jambo ambalo lilitatuliwa zamani sana hivyo mwenye elimu hatatazika na matatizo yaliokwisha tatuliwa.
Leo hivi huwezi kuanza kufikiria kuunda gari wakati walishaunda hivyo nenda soma walivyofanya unda lakwako.Maelfu ya watu wamehusika kubuni vifaa vya gari, hivyo utajidangamya kama utatumia akili bila uzoefu wa waliokutangulia.
Dhana ya kipindi cha Einstein inaweza isiwe sawa Leo.Ndio maana hata theory ya relativity inapingwa sana kuwa haipo sahihi.
Na mtazamo wa Einstein sio kwamba kila mtu wa zama zake aliukubali.
Uwezo wa Ku analyse inatokana na ubora wa elimu uliopata.Huwexi kuniambia PhD reasoning yake ipo chini kuliko lasaba.Lasaba kuna mambo machache anaweza Ku reason vizuri hasa yalio ktk mazingira yake ya kila siku.
Wazungu wametuzidi sio kwa sbabu ya akili nyingi bali elimu kubwa ya kila nyanja.JK Nyerere aliwahi sema akili lazima inolewe na kinoleo in elimu.
Kumbuka majority ya watanzania ni waliokosa elimu hivyo wanafanya mambo kwa mkumbo au uzoefu.Watu wanachagua kwa kuwa chama hicho/ mtu Huyo amekuwepo muda mrefu lakini hawapimi potential yake.
Hatahivyo kuna mabadiriko makubwa ya kifikra juu ya maendeleo na utawala lakini wamebanwa kwa sababu kuna mtu anaitwa TUME anaamua amtangaze nani na sheria ataetangazwa Ndio mshindi sasa vipi hsmapo uwalaumu watu kuwa hawana akili.Waandamane au fujo?
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
6,758
2,000
P
Sasa katika wakati kama huu utaona wanaojiita wasomi,watumishi,wakulima,na watu wengine ktk jamii wako ktk kampeni wanashangilia wagombea na hawawachiju ili kujua nani anaweza kuwa anaongea ukweli ,na kwa sababu ukweli haudanganyi na unabaki kuwa ukweli tu.Ndio maana ukisema mtu huyu ana Elimu ukweli ni pale elimu aliyoipata inapoonekana kwa vitendo na mang'amuzi ambayo MTU yule anaweza kuyafanya katika maisha yake ya kila siku na nje ya hapo tunalazimika kuhoji juu ya AKILI ya mtu,Ndio maana Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani.

Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa yale waliyofundishwa darasani, vichwa vyao vinabaki vitupu. Kitu pekee walichojaza kichwani ni walichofundishwa darasani. Hawa ndio hujisifia vyeti, au idadi ya "digrii" walizonazo. Hawana akili, japo wana elimu.

Einstein alisema hakuna uhusiano kati ya elimu na akili. Kuna watu wana elimu lakini hawana akili, na wengine wana akili lakini hawana elimu. Ni bora uwe na akili ukose elimu, kuliko uwe na elimu ukose akili.

Icons wa Sayansi kama Isaac Newton, Galileo Galilei na Archimedes of Syracuse hawakuwa na elimu yoyote ya cheti, diploma wala degree, lakini walikua na AKILI. Ugunduzi wao mpaka leo unaiongoza dunia.

Akili siku zote ni "superior" kuliko elimu kwa sababu akili ndio ilibuni elimu. Yani watu wenye akili walikaa wakaweka utaratibu wa mtu kukaa darasani na kujifunza kwa kipindi fulani, kisha apimwe kwa mitihani na atunukiwe cheti. Ubunifu huo ulifanywa na wenye akili. Kama huamini jiulize mtu wa kwanza kutunukiwa degree duniani alifundishwa na nani?

