Mchepuo wa science ya kitabibuWakuu Mimi ni kijana wenu wa kitanzania mwenye elimu ya kidato cha sita katika mchepuo wa sayansi ya kitabibu PCB, Nilimaliza kidato cha sita mnamo mwaka 2013 sekondari ya wavulana ya Same mkoani Kilimanjaro na kupata div 3, Nilishindwa kuendelea na chuo kutokana na matatizo ya kifamilia.
OMBI: Naomba msaada kwa mtu binafsi, taasisi au hata jumuiya wa kunisomesha chuo hata diploma tu katika kozi yeyote ya afya kwa masharti yeyote halali, kwa aliyeguswa naomba tuwasiliane kwa no: 0654 121 218.
AHSANTEN.
Only if you knew who you were talking to kwanza check profile yangu alaf ndo urudi tuongee vizuri anyway either ways good luck!Ahsante kaka, ila ukijifanya much know sana ndo unjikuta unacomment usichoambiwa, Mada kuu ni ombi nililolileta kwa wenye uwezo, mara nyingi watu kama wewe huwa hamna msaada, so pita kushoto brother.