TANZIA Aliyekua Afisa elimu Wilaya ya Magu ndg Jesse Kaanyuma afariki dunia hospitali ya Muhimbili

kaitamarogo

JF-Expert Member
May 23, 2016
436
500
Aliye kuwa afisa elimu Wilaya ya Magu na baadae kuhamishiwa Dodoma makao makuu ndg Jesse Kaanyuma amefariki jioni hii katika hospitali ya taifa Muhimbili.

Ni taarifa zilizodhibitika kutoka kwa ndugu wa karibu kwenye familia kwa pamoja tunasema poleni walioguswa na msiba huu mzito
 

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
11,716
2,000
Mwalimu wa Wilaya ni mtu mdogo sana kumtolea tanzia JF unless awe alifanya jambo lililoleta impact kitaifa au aina ya kifo chake.
Nilipoona heading, nikajiuliza sasa kama kila mtumishi awe posted humu si jukwaa litajaa tanzia tu! Nikaona maybe there's something more about the guy mbali ya kuwa Afisa Elimu, na ndipo nikafungua nione what's so special about him!

Hadi sasa bado nimeduwaa!!!

All in all, Rest In Peace Mwalimu!!!
 

Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,088
2,000
Nilipoona heading, nikajiuliza sasa kama kila mtumishi awe posted humu si jukwaa litajaa tanzia tu! Nikaona maybe there's something more about the guy mbali ya kuwa Afisa Elimu, na ndipo nikafungua nione what's so special about him!

Hadi sasa bado nimeduwaa!!!

All in all, Rest In Peace Mwalimu!!!
Mbona kuna habari au nyuzi nyingine ni za kipuuzi sana na zinaanzishwa kila uchwao?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom