Elimu ya binadamu

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
Binadamu ana miili miwili, mwili wa nyama na mwili wa kiroho.

Sasa huu mwili wa kiroho pia una sauti, sauti yake uja automatic pale Unapoomba kwa utulivu (meditation).

Yani ni hivi ukitulia na kufumba macho kisha ukasem kwa uwezo wa Ben nataka uchawi na nguvu zote zilizopo za kijini na kichawi zilizopo ndani yangu kwa uwezo na nguvu zako Ben ukavunje nguvu hizo kwani wewe ni wa pekee mungu amekutunuka kusaidia watu vunja sasa vunja Ben"

Unaweza ukapata Ishara ya mafanikio Kama kuota na sauti inabadlika muda wa maombi na kadharika.

Nini lengo?
Kuna baadhi ya Dini watu wanaomba kwa kutumia jina la mtu na kwakuwa wanapata Ishara wanaamini yule wanaemtaja kwenye maombi.

Huo ni ushirikina Yani unatumia nguvu zako za asili kumuomba mungu ukimshirikisha na viumbe vyake ilihali Wewe ni kiumbe chake uo ni USHIRIKINA.

Au kuomba kwa kutumia baraka za mtu furani pia ni kumshirikisha mungu na viumbe vyake.

Mungu anasema "msingi wake ni kuniabudu kunitukuza na kuninyenyekea kwa vitu vyangu vilivyo mfano kwake na havibadiliki wala kuhama"

Mafanikio Unapoomba kwa jina la mtu:

Unapoomba kwa jina unaweza usifanikiwe kwa asilimia kubwa itategemea na mtihani, maradhi

Kufanikiwa inategemea lile Tatizo ulilonalo na ukubwa wa yule uliyemuomba kama anauwezo mkubwa wa kupambana na ilo tatIzo utapona kama hana uponi na mungu akusaidii kwa uombaji uo ila nguvu za yule uliemtaja ndizo zitakazo kusaidia. Sasa Kama uliyemtaja ni aina ya jini yeye ndo atakae kusaidia mungu amsaidii mshirikina kamwe.

Yani kuomba kwa kuwekewa shariti la kumtaja mtu kwa kuambiwa sababu mbali mbali, ni Sawa na kupewa dawa na mganga na kupewa mashariti mbali mbali.

Hiyo ni misingi ya shetani hivyo utakavyo fata lile shariti manake umemfata yeye na Unakuwa mtumishi wake.

Ndomana kupitia hili nasemaa lengo sio kumuomba Mungu basi Twende moja kwa moja kwa mtaja mungu na mifano tutumie tunayo iona.

Kwa mfano "baba yetu uliembinguni utawala wako utukuzwe maamlisho yako yaheshimike katika jina la yesu nakwenda kujikatakasa na kujikabidhi kwako" hapo umemshirikisha mungu na kiumbe chake.

Au
Mungu wangu mlezi mtukufu hakika ni Wewe uliemnyenyekevu hakika Sina budi kukuabudu, kwa neema na baraka za mtume wako Mohammed (S.A.W). Niokoe kwa wapotofu na unifanye miongoni mwa wale usiowakasilikia" Aisee ni kosa.

Mungu hashirikiani na kiumbe wake yeyote katika Maamuzi Bali utoa amri tu.

Tunapoomba mungu tutoe majina
 
Nimetoka kapa, ngoja nirudie tena kusoma.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Nimekuelewa mkuu. Upo vizuri ki maarifa, truth is stranger than finction na ukweli unatisha ukibagatika kuuona au kuusikia. mara nyingi watu wa kawaida hawawezi kuvuka mpaka wa maarifa kwa kuogopa ukweli wakijua ni uongo lakini ukweli unatisha kama si kuogopesha.
 
Back
Top Bottom