So mtu mwenye akili lakini akakosa elimu, ni msaada kwa jamii kuliko mtu mwenye elimu lakini akakosa akili. Mark Zukerberg hakumaliza shule lakini kwa kutumia akili amebuni mifumo rahisi ya mawasiliano kupitia mtandao.

Yeye ndiye mmiliki wa Facebook, Whatsapp na Instagram. Wale maprofesa waliomuona "kilaza" darasani leo wanatumia ubunifu wake kuendesha maisha yao. Kama sio FB basi wanatumia Instagram au Whatsapp. Maprofesa wenye elimu kubwa wamezidiwa ujanja na "kilaza" mwenye Akili.

Usijidharau kwa uchache wa madarasa ulionayo, unaweza kuwa na akili nyingi kuliko mwenye degree 4
aAlbert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani.

Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa yale waliyofundishwa darasani, vichwa vyao vinabaki vitupu. Kitu pekee walichojaza kichwani ni walichofundishwa darasani. Hawa ndio hujisifia vyeti, au idadi ya "digrii" walizonazo. Hawana akili, japo wana elimu.

Einstein alisema hakuna uhusiano kati ya elimu na akili. Kuna watu wana elimu lakini hawana akili, na wengine wana akili lakini hawana elimu. Ni bora uwe na akili ukose elimu, kuliko uwe na elimu ukose akili.

Icons wa Sayansi kama Isaac Newton, Galileo Galilei na Archimedes of Syracuse hawakuwa na elimu yoyote ya cheti, diploma wala degree, lakini walikua na AKILI. Ugunduzi wao mpaka leo unaiongoza dunia.

Akili siku zote ni "superior" kuliko elimu kwa sababu akili ndio ilibuni elimu. Yani watu wenye akili walikaa wakaweka utaratibu wa mtu kukaa darasani na kujifunza kwa kipindi fulani, kisha apimwe kwa mitihani na atunukiwe cheti. Ubunifu huo ulifanywa na wenye akili. Kama huamini jiulize mtu wa kwanza kutunukiwa degree duniani alifundishwa na nani?

So mtu mwenye akili lakini akakosa elimu, ni msaada kwa jamii kuliko mtu mwenye elimu lakini akakosa akili. Mark Zukerberg hakumaliza shule lakini kwa kutumia akili amebuni mifumo rahisi ya mawasiliano kupitia mtandao.

Yeye ndiye mmiliki wa Facebook, Whatsapp na Instagram. Wale maprofesa waliomuona "kilaza" darasani leo wanatumia ubunifu wake kuendesha maisha yao. Kama sio FB basi wanatumia Instagram au Whatsapp. Maprofesa wenye elimu kubwa wamezidiwa ujanja na "kilaza" mwenye Akili.

Usijidharau kwa uchache wa madarasa ulionayo, unaweza kuwa na akili nyingi kuliko mwenye degree 4.
Yes mkuu.

Lakini kwa mazingira yetu ya sasa mtu asitosheke na akili zake tu bali anatakiwa aongezee na elimu.

Lakini kwa wakati wa adam na hawa basi akili ndo ilikuwa ya kujivunia nayo kwa sababu hakukuwa na mawazo wala mchanganyiko wa nadharia mbalimbali.

Ila kwa sasa akili tusitosheke nayo kwa dababu kuna mengi sana katika mawazo na nadharia mbalimbali na fursa mbalimbali jivyo tunatakiwa tusiiwache elimu kwa sababu ya akili.
 
Manton

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
802
1,000
Akili ni uwezo wa ubongo kuhifadhi, kuvumbua na kutathimini maarifa kwa mtiririko sahihi katika kupambanua na kutatua magumu mbalimbali katika mazingira ya uhai(uwepo) wa viumbe hai na visivyohai, vionekanavyo na vivyoonekana. Elimu ni mkusanyiko wa maelezo na vitendo juu ya vumbuzi mbali mbali zizofanywa na wenye akili na mitazamo mbalimbali ulimwenguni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom