Uchaguzi 2020 Elimu kuhusu kura ya Rais kwa waishio mbali na maeneo waliyojiandikisha bado haijatolewa vyema

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,070
1,842
Bado kuna wananchi hawajiamini kama watapiga kura ya Rais kwa maeneo walipo. Hii nikwasababu elimu hi bado haijatolewa vyema.

Juzi tulikuwa kwenye usaili wa usimamizi wa uchaguzi mkuu huu, likaulizwa Hilo swali, mkurugenzi akasema inaruhusiwa kabisa kwa mwananchi kupiga kura ya Rais popote alipo akiwa na kadi ya mpiga kura. Pamoja na tahadhari kubwa kwa wasimamizi lakini huyu mtu anaruhisiwa kupiga kura ya Rais.

Tusaidiane kuelimishana zaidi kutoa hofu ya wananchi kutompigia kura Rais wampendae.

#kapigekura usisubili matokeo bila kupiga kura#
 
Back
Top Bottom