Mh. Lissu naomba ukishinda uikuze elimu yetu angalau mtu akifika chuo kikuu aongee Kiingereza kwa ufasaha

James Martin

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
946
1,000
Mh. Lissu naamini kuna haja ya kupitia mfumo wa elimu yetu hapa Tanzania.

Nimetumia mfano wa lugha ya Kiingereza kama kipimo kwasababu tunawasikia watu wakijaribu wakikiongea. Inawezekana yako masomo mengine pia yanayotakiwa yakuzwe lakini kwa sasa hatujui.

Wapo watakaosema mbona Urusi na China hawaongei Kiingereza. Tofauti ni kwamba wao sio omba omba kama sisi. Sisi bado tunatakiwa kuiongea lugha ya "kibeberu" kwa ufasaha ili kuweza kuomba mikopo!

Najua Mh. Lissu utanielewa kwasababu unaipenda lugha ya Kiingereza. Halafu pia Kiingereza chako ni kizuri kuliko changu, I can't reach you! (sikufikii wewe)
 
Gerald .M Magembe

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
1,276
2,000
Mh. Lissu naamini kuna haja ya kupitia mfumo wa elimu yetu hapa Tanzania.

Nimetumia mfano wa lugha ya Kiingereza kama kipimo kwasababu tunawasikia watu wakijaribu wakikiongea. Inawezekana yako masomo mengine pia yanayotakiwa yakuzwe lakini kwa sasa hatujui.

Najua Mh. Lissu utanielewa kwasababu unaipenda lugha ya Kiingereza. Halafu pia Kiingereza chako ni kizuri kuliko changu, I can't reach you! (sikufikii wewe)

Kwa kuongea yeye mwenyewe Lissu bado ni tatizo, wenye uelewa wa kuzungumza kiingereza humu ndani watakwambia.
 
Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
1,438
2,000
Kwa kuongea yeye mwenyewe Lissu bado ni tatizo, wenye uelewa wa kuzungumza kiingereza humu ndani watakwambia.
Naunga mkono hoja Lissu Kidhungu hakijui isipokuwa ana bwabwaja Ili aonekane anaflow hakuna Gramma anayotumia ibebaki kuunga vi sentensi vya kisheria ambavyo alifundishwa na wale Maprofesa anaowaita wametokea Majalalani ni maajabu kuona Tumbili anazaa Gorilla
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
37,221
2,000
Mh. Lissu naamini kuna haja ya kupitia mfumo wa elimu yetu hapa Tanzania.

Nimetumia mfano wa lugha ya Kiingereza kama kipimo kwasababu tunawasikia watu wakijaribu wakikiongea. Inawezekana yako masomo mengine pia yanayotakiwa yakuzwe lakini kwa sasa hatujui.

Najua Mh. Lissu utanielewa kwasababu unaipenda lugha ya Kiingereza. Halafu pia Kiingereza chako ni kizuri kuliko changu, I can't reach you! (sikufikii wewe)
Lugha ni muhimu sn, tuna kuwa na kiongozi mkubwa wa nchi hawezi kutunga sentensi moja ya kiingereza
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,767
2,000
... kama kuna eneo la kufumua haswa basi ni mfumo wa elimu wa nchi hii! Ni aibu medium of instruction ni English lakini baadhi ya PhD's yet haziwezi kunyoosha tungo moja ya Kiingereza ikaeleweka mbele ya audience.

Pia kuna tatizo la wahitimu kutojiamini; we need more Tundu Lissu's in all fields; akisimama graduate wa sheria aonekane ni mwanasheria kweli; akisimama mhandisi ni mhandisi kweli; akisimama mhasibu ni mhasibu kweli, etc.
 
James Martin

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
946
1,000
Naunga mkono hoja Lissu Kidhungu hakijui isipokuwa ana bwabwaja Ili aonekane anaflow hakuna Gramma anayotumia ibebaki kuunga vi sentensi vya kisheria ambavyo alifundishwa na wale Maprofesa anaowaita wametokea Majalalani ni maajabu kuona Tumbili anazaa Gorilla
Lissu huwezi kumfananisha na maprofesa wa majalalani. Alipata Masters yake Warwick University, ni moja ya chuo kinachoheshimika huko Uingereza!
 
mtimawachi

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
381
500
Kama hoja ni kiingereza basi nadhani mwanajf mwenzetu Nyani Ngabu ndio anafaa kuwa raisi
 
Gerald .M Magembe

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
1,276
2,000
... kama kuna eneo la kufumua haswa basi ni mfumo wa elimu wa nchi hii! Ni aibu medium of instruction ni English lakini baadhi ya PhD's yet haziwezi kunyoosha tungo moja ya Kiingereza ikaeleweka mbele ya audience.

Pia kuna tatizo la wahitimu kutojiamini; we need more Tundu Lissu's in all fields; akisimama graduate wa sheria aonekane ni mwanasheria kweli; akisimama mhandisi ni mhandisi kweli; akisimama mhasibu ni mhasibu kweli, etc.

Ujasiri ni hulka na huanza kutengenezwa bado ukiwa mdogo, lakini ujasiri hauwezi kureplace uelewa bobezi.

Ila kama una ujasiri na una mapungufu , mapungufu yako yatakuwa wazi sana na kwa haraka, kwa kuwa utatumia ujasiri huo huo kuonyesha ulivyo kiuhalisia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom