Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge leo Jumanne Januari 5 amesema wanafunzi waliofaulu kuingia kidato cha kwanza mwaka huu watasoma kwa zamu kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa katika mkoa huo.
Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua maandalizi ya shule kwa ajili ya wanafunzi...
Kuna tatizo la ufundishaji ktk vyuo vyetu.
Najisikia vibaya kwamba tunalaumiwa kwa kutopenda kusoma vitabu lakini kuna uzembe kwa wafundishaji wetu ktk vyuo na hata sekondari kwa sasa.
Kuna mtindo wa kutumia simu za mkononi kuandika notisi badala ya kuwashawishi wanafunzi kusoma vitabu, Mtindo...
Fanta alizaliwa katika familia duni mno. Baba yake alikua mlinzi, katika harakati za kuhakikisha hawakosi chakula nyumbani mama aliuza matunda mchana.
Fanta alikua na uzuri wa ajabu alikua na akili pia lakini alipofika kidato cha tatu baba yake alipata maradhi, hali ya nyumbani ilibadilika...
Habari, wanajamii?
Kuna wazo moja ninapenda nililete kwenu nikitumai kubadilishana mawazo nanyi.
Kuna huu mfumo, uliojiimarisha hasa katika nchi za magharibi, wa kujisomesha kwa kufanya kazi au wa kuwekeza katika biashara, bila kuitegemea biashara hiyo kiuchumi. Jambo hili linawawezesha - hasa...
Ndugu WanaJF,
Tunafahamu si kila mmoja ni mzoefu wa kufanya safari kwa usafiri wa ndege. Sababu ni nyingi, ila kwa uchache ni hofu, kipato au sababu tu ya kusafiri kwa ndege haijatokea bado.
Pia, usafiri huu licha ya kuwa ni wa haraka na uhakika, una changamoto zake lukuki ambazo zinapelekea...
Baada ya Serikali ya awamu ya tano kukwama kwenye sekta ya ajira kamekuja katabia ka watu kuwabeza wasomi waliorundikana mitaani kwa kukosa ajira, kwamba wameshindwa kutumia elimu waliyoipata ama kujiajiri au kuwa wabunifu ili waweze kujikwamua.
Kiuharisia suala la msomi kujiajiri baada ya...
Kwanza niwaombe Moderators kuacha uzi huu hapa kwenye jukwaa la Siasa, japo kwa muda, kwa sababu uzi una Hoja ya Kisiasa ijapokuwa unahusiana na Elimu. Nitangulize shukurani kwenu Moderators.
Tukija katika hoja yenyewe, ukweli ni kuwa Elimu sasa hasa katika ngazi ya Msingi na Sekondari na...
Habari za weekend wapendwa katika bwana.
Naomba nianze na historia yangu kiufupi ili uweze kunisaidia ushauri.
Nina umli wa takribani miaka 24 kwa sasa. Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu darasa la saba na kupata ufaulu mzuri tu ila sikubahatika kuendelea na masomo ya sekondari kutokana na...
Kiongozi mwandamizi hana gari binafsi yakutembelea amekalia kutumia gari ya umma kufanya shughuli za Kiserikali na shughuli za familia bila kujali masaa ya kazi kwa madreva na wasaidizi wengine.
Ninaishi na mzee mmoja hapa anatumia gari ya Serikali kama yake binafsi, kila sehemu anapokwenda...
Naomba kujua wajuzi mnijuze haya madude yanaitwaje na yanafanya vipi kazi. Ni manual au automat?
Je, kwa nchi yetu tunayo? Ni mangapi yako wapi.
Elimu haina kikomo
Saudi Arabia imechapisha upya vitabu vyote vya shule za nchi hiyo na kuondoa vipengele vilivyokuwa vikiwataja kwa ubaya Wayahudi pamoja na Wakristo. Baadhi ya vipengele hivyo ni kama vile utabiri wa kuzuka vita hapo baadae ambapo waislamu watawapiga vibaya mayahudi na kuwashinda. Kipengele...
Jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, linamshikilia Askari Polisi Keneth Mkwela, kwa kosa la kumjeruhi mwanaume mwenzake kwa kitu chenye ncha kali anayejulikana kwa jina la Andrew Milanzi, baada ya kumfumania akiwa na mwenza wake kwenye nyumba ya kulala wageni.
Kutoka: Habari Star TV Tanzania
Tuko mikoani tukilamba x-mas yetu lakini tunataka kuwa connected na dunia.
Tangu iliposikika kwamba kuna video ya ngono ya wanasiasa wawili, twitter haiko hewani. Tunahangaika kupitia njia za panya ili kuwasiliana na kusoma mambo ya muhimu. Hii kufunga funga itaendelea hadi lini wakati kuna...
Habari!
Kwa wale wanaotaka kusoma vyuo vikuu nje ya nchi naweza kuwasaidia hatua zote, iwe Ulaya, Asia au Marekani. Pia tunatoa ushauri wa vyuo bora, gharama na tunakusaidia kila hatua.
Tunakuwa pamoja na wewe mpaka utakapomaliza chuo, Pia tunakuunhanisha na wenyeji. Tumesajiliwa kisheria...
Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini Mhe Ramadhan Ighondo aendeleza mkakati wa kuinua elimu jimboni mwake. Amewaasa vijana kusoma kwa bidii ili kua chachu ya mabadiliko kwenye jamii.
Kwa habari video picha ungana nami Mahanju.........
Sera ya sasa ya elimu na mafunzo inayolenga kutoa elimu ya msingi kwa wote "Universal Primary Education For All" ni sera mbovu inayozalisha matatizo nchini.
Awali, sera ya elimu ililenga kutoa elimu ya msingi kwa kila mtoto kuanzia darasa la kwanza hadi darasa la saba. Baadae mfumo na sera ya...
Nimeandika barua ya transfer chuo na nmefata procedure zote za TCU lakin jina langu la waliochaguliwa na chuo husika halipo.
Naomben msaada nini cha kufanya.
Kila mwaka idadi ya wanafunzi wanaoingia darasa la kwanza na kidato cha kwanza inaongezeka, na itaendelea hivyo kwa miaka mingi ijayo.
Kuongeza madarasa na kununua madawati mapya kila mwaka siyo suluhisho la kudumu.
Niwaombe Waziri wa elimu Prof Ndalichako na yule wa Tamisemi Dr Jaffo mkae...
Kwa nini Mkuu wa Mkoa, Wilaya au mtu yoyote yule apige viboko Mtanzania mwingine ? Nani anampa hiyo haki, kwa Sheria gani ? Waziri Kabudi tuokoe hapa kujua haki zetu, Mkuu wa Mkoa akinipiga kibogo niende wapi kushitaki ? Tafadhali Waziri Kabudi ongea na mshua, tunadhalilishwa sana na weusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.