Picha: Mafuriko CCM, tafadhali tuachieni watoto wetu wapate elimu na si kuongezea vichwa kwenye mikutano iliyosusiwa na wazazi wao!

Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,581
2,000
CCM vifaranga7.jpg
...
CCM vifaranga6.jpg
...
CCM vifaranga3.jpg
...
CCM vifaranga.jpg
...

CCM vifaranga4.jpg
...
CCM vifaranga1.jpg
...
CCM vifaranga2.jpg

Kama unayo picha ongezea...
 

mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
24,604
2,000
Kila kitu kinaanzia utotoni
Kama mtashindwa kupata wafuaasi wa chama CHENU kuanzia ngazi ya watoto basi mjue nyie NI BURE .
asilimia kubwa ya wazee wanaipigia kura CCM waliijua ccm wakiwa watoto wadogo.
Nani aliijua chadema akiwa bado mdogo?
Kiasi cha kuvunja ratiba za masomo???. Btw wanasiasa wengine nao wanapata "haki" hiyo ya kufunga shule ili nao wasikilizwe na watoto/walimu??.
 

mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
24,604
2,000
Nayasema hayo Nina ushahidi
Nina mtoto wa mjomba wangu ni mdogo tu.
Lakini anaipenda ccm balaa haumwambii kitu.huyu mtoto tayari Kesha kuwa ni mfuasi wa ccm tangu mtoto.
Akishakuja kuwa mkubwa hauwezi kumwambia kitu kuhusu CCM..
Maana amekuwa anaiona ccm sio chadema Wala chauma
Naona unaitendea haki ID yako.
 

Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
10,542
2,000
Kila kitu kinaanzia utotoni
Kama mtashindwa kupata wafuaasi wa chama CHENU kuanzia ngazi ya watoto basi mjue nyie NI BURE .
asilimia kubwa ya wazee wanaipigia kura CCM waliijua ccm wakiwa watoto wadogo.
Nani aliijua chadema akiwa bado mdogo?
Nauliza tena, vyama vingine vya siasa navyo vitapewa nafasi hiyo ya kukatisha masomo wanafunzi???
 

gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,435
2,000
Nayasema hayo Nina ushahidi
Nina mtoto wa mjomba wangu ni mdogo tu.
Lakini anaipenda ccm balaa haumwambii kitu.huyu mtoto tayari Kesha kuwa ni mfuasi wa ccm tangu mtoto.
Akishakuja kuwa mkubwa hauwezi kumwambia kitu kuhusu CCM..
Maana amekuwa anaiona ccm sio chadema Wala chauma
Ni hekima kufanya kila jambo kwa wakati sahihi. Kwa umri wao walipaswa kufundishwa elimu ya uraia huko shule, kujua wajibu na haki zao kama raia na si itikadi za vyama vya siasa.

Tungekuwa na 'NATIONAL VISION AND MISSION' huu ungekuwa wakati sahihi kuwafunza ili hapo baadaye waweze kuamua itikadi za kufuata kwa kuzingatia 'NATIONAL VISION AND MISSION'.

Unamfundisha mtoto itikadi ya chama, na chama kinaweza kupita. Hicho chama kikifa huyo mtoto anabakije kichwani mwake na huo upupu mliomjaza?

Bila shaka NDOA ni jambo jema sana, unadhani ni kwa nini jamii haianzi kuwaingiza watoto kwenye ndoa wakiwa wadogo ili wapate uzoefu?

Hicho unacho dhani ni sahihi kufanywa na hao ccm nakuhakikishia ni ulafi wa madaraka unaofanywa, wapotoshe watoto na kuwajaza ujinga tangu utoto ili wao waendelee kutawala.

Unatoaje watoto shule waende kushuhudia upuuzi wenu?!! Tena bora mngekuwa hata na sera za maana za kuwaambia, mnaenda kuwaonesha show za hao wasanii wenu vilaza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